×

Burudani

Tetesi za Penzi! Pinela Afunguka Uhusiano Wake na Vunjabei – Video

Mwanadada maarufu mitandaoni, Pinela Justine, amefunguka kuhusu tetesi zinazomhusisha na mfanyabiashara maarufu Bongo, Fred Vunjabei, akikanusha kuwa wawili hao wana...

READ MORE

Unatafuta Kazi? Nafasi Ya Marketing & Advertising Officer Dar, Full-time

📍 Dar es Salaam | Full-time Tunatafuta Marketing & Advertising Officer mwenye uwezo, ubunifu na uzoefu katika Advertising Sales, hasa...

READ MORE

Ariana Grande na Ex Wake Wazua Gumzo Kubwa, Penzi Lao Limefufuka

Mwimbaji maarufu wa Marekani, Ariana Grande, anaonekana kuanza tena uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wake wa zamani, Ricky Alvarez, baada...

READ MORE

Johnny Young, Gwiji wa ‘Young Talent Time’, Afariki Akiwa na Miaka 79

Mwanamuziki na mwongozaji maarufu wa vipindi vya televisheni nchini Australia, Johnny Young, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79...

READ MORE

Penzi la Kiredio na Vee Dollarz Lavunjika Tena, Madai Mazito Yaibuka

Mtangazaji na muandaaji wa maudhui, Vicent Njau maarufu kama Kiredio, inasemekana kuwa amepigwa tukio na watu wenye pesa baada ya...

READ MORE

Presha ya Mashabiki Yamfanya Cardi B Kutaka Kupumzika

Rapa maarufu wa Marekani, Cardi B, amezua gumzo baada ya kusema anataka kuchukua mapumziko ya muda kwenye muziki kutokana na...

READ MORE

The Heaven Quality Band – Haya Njooni (Official Music Video)

Kama unapenda nyimbo za Injili zenye ujumbe, sauti nzuri na zinazokufanya umsifu Mungu kwa moyo wote, basi huu ni wimbo...

READ MORE

Mamilioni Wajitokeza Kushuhudia Maajabu ya Kupatwa kwa Jua – Picha

MADRID, Hispania — Mamilioni ya watu katika maeneo mbalimbali ya Dunia walielekeza macho yao angani Jumatano, Agosti 12, 2026, kushuhudia...

READ MORE

Kama Unapenda Sinema, Hizi Ndizo Filamu 7 Usizopaswa Kukosa 2026

MWAKA 2026 umeendelea kuwapa mashabiki wa filamu kazi zenye ubunifu mkubwa kutoka kwa waongozaji mahiri duniani. Kuanzia drama za kihistoria,...

READ MORE

Uchawi wa Hadithi za Ireland Waingia Kwenye Dunia ya Kasino

Dunia ya michezo ya kasino imepata ladha mpya kupitia Meridian Leprechaun Wish, mchezo unaochota msukumo kutoka kwenye simulizi maarufu za...

READ MORE

Madai Mapya Yaibua Sakata la Jina la Kate Ndani ya Familia ya Kifalme

Prince William anadaiwa kuwahi kukasirika baada ya King Charles III na Queen Camilla kumtaka mkewe, Kate Middleton, kubadili namna jina...

READ MORE

Kisa cha Kusikitisha: Mwanamke Afanya Mauaji Kisa Wivu wa Mapenzi, Afungwa Maisha

Tamarac, Florida, Marekani — Mahakama nchini Marekani ilimhukumu, Sakiyna Thompson mwenye umri wa miaka 31 kifungo cha maisha jela bila...

READ MORE

Bass Cash 1000 Yatinga Meridianbet: Uzoefu Mpya wa Slot Waanza

Meridianbet imefungua milango ya kipekee kwa wapenzi wa kasino mtandaoni kupitia Bass Cash 1000, mchezo mpya wa sloti unaopatikana kwa...

READ MORE

Ronaldo na Georgina Wafunga Ndoa Baada ya Miaka 10 ya Mapenzi

DUBAI: Nyota wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, na mpenzi wake wa muda mrefu, Georgina Rodriguez, wamefunga ndoa baada ya kuwa kwenye...

READ MORE

Rihanna Awarudisha Watoto Wake Kwenye Mtaa Aliokulia

Msanii maarufu wa muziki na mfanyabiashara wa urembo, Rihanna, ameshiriki picha adimu akiwa pamoja na watoto wake wote watatu alipowapeleka...

READ MORE

Meridian Scatter Whale yaleta burudani mpya kwenye kasino mtandaoni

Ulimwengu wa kasino umeingia kwenye sura mpya ya burudani baada ya kuwasili kwa Meridian Scatter Whale, mchezo unaowapeleka wachezaji kwenye...

READ MORE

Mrembo Aibua Gumzo Mtandaoni “Hakuna Mwanaume Anayetaka Kuoa Mwanamke Mzigo”

Mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania, Beingrechol, ameibua gumzo baada ya kutoa maoni yake kuhusu wanawake wanaopenda kuwaomba...

READ MORE

Jordyn Lucas Aeleza Hisia Zake Baada ya Kukutana na Drake, Azawadiwa Mkoba wa Mil 66

Mrembo wa Marekani, Jordyn Lucas, ametimiza ndoto yake ya muda mrefu baada ya kupata nafasi ya kukutana na rapa maarufu...

READ MORE

Meridianbet Yang’ara UFC Fight Night Belgrade, Medić Amaliza Pambano Sekunde 30

Meridianbet imechukua nafasi kubwa kwenye jukwaa la UFC baada ya kuwa mdhamini wa UFC Fight Night, tukio lililofanyika Agosti 1,...

READ MORE

Throne of Ra: Safari ya Kifalme Kutoka Misri ya Kale Hadi Meridianbet

Ufalme wa kale wa Misri umefungua milango yake na kukukaribisha kwenye safari ya kipekee kupitia Throne of Ra, mchezo mpya...

READ MORE

Mke wa LeBron James Akumbana na Tukio la Kushangaza Hermès

Savannah James, mke wa nyota wa NBA LeBron James, amesimulia tukio lisilo la kawaida alilokutana nalo katika duka la kifahari...

READ MORE

Mwanamke Atuhumiwa Kuwapiga Risasi Wanaume Wawili, Asakwa na Polisi

Mamlaka nchini Marekani zinaendelea kumsaka mwanamke mmoja anayehusishwa na kifo cha wanaume wawili waliouawa kwa kupigwa risasi katika eneo lao...

READ MORE

Mama Wema Awaonya Wazushi wa Mtoto wa Mwanaye “Acheni Kumwandama Mwanangu” – Video

Mama mzazi wa staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amefunguka kuhusu tuhuma zinazoenezwa mitandaoni zinazodai kuwa mtoto wa mwanaye si...

READ MORE

Binti wa Ruto Achumbiwa na Kijana wa Kitanzania, Wafanya Sherehe ya Jadi Intona Heritage Farm

Nairobi, Kenya. Binti wa Rais wa Kenya, William Ruto, Charlene Ruto, amefanya sherehe ya jadi ya “Koito ak Chaik”  leo...

READ MORE

Twanga Pepeta Yatikisa Mlimani City, Asha Baraka Atoa Zawadi ya Vyombo Vipya – Video

Mwenyekiti wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka, ametoa zawadi ya vyombo vipya vya muziki kwa...

READ MORE

Zombie Apocalypse Yaongeza Msisimko Kwenye Kasino ya Meridianbet

Mchezo mpya wenye ladha ya kipekee umeingia Meridianbet na tayari umeanza kuwapa presha wapenzi wa kasino mtandaoni. Unaitwa Zombie Apocalypse,...

READ MORE

Fahamu Filamu 100 Bora Kuanzia Mwaka 2000 -2026, ‘Parasite’ Ya Korea Kusini Yaongoza

Tovuti maarufu ya mapitio ya filamu Rotten Tomatoes imetoa orodha ya filamu 100 bora za karne ya 21 (2000-2026) zilizopata...

READ MORE

Meridianbet Yawashangaza Wengi Kwa 3 Fisher Cats Kabla Ya Uzinduzi Rasmi

Meridianbet imeendelea kuwapa wateja wake sababu za kutabasamu baada ya kuzindua kwa kipekee mchezo mpya wa kasino, 3 Fisher Cats,...

READ MORE

Malkia wa Matumaini TikTok Afariki Akiwa na Miaka 26, Familia Yake Yafunguka

Nyota wa TikTok, Sydney Towle, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 26 baada ya kuishi kwa miaka mitatu akipambana...

READ MORE

Matthew McConaughey na Mkewe Wakutana na Papa Leo XIV Vatican

Muigizaji maarufu wa Hollywood Matthew McConaughey na mkewe Camila Alves McConaughey wamekutana na Pope Leo XIV katika Kanisa la Mtakatifu...

READ MORE

UFC Yateketeza Sh Bilioni 78 Kwa Tukio la Siku ya Kuzaliwa kwa Trump

Shirika la mchezo wa mapigano la UFC limepata hasara ya takribani dola milioni 30, sawa na zaidi ya Sh bilioni...

READ MORE

Diddy Aongezewa Muda wa Kukaa Gerezani Baada ya Kuzua Ugomvi

Msanii na mfanyabiashara maarufu wa muziki Sean ‘Diddy’ Combs ataendelea kutumikia kifungo chake kwa muda mrefu zaidi baada ya mamlaka...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Mystery Multiplier Drop Yenye Zawadi za Hadi Bilioni 12

Meridianbet imeendelea kuthibitisha kuwa kinara wa burudani za ubashiri na kasino kwa kuzindua promosheni mpya inayobeba msisimko wa kipekee, Mystery...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Mashindano ya Spin for Glory, Washindi 20 Kugawana TSh Milioni 3

Mashabiki wa kasino mtandaoni sasa wana sababu mpya ya kutabasamu baada ya Meridianbet kuzindua mashindano ya kusisimua ya Spin for...

READ MORE

Ariana Grande Ajiondoa Kwenye Tamasha la London, Aeleza Sababu

Mwimbaji maarufu wa Marekani, Ariana Grande, anatarajiwa kupunguza shughuli zake za kikazi na kuonekana hadharani baada ya kukamilisha ziara yake...

READ MORE

Jungle Temple Yawasili Meridianbet, Wachezaji Wapelekwa Kwenye Dunia ya Hazina za Siri

Mashabiki wa Meridianbet kasino wamepokea sababu mpya ya kujaribu bahati yao baada ya uzinduzi rasmi wa Jungle Temple, mchezo mpya...

READ MORE

Waigizaji 7 Waliowahi Kuigiza Kama Wapenzi wa Zendaya Kwenye Filamu na Tamthilia

Mwigizaji maarufu wa Marekani, Zendaya, amekuwa na nafasi nyingi za kuonyesha mapenzi kwenye skrini akiwa na waigizaji mbalimbali wakubwa Hollywood....

READ MORE

Msimu wa Pili wa EAGMA Wazinduliwa Rasmi, Safari ya Kuwatafuta Bora Yaanza

Msimu wa pili wa East Africa Gospel Music Awards (EAGMA), tuzo zinazotambua na kuthamini muziki wa injili Afrika Mashariki, umezinduliwa...

READ MORE

Kila Mzunguko Kukusogezea Zawadi ya TZS 6,000,000 Ya Expanse Mega Cash Race

Mashabiki wa kasino mtandaoni wamepata sababu mpya ya kuwasha moto wa ushindani baada ya Meridianbet kuzindua promosheni mpya ya Expanse...

READ MORE

Tyla Aingia Kwenye Playlist ya Barack Obama ya Msimu wa Kiangazi 2026

Nyota wa muziki kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameendelea kung’ara kimataifa baada ya wimbo wake kuchaguliwa na aliyekuwa Rais wa Marekani,...

READ MORE