The House of Favourite Newspapers

BREAKING: JPM Amwapisha SKAUTI Mkuu wa TANZANIA – Video

Mhe. Rais John Pombe Magufuli amewaapisha Dkt. Faraji Mnyepe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Bi. Mwantumu Mahiza kuwa Skauti Mkuu.

Comments are closed.