The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Rosaree Afungiwa na BASATA-VIDEO

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limemfungia msanii wa Bongofleva nchini Tanzania, Roza Ree kutojihusisha na muziki kwa miezi 6 kutokana na video ya wimbo wa Vitamin U aliyoshirikishwa na msanii Timmy Tdat wa Kenya.

Comments are closed.