The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Manji Atinga Taifa, Awaona Wachezaji -Video

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akiongea na wachezaji.

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ametinga Uwanja wa Taifa muda huu na kuingia moja kwa moja kwenye vyumba vya wachezaji wa timu hiyo, kabla haijavaana na USM Algiers ya Algeria kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Comments are closed.