×

Celebrities

Baba’ke Amber Rutty Amwangukia JPM!

BABA wa msanii anayechipukia Bongo, Rutifya Abubakary ‘Amber Rutty’, Mzee Abubakary Abdul Milenga, amemwangukia laivu Rais Dk John Pombe Magufuli...

READ MORE

Kiba Apewa Silaha Kumkabili Mondi

BAADA ya kuibuka kwa vuta ni’kuvute mpya kati ya mastaa wakubwa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na...

READ MORE

Nicki Minaj Apata Mtoto

IMERIPOTIWA kuwa mwanamuziki Nicki Minaj  na mpenzi wake, Kenneth Petty, wamepata mtoto wao wa kwanza baada ya Nicki kujifungua siku...

READ MORE

Banana: Nashindana na Baba Kuimba, Hatumalizi Project – Video

MKALI wa sauti Bongo, Banana Zoro, amesema kuwa amekuwa kwenye ushindani mkubwa  na baba yake mzazi kiasi kwamba kila mmoja...

READ MORE

John Legend, Mkewe Wapata Pigo

FAMILIA ya mwanamuziki maarufu duniani kutoka nchini Marekani, John Legend (41) wamepata pigo baada ya kumpoteza mtoto wao waliyemtegemea kumpata...

READ MORE

Maua: Sijasikiliza Wimbo wa Mondi, Alicia Keys – Video

  MSANII wa Bongo Fleva, Maua Sama, amefunguka kuwa mpaka sasa bado hajapata muda wa kuitazama ngoma mpya ya msanii...

READ MORE

Msanii Aliyempigia Magoti Amber Lulu Kuomba Penzi Akubaliwa

Msanii Rasco Sembo ambaye alimpigia magoti msanii Amber Lulu kwa kumuomba kuwa naye kwenye mahusiano amesema ombi lake lilikubaliwa baada...

READ MORE

Ben Pol, Tajiri Anerlisa Wafunga Ndoa kwa Siri – Video

MSANII maarufu wa muziki wa RNB, Benpol, amefunga ndoa ya kanisani na mpenzi wake wa muda mrefu, Annerlisa, ambaye ni...

READ MORE

Mondi Ampotezea Kiba

Baada ya Alikiba kutoa wimbo wa Vijembe kwa Diamond wengi waliupokea vibaya ikiwemo Mashabiki zake ambao hawajamzoea Alikiba wa aina...

READ MORE

Mocco Awataja Wasiompenda Zuchu

MWANADAAJI wa muziki wa Bongo Fleva Mocco Genious amefunguka kuhusu wimbo wa Zuchu #CHECHE kufutwa YouTube baada ya taarifa kusikika...

READ MORE

Lukamba Auchambua Ugomvi wa Wake Zake

BAADA ya kuwepo kwa tetesi nyingi mtandaoni kuwa wake wa mpigapicha wa msanii mkubwa Bongo Nasibu Abdul ‘Diamond’, Ashraf Ibrahim...

READ MORE

Mambo 6 Miaka 30 ya Wema

MSANII na nyota wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu siku ya leo Septemba 29 anatimiza miaka 30, ambapo kupitia instagram...

READ MORE

Mondi, Harmo Waiteka Nigeria!

BURUDANI ya muziki ni sehemu inayofuatiliwa na wengi duniani kwa sababu ni kitu ambacho kinaleta furaha kwa watu hata kwenye...

READ MORE

Mke wa King Kiki Azungumzia Afya ya Mumewe

CONSTANSIA Kalanda ambaye ni mke wa msanii muziki wa dansi nchini Tanzania, King Kiki, amefunguka kuhusu kuumwa kwa mumewe huyo...

READ MORE

Marekani Yampa Shavu Mondi

HUJATAJWAhata na mkuu wa mkoa, msanii unavimba kichwa! Sikia hii: “Serikali ya Marekani yampa shavu msanii Diamond au muite Nasibu...

READ MORE

Wema Ajipunguzia Umri, Sikuzaliwa 1988

  MALKIA wa Bongo Movies, Wema Sepetu,  amekiri kutoa taarifa zisizo za kweli kuhusu  mwaka wa kuzaliwa kwake na umri...

READ MORE

Nandy Afunguka Ukweli Wote Kunasa Mimba ya Billnas

MREMBO anayefanya poa kwenye Bongo Fleva, Faustine Charles ‘Nandy’, ameweka wazi kuwa hana ujauzito ila mwili wake umeongezeka kwa sababu...

READ MORE

Mke Amtosa Lukamba

LICHA ya kukaa kwenye ndoa zaidi ya miaka minne, Mke mkubwa wa mpiga picha wa msanii Diamond Platnumz, Ashraf Lukamba,...

READ MORE

Fahyvanny: Rayvanny Kwangu Amefika

MZAZI mwenza wa msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny, mwanadada Fahima Msenga ‘Fahyvanny’ amekiri kuwa hatoweza kuachwa na mpenzi...

READ MORE

Meneja Amponza Tanasha Donna!

Staa wa muziki kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna Oketch, ameponzwa na meneja wake ajulikanaye kwa jina la Jamal Gadaffi.  ...

READ MORE

Uchebe Amkataa Shilole ‘Live’

Aliyekuwa mume wa mwanamuziki na mjasiriamali maarufu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe amefunguka kumkataa mwanamama huyo.   Akizungumzia ishu...

READ MORE

Denver Nuggets Dhidi ya LA Lakers, Nani Atacheza Fainali?

Denver Nuggets wameonesha uwezo wao wa kupambana dhidi ya LA Lakers, hakuna sababu ya kuamini kwamba hawawezi kuibuka kidedea katika...

READ MORE

Baada ya Mondi Kutangaza Kumzimia Mimi Mars, Zuchu Hapatoshi!

KITENDO cha mwanamuziki kinara wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kuweka wazi hisia zake za kimapenzi kwamba, anamzimia kinoma...

READ MORE

Bongo 255 Yahamia Mtaani, Balaa la Chid Benz Ilala Hatari Tupu – Video

SHOO namba moja ya burudani nchini, Bongo 255 inayoruka kupitia +255 Global Radio, leo Ijumaa, Septemba 25, 2020 imetoka studio...

READ MORE

Shughuli ya H-Baba Uzinduzi Kampeni za Shigongo Buchosa – Video

MSANII wa Bongo Fleva, H Baba, amekiwasha kwenye uwanja wa Nyakaliro wakati wa uzinduzi wa kampeni za ubunge wa Jimbo...

READ MORE

Alichokisema Nandy Kuhusu Kuwa na Ujauzito wa Billnass

MSANII wa kike kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nandy amefunguka kuhusu madai ya kuwa na ujauzito wa Billnass baada ya...

READ MORE

Shilole, Mume wa Mtu Utamu Kolea!

  LICHA ya staa wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kutotaka kuzungumzia uhusiano wake na mume...

READ MORE

Marioo Aaanika Ukweli Kutaka Kujinyonga Kisa Mimi Mars

Msanii wa Bongo Fleva, Marioo amenyoosha maelezo kuhusu kutaka kujinyonga kisa kutendwa kwenye suala zima la mapenzi kama ambavyo alivyoashiria...

READ MORE

Haijawahi Kutokea! Zuchu Aweka Rekodi ya Ajabu WCB

ANAWAKERA eeeh? Mchawi wa Zuhura Othman Soud almaarufu ‘Zuchu’ si mwingine, bali ni namba ambazo zinamfanya aweke rekodi ya ajabu...

READ MORE

 Mzee Yusuf Ana Jambo Lake Dar Live

MWENYE Taarab yake Bongo; Mzee Yusuf, anatarajia kufanya bonge moja la shoo kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar...

READ MORE

Usichokijua Kuhusu Kolabo ya Mondi na Alicia Keys

IJUMAA iliyopita haikuwa siku ya hivihivi tu kwenye Bongo Fleva na muziki wa Afrika kwa ujumla. Ni siku ilipoandikwa historia...

READ MORE

Christian Bella ‘Ku-Launch’ Albam Mpya, Amtaja Kiba, Rosa Ree – Video

MKALI wa masauti, Christian Bella, ametangaza ujio wa albamu yake mpya ambapo kila siku kuanzia leo ataachia video na wimbo...

READ MORE

Gabo: Mnakosea Kumfananisha Bongo Kanumba na Muvi

MSANII wa filamu, Gabo Zigamba, amefunguka kuhusu tabia ya watu kufananisha tasnia ya filamu za kibongo ‘Bongo Movie’ na marehemu...

READ MORE

Chemical: Wanaume Wananikataa, Hata wa Kunichezea tu Nitaridhika

  MSANII wa kike wa Hip Hop kwenye muziki wa Bongo Fleva, Chemical, ameomba ushauri wa kutaka msaada kwa sababu...

READ MORE

Diva Amwandikia Ujumbe Mzito Kiba na Mkewe!

ALIYEKUWA mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse ambaye hivi karibuni alitangaza kuacha kazi kwenye kituo hicho, amevunja ukimya na...

READ MORE

Ushosti wa Mobeto, TANASHA Shakani!

SAA kadhaa baada ya mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Hamisa Mobeto ‘Misa’ kuposti video mtandaoni akiwa na mzazi mwenzake, Nasibu...

READ MORE

Swizz Beatz Atoa Sababu Mondi Kuimba Kiduchu Ngoma ya Alicia

MTAYARISHAJI (producer) wa muziki wa mwanamuziki mkubwa wa Marekani, Alicia Keys, Swizz Beatz, amelazimika kutoa sababu ya kwa nini mwanamuziki...

READ MORE

Shilole Avunja Ukimya Kupora Mume wa Mtu

MAMBO ni Moto! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya hivi karibuni, msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali, Zuwena...

READ MORE

Fainali ya Denver Nuggets vs LA Lakers Kupigwa Kesho Alfajiri

Jisajili na ushinde bonasi kubwa kwa tiketi za ushindi! Fainali ya Western Conference inaendelea kupamba moto! LeBron James na Anthony...

READ MORE

Country Wizz Atoboa Siri ya Kusota Konde Gang

BAADA ya kupewa ndinga na Lebo yake mpya ya Konde Gang inayomilikiwa na Harmonize, msanii Country Boy amefunguka kuwa alikuwepo...

READ MORE