The House of Favourite Newspapers

BREAKING: RPC Amzungumzia Kijana Aliyekutwa Mwenge Amefariki! – VIDEO

Siku chache nyuma zilizopita, Global TV ilikurushia tukio la kijana mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lake au sura yake kudondoka na kufariki dunia maeneo ya mwenge jijini Dar es Salaam huku chanzo rasmi cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika.

Sasa leo Januari 8, Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Jumanne Murilo, anatoa taarifa rasmi kuhusiana na tukio hilo lililowashangaza na kuwashtua wengi.

Comments are closed.