The House of Favourite Newspapers

BREAKING | Rais Magufuli Akutana na Marais Wenziye A. Mashariki – VIDEO

Ni Mkutano wa ishirini wa wakuu wa nchi na Jumuiya ya Afrika Mashariki unafanyika katika ukumbi wa AICC Jijini Arusha na umehudhuriwa na Marais kutoka nchi mbalimbali akiwemo Rais wa Tanzania, Dkt John Magufuli, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na wengine wengi.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.