Breaking News: Kauli ya Kwanza Mo Dewji Baada ya Kupatikana – Video

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la Mo Dewji amepatikana na na Dewji mwenyewe amezungumza.

“Namshukuru Mwenyezi Mungu nimerudi salama nyumbani. Nawashukuru Watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao. Nashukuru mamlaka zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, zilizofanya kazi ya kuhakikisha narudi salama.” — Mohammed Dewji


Comments are closed.