The House of Favourite Newspapers

Bocco Mchezaji Bora, Mkwasa Kocha Bora Novemba

0

NAHODHA wa Simba, John Bocco, leo Desemba 10, 2020, amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwa mwezi Novemba, 2020 huku Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting, Charles Mkwasa, akichaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi huo.

Leave A Reply