HabariKitaifa Breaking News: Rais Magufuli Ateta na Kikwete Ikulu (Picha +Video) Last updated Oct 23, 2018 Share Rais John Magufuli akisalimiana na rais mstaafu wa awamu ya nne. Jakaya Kikwete alipowasili leo Ikulu, Dar es salaam, leo Oktoba 23, 2018. Wakizungumza. Baada ya mazungumzo. Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Leo Oktoba 23, amemtembelea Rais Dkt John Magufuli, Ikulu jijini Dar na kufanya mazungumzo nae. KikweteMagufuli Share
Comments are closed.