×

Celebrities

Tyga: Kiki za Mapenzi Zilinifelisha!

NEW YORK, Marekani STAA wa Muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Micheal Ray Stevenson ‘Tyga’ kwa mara ya kwanza tangu...

READ MORE

Familia yaingilia ishu ya mwanaume tata kumtaka Jux!

Juma Musa ‘Jux’ na mpenzi wake, Vanessa Mdee ‘V-Money’. STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Familia ya staa wa...

READ MORE

Wastara Aamua Kuachana na Uigizaji

Stori: Hamida Hassan, Wikienda Dar es Salaam: Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amejipanga kuachana na uigizaji na kufanya...

READ MORE

Wa kumnusuru Ray C ni Mungu Tu!

Rehema Chalamila ‘Ray C’ MUSA MATEJA TUMUOMBEENI Ray C kwa sababu wa kunusuru maisha yake kwa sasa ni Mungu tu!...

READ MORE

Kim Kardashian auza makalio kwenye ‘gift paper’

Kim Kardashian. NEW YORK, MAREKANI KISTAAJABU ya Musa! Mwanamitindo na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim...

READ MORE

Uwoya na Skendo ya Kubakwa!

  Stori:Imelda Mtema DAR ES SALAAM: Untold story! Skendo ambayo haijawahi kuandikwa wala kusimuliwa popote inayomhusu mwigizaji ‘hot’ wa sinema...

READ MORE

Ray C apelekwa Sober kama Chid Benz

Ray C. MWANADADA mkongwe kwenye tasnia ya Uimbaji mziki hapa nchini, Rehema Chalamila maarufu akam ‘Ray C’ jana Ijumaa alipelekwa...

READ MORE

Video ya aibu ya Wema yavuja!

Wema Sepetu (kulia) wakati wa hafla hiyo. Stori: Andrew Carlos, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Video ya aibu inayomuonesha msanii...

READ MORE

Uwoya Azipa Kisogo Filamu

IMELDA MTEMA, Risasi Jumamosi MREMBO aliyejulikana zaidi kwenye Tasnia ya Filamu Bongo kupitia Filamu ya Oprah aliyofanya na marehemu Steven...

READ MORE

Hemed PHD afunguka madhara ya kutoka na staa

Staa wa filamu za Kibongo, Hemed Suleiman ‘Hemed PHD’ Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi MUUZA sura kwenye filamu za Kibongo, Hemed...

READ MORE

Mastaa hawa wameachiwa chata, hakijaelewaka!

  Rose Ndauka Mwandishi wetu, Risasi Jumamosi MPANGO au matarajio ya kila mwanadamu ni kuishi katika uchumba, kuolewa kisha kupata...

READ MORE

Shamsa Ford: Vimini vyangu havimuathiri mtoto

Shamsa Ford Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi DIVA mwenye ‘title’ kubwa Bongo, Shamsa Ford amesema kuwa tangu awe mzazi anajitahidi kuishi...

READ MORE

Kanye amuunga mkono mkewe kupiga za nusu utupu

Kim Kardashian, mumewe wa ndoa, Kanye Wes. Siku chache baada ya Gazeti la GQ kuingia mitaani, ukurasa wa mbele likipambwa...

READ MORE

Flora Mvungi arudi kwao

Frora Mvungi akiwa na mwanaye Stori: waandishi wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Huku kukiwa na madai ya ndoa ya...

READ MORE

Quick Rocka kuibuka na Wizkid

Quick Rocka Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva ambaye sasa yuko ‘busy’ kupushi ngoma yake mpya waliyoshirikiana na...

READ MORE

Vazi la Amber Rose lazua gumzo

LOS ANGELES, Marekani Vazi la ovaroli alilovaa Amber Rose kwenye maandalizi ya kipindi chake cha televisheni lilizua minong’ono mtandaoni kwa...

READ MORE

Alicia Keys Apinga Matumizi Ya Make Up

Milan, Italia MWANAMUZIKI Alicia Keys ameendeleza mpango wake wa kupinga matumizi ya make up baada ya kupanda jukwaani kwenye shoo...

READ MORE

Demu ampiga kibuti Mr. Flavour

Mr. Flavour MISS Nigeria 2012 ambaye pia ni staa wa filamu Nollywood, Anna Banner kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa...

READ MORE

In Edo adaiwa kufilisika, ang’aka!

In EdoAndrew Carlos na Mtandaoini MKONGWE wa fi lamu asiyechuja kutoka Nollywood, In Edo hivi karibuni ‘alitokwa povu’ baada ya...

READ MORE

V Money afurahia kolabo na Sauti Sol

STORI: BONIPHACE NGUMIJE DIVA anayefanya poa kwa sasa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Vannesa Mdee ‘V-Money’ hivi karibuni...

READ MORE

Dokta atoboa siri 8 mimba za Wema kuyeyuka!

Waandishi wetu, Amani DAR ES SALAAM: Imevuja! Kuyeyuka au kuharibika kwa ule ujauzito wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ‘Madam’...

READ MORE

Tukio la kigaidi… Mastaa kibao waguswa na mauaji!

Beyonce. MASTAA wa muziki na wanamitindo nchini Marekani wakiongozwa na Madonna, John Legend, Kim Kardashian, Beyonce na wengineo juzikati walionesha...

READ MORE

Monalisa akanusha kuwa mjamzito

LICHA ya tetesi kuzagaa kama ‘kimbunga’ kuwa mkongwe wa filamu Nollywood, Monalisa Chinda (40) mjamzito, staa huyo ameibuka na kukanusha...

READ MORE

Kumbe mjengo wa P Diddy mgumu kuuzika!

P Diddy IMEBAINIKA kuwa mjengo wa rapa wa Marekani, Sean Combs a.k.a P Diddy uliopo jijini New York ambao uliwekwa...

READ MORE

Rammy apata shavu Ghana

Stori: Boniphace Ngumije MUUZA sura kwenye filamu za Bongo, Rammy Galis ‘Pacha wa Kanumba’ amezidi kula mashavu katika Tasnia ya...

READ MORE

Selebobo amkamata Shilole moja kwa moja

Oku Chigozie ‘Selebobo’ Stori: Boniphace Ngumije MREMBO kutoka Bongo asiyekaukiwa matukio, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa msanii ambaye pia ni...

READ MORE

Quick Rocka: Penzi la Kajala halinitesi

Quick Rocka na Kajala Masanja. Stori: Boniphace Ngumije MSANII anayekimbiza katika Tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, Quick Rocka amedai...

READ MORE

Shilole alizwa na ‘akaunti yake’ ya matusi!

Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Staa wa muziki na sinema za Kibongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amelizwa na akaunti...

READ MORE

Nisha Amjibu Wolper

Salma Jabu ‘Nisha’ Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka...

READ MORE

Skendo za Wanaume… Mama, Baba Wamtenga Wolper

Jacqueline Wolper Stori: Imelda Mtema, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Jacqueline Wolper, staa wa Bongo Muvi, ametengwa na familia yake...

READ MORE

Dude ajuta kutofunga ndoa

Stori:GLADNESS MALLYA MSANII wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa anajuta kutofunga ndoa na mkewe, Eva kwani anateseka sana...

READ MORE

Uche agonga 30, awashangaza mashabiki

Andrew Carlos STAA mkongwe wa fi lamu Nollywood, Uche Ogbodo wiki iliyopita alitimiza miaka 30 na katika kusherehekea aliwashangaza mashabiki...

READ MORE

Tiwa Savage rasmi kwa Jay Z

STAA wa Ngoma ya Eminado kutoka Naija, Tiwa Savage amesaini rasmi lebo ya Roc Nation inayomilikiwa na staa wa Muziki...

READ MORE

Nick Cannon agomea talaka ya Mariah carey

Nick Cannon. Mume wa Mwanamuziki Mariah Carey, Nick Cannon juzikati aligoma kusaini karatasi za kuidhinisha kumpa talaka mkewe huyo kwa...

READ MORE

Chris Brown ajichora Royalty mgongoni mwake

Mwanamuziki Chris Brown juzikati alitupia picha yenye tatuu ya picha ya mwanaye Royalty ambayo ameichora mgongoni mwake kisha akashea kwa...

READ MORE

Baada ya FA kupata jiko… AY naye mbioni kufunga ndoa

Ambwene Yessaya ‘AY’ KUFUATIA staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku...

READ MORE

Chidinma ahofiwa kupotea

ZIKIWA zimepita wiki chache tangu staa wa muziki kutoka Naija, Chidinma Ekile atemane na lebo iliyokuwa ikimsimamia kazi zake za...

READ MORE

Notorious B.I.G Atengenezewa Sanamu

Christopher Wallace ‘Notorious B.I.G’. SANAMU ya aliyekuwa rapa marufu, Christopher Wallace ‘Notorious B.I.G’ ambaye kwa sasa ni marehemu inaendelea kutengenezwa...

READ MORE

Kim agawa kiatu cha laki 7

MWANAMITINDO na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian hivi karibuni alimfanyia sapraizi shabiki wake baada...

READ MORE