The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Waziri Masauni Apokea Vifaa vya Kazi Mipakani- VIDEO

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, amepokea vifaa kwa ajili ya ulinzi wa mipaka vyenye thamani ya Dola za Marekani 30,000 kutoka Shirika la Kimataifa linalohudumia Wahamiaji Haramu (IMO). Vifaa hivyo kutumika kudhibiti wahamiaji haramu.

Comments are closed.