The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Ajali Mbaya Yaua Chalinze Usiku Huu

Watu wanne akiwemo dereva wa Coaster wamefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Coaster kugongana uso kwa uso na gari la mizigo aina ya Scania katika eneo la Chamakwega kijiji cha Vigwaza Chalinze Mkoani Pwani.

 

Kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi wa Polisi Wankyo Nyigesa amesema chanzo cha ajali ni gari aina ya Coaster kujaribu kuwakwepa waendesha baiskeli na ndipo akasababisha ajali.

 

Amesema miili ya Marehemu imepelekwa katika hospitali ya Tumbi na majeruhi wamepelekwa katika hospitali hiyo kwa matibabu zaidi.

 

Endelea kufuatilia taarifa zetu kupitia #GlobalPublishers #GlobalHabariUpdates
@GlobalTVOfficial.

WANAFUNZI Wanusurika KIFO Baada ya Kudumbukia CHOONI

Comments are closed.