Breaking: Mbowe Atakiwa Kuripoti Polisi, Mkutano Wake Waahirishwa

Jeshi la Polisi leo Mei 14, 2020  limemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuripoti kituo cha Polisi Oyster Bay ikiwa ni muda mchache kabla ya kuanza kwa mkutano wake na Wanahabari.

Mwenyekiti huyo ambaye pia ni Mbunge wa Hai alikuwa amepanga kuzungumza leo majira ya saa 5 asubuhi kuhusu masuala mbalimbali.

Baada ya CHADEMA kuwafukuza Wananchama wake wanne na kusema hawatarudisha fedha za posho Bungeni kama walivyotakiwa kufanya Spika Ndugai, Katibu Mkuu wa Chama hicho, John Mnyika alisema Mbowe ataongea na Wanahabari


Loading...

Toa comment