The House of Favourite Newspapers

Breaking: Katibu Mtendaji BASATA, Mngereza Afariki Dunia – Video

0

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza, amefariki dunia usiku huu wa kuamkia leo Desemba 25, 2020.

Taarifa za msiba huo zimethibitoshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.

Aidha, taarifa za awali zinaeleza kuwa Mngereza amefariki akiwa jijini Dodoma, lakini chanzo cha kifo chake bado hakijawekwa wazi.

Tutaendelea kukupa taarifa zaidi kuhusu msiba huo.

 

Leave A Reply