The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Magari 70 JWTZ Yaingia Mtwara, Lindi Kusomba Korosho – VIDEO

Ikiwa takribani siku mbili zimepita tangu Rais John Magufuli kutangaza serikali itanunua korosho zote kwa wakulima kwa bei ya shilingi 3300, leo Jumatano, Novemba 14, 2018 Magari ya Jeshi la Wananchi Tanzania, Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ, Mgulani yameanza safari ya kuelekea mkoani Mtwara na Lindi ili kutekeleza maagizo hayo ya kusomba korosho zote za wakulima ambazo zitanunuliwa na serikali.

 

Jeshi hilo limesema limejipanga kwa ajili ya ulinzi na hakuna korosho itakayoibiwa wala mkulima atakayedhurumiwa pesa zake baada ya kuuza.

VIDEO: TAZAMA VIDEO MAGARI HAYO YAKIONDOKA

Comments are closed.