KIUNGO anayemaliza mkataba Yanga, Haruna Niyonzima ni raia wa Rwanda, sasa kikosi cha timu yake ya Taifa leo kinacheza...
READ MOREUONGOZI wa Azam FC umewaita mezani mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga ili kuzungumza nao kuhusu usajili wa mchezaji wao...
READ MORESIMBA imeamua kufuta mpango wa kumleta nchini Kocha Mrundi, Niyongabo Amars raia wa Burundi sawa na Amissi Tambwe wa Yanga,...
READ MOREJUZI Alhamisi winga Simon Msuva hakushiriki mazoezi ya Taifa Stars na kuzua sintofahamu, lakini jana asubuhi alishiriki mazoezi hayo...
READ MOREHENRY Tony Okoh ni yule beki raia wa Nigeria ambaye tulimtaja jana kwenye Championi Ijumaa kwamba Yanga imepanga kumsajili ili...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa Simba raia wa Uganda, Emmanuel Okwi anatarajia kukifuata kikosi hicho Afrika Kusini kwa ajili ya kambi ya...
READ MOREIsrael Kamwamba – Malawi. ISRAEL Kamwamba raia wa Malawi ni mpinzani wa Francis Miyeusho ‘Chichi Mawe’ ambaye anarekodi ya...
READ MOREKIKOSI cha Simba tayari kimeanza mazoezi yake ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuanza Agosti,...
READ MOREWAKATI mbiombio za usajili zikiendelea, habari ni kuwa Klabu ya Yanga imeamua kuachana na mpango wa kumsajili beki wa...
READ MOREMjasiri haachi asili na akiacha asili si jasiri tena hiyo imedhihirika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam...
READ MORESINGIDA United ipo jijini Mwanza kwa maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara ambapo tayari kocha wake, Hans van...
READ MOREKLABU ya Inter Milan inatarajiwa kutuma ofa ya kumsajili kiungo Nemanja Matic wa Chelsea baada ya klabu hiyo kukataa kumuuza...
READ MORESIKU chache tangu uongozi wa Yanga ukamilishe usajili wa kipa Mcameroon, Rostand Youthe, nahodha na beki wa kati wa timu...
READ MORETAYARI nchi imeshatikisika kutokana na ujio wa timu ya Everton ambayo kesho Alhamisi itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya mabingwa...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amesikia taarifa za kiungo mkabaji wa Azam FC, Himid Mao kutua katika timu hiyo...
READ MORELICHA ya kwamba msimu ujao Abdi Banda hatakuwepo katika kikosi cha Simba, lakini amefunguka kuwa kikosi hicho kitatisha zaidi...
READ MOREHIVI karibuni uongozi wa Simba ulikuwa na mpango wa kutaka kuachana na kocha msaidizi wa timu hiyo, Mganda, Jackson Mayanja....
READ MOREHAKIKA vita ya wakubwa watoto wanatakiwa kukaa mbali, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bilionea wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’,...
READ MORESTAA wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney ambaye ametua nchini leo Jumatano na kikosi cha timu yake mpya...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Ibrahim Ajibu, jana alitambulishwa na kuanza mazoezi ya pamoja na wenzake chini ya Kocha wa...
READ MOREKAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) imeiweka hadharani mikanda itakayogombaniwa katika mapambano ya Tubing wa Global TV, Afrika Mashariki...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma, atachelewa kujiunga na timu hiyo baada ya madaktari kumhitaji kwa ajili ya kumfanyia vipimo...
READ MOREUONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa bado nafasi ya aliyekuwa mlinda mlango wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’, ipo...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Singida United ya Singida, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, raia wa Uholanzi, ameutaka uongozi wa timu hiyo...
READ MOREPAUL Pogba bado anasubiriwa kuanza kufanya vitu vyake vilivyoifanya Manchester United ivunje rekodi ya dunia ili kumnasa msimu uliopita. Katika...
READ MOREINAWEZEKANA ikawa ni vizuri sana kuwa mtu ambaye unajivunia sana kujua lugha ya wenzako wakati ya kwako huijui vizuri? Mtu...
READ MORESTRAIKA wa zamani wa timu ya taifa ya England, Gary Lineker, ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi ya kuwa mcheza soka ambaye...
READ MORELIONEL Messi amesaini mkataba mpya unaomfanya alipwe mshahara ambao umevuka kiwango kinachotakiwa kulipwa kwa mchezaji, lakini Rais wa Barcelona,...
READ MOREARSENAL imerudi mezani na ofa ya pauni milioni 40 (Sh bilioni 114.4) kwa ajili ya kumnasa winga matata wa Monaco,...
READ MOREKOCHA Craig Shakespeare amepanga kuzungumza na Riyad Mahrez lakini amekusudia kumuonya winga huyo kuwa kama akionyesha kutofanya juhudi ili kushinikiza...
READ MOREShabiki wa soka, Vivien Bodycote, 59, ameamua moyo wake ufanye kazi mbili kwa wakati mmoja, kwanza ni kusukuma damu, pili...
READ MORESIKU chache baada ya Yanga kumtambulisha Ibrahimu Ajibu aliyetokea Simba, straika wa timu hiyo, Amissi Tambwe amesema kwa usajili walioufanya...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke, amewasili jijini Dar es Salaam akitokea nyumbani kwao Mbeya na wakati wowote atamwaga wino...
READ MOREKWA mara nyingine Yanga imeifunika Simba kwa gharama za mishahara kwa wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao wamesajiliwa hadi...
READ MORENAHODHA wa Simba, Jonas Mkude, amesema kuondoka kwa mshambuliaji wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu ndani ya kikosi chao hakutakuwa na...
READ MOREKOCHA wa Taifa Stars, Salum Mayanga amesema michuano ya Baraza la Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika (Cosafa) itakisaidia kikosi...
READ MOREBONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Idd Pialali ni mmoja kati mabondia watatu wa Tanzania watakaopanda ulingoni Julai...
READ MOREMUDA mfupi baada ya Yanga kumtambulisha mshambuliaji, Ibrahim Ajibu aliyetokea Simba, kocha wa timu hiyo, George Lwandamina ameagiza mchezaji huyo...
READ MORESTRAIKA Mbwana Samatta wa KRC Genk ya Ubelgiji kuanzia msimu ujao atavaa jezi namba 10 katika kikosi hicho akiachana na...
READ MOREUKIONA mwenyeji wako anakukaribisha halafu anakueleza jambo kuonyesha ana hofu nawe kuhusiana na jambo fulani basi ujue una shida...
READ MORE