Browsing Category
College
Tofauti ya Shahada ya Udaktari wa Heshima (H.C) na PhD
Mjadala mkubwa umeibuka katika mitandao ya kijamii hasa baada ya Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku Musukuma kutunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Siasa na Uongozi (Honoris Causa in Politics and Leadership) na Chuo cha…
Hawa Ndiyo Wakongwe Waliofanya Albam Nyingi Zaidi Bongo
MIAKA ya nyuma mafanikio ya msanii ilikuwa ni kuwa na album ambayo ilikuwa kama utambulisho wa msanii katika kazi zake. Album zilikuwa zikifanya poa kiasi kwamba, kuwafanya wasanii kutoa sana album kuliko single (ngoma mojamoja).
Japo…
Shule za Remnant Kimbilio la Wazazi
Remnant Nursery and Primary School, ni shule zinazotoa elimu bora kwa watoto kuanzia ngazi ya chekechea hadi darasa la saba kwa mchepuo wa Kingereza.
Shule hizo ni kimbilio kwa wazazi katika msimu huu, kuelekea mwanzoni mwa mwaka…
Rapa Young Dolph Auawa kwa Kupigwa Risasi
Rapa Young Dolph ameuawa kwa kupigwa risasi nje ya duka mjini, Memphis jana Jumatano. Rapa huyo mwenye umri wa miaka 36 ameuawa akiwa anatoka ndani ya duka kununua cookies.
Mmiliki wa duka hilo, Maurice Hill amesema mtu mmoja…
HESLB: Majina ya Wanafunzi 7,364 Waliopata Mkopo Awamu ya Pili
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia…
Kiba Amuibua Khaligraph Mwenye Kijiji Chake Bongo
KING Kiba amekuja kivingine kwa kumshirikisha msanii wa Kenya, Khaligraph Jones kwenye albam yake mpya iitwayo Only One King.
Amemshikisha katika ngoma iitwayo Habipty. Hajakosea, msanii huyo anasifika kwa kuwa na uwezo…
Vanessa Aaanika Jinsia ya Mtoto Wake
Baada ya Vanessa Mdee (Vee Money) na na mpenzi wake Rotimi kuthibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za hivi karibuni, mchumba wake huyo ameweka wazi jinsia ya mtoto wao.
Rotimi amefunguka kuwa wawili hao wanatarajia…
Majina ya Waliochaguliwa na NACTE Kujiunga Vyuo vya Afya
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura ya 129, ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu ya ufundi na mafunzo katika Vyuo ambavyo si Vyuo Vikuu ama Vyuo Vikuu Vishiriki nchini.…
Majina ya Waombaji Waliodahiliwa Katika Chuo Zaidi ya Kimoja
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma na wadau wa Elimu ya Juu nchini kuwa awamu ya kwanza ya udahili kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2021/2022 imekamilika.…
Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano (2021)
WANAFUNZI 4,105 wamechaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa mwaka huu katika uchaguzi wa awamu ya pili kutokana na waliochaguliwa awamu ya kwanza kutoripoti kwenye shule walizopangiwa.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya…
Wanafunzi 10 Bora Sayansi Kidato cha Sita 2021
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2021 na kutaja wanafunzi kumi bora waliofanya vizuri katika masomo ya sayansi.
Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021 visiwani Zanzibar…
Singida Kinara Matokeo ya Mtihani Kidato cha Sita 2021
Mkoa wa Singida umetajwa kuwa kinara wa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika Mei 2021.
Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Julai 10, 2021 visiwani Zanzibar, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania…
Hizi Ndio Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha Sita 2021
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo.
Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021 visiwani Zanzibar wakati…
Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2021 Hawa Hapa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu leo Jumanne Juni Mosi, 2021 amezungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Amesema Idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga…
Nafasi za Masomo Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam – Duce (2021/2022)
Mkuu wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) anatangaza nafasi za masomo ya umahiri na stashahada ya uzamili (postgraduate diploma) kwa mwaka wa masomo 2021/2022 katika kozi zifuatazo.
• Master of Arts in Public Administration…
Nafasi za Masomo, The Amazon College DSM
THE AMAZON COLLEGE inawaalika vijana wote waliomaliza kidato cha nne (IV) kujiunga na kozi Fupi za COMPUTER APPLICATION Katika kipindi hiki cha kusubiri matokeo yenu, Gharama zetu ni nafuu sana, pia chuo kinatoa kozi mbalimbali za Ajira…
Shigongo Amwaga Vifaa vya Shule kwa Watoto Wenye Mahitaji – Video
OFISI ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, kupitia kamati yake ya kuhamasisha wazazi kupeleka watoto shule, imeanza zoezi la kugawa sare za shule na madaftari kwa wanafunzi wanaotoka kwenye familia duni zisizo…
Tandabui Yafadhili Wataalamu wa Masomo ya Afya 480
VIJANA 480 wasiokuwa na uwezo wamepata ufadhili wa masomo katika fani mbalimbali katika Chuo cha Afya cha Tandabui kilichopo jijini Mwanza kati ya mwaka 2012 hadi 2020.
Akizungumza mapema leo Ijumaa, Januari 8, 2020, katika…
Wanafunzi 6 UDSM Washinda Tuzo Shindano la TEHAMA Huawei
TEHAMA Duniani baada ya kufanya vizuri katika fainali za Mashindano ya TEHAMA ya Kusini mwa Jangwa la Sahara ya Huawei. Hafla ya utoaji Tuzo kwa washindi ilifanyika Mtandaoni siku ya Oktoba 29, 2020.
Shindano hilo linalenga…
Mdau Wa Elimu Ajitolea Kuajili Walimu Wa Ziada
Katika kuunga mkono jitihada za serikali za kuboresha elimu nchini, Kampuni ya Uhandisi wa Umeme na Mitambo viwandani na Migodini ya Magare Ltd, imemuomba Mkuu wa shule ya sekondari ya Isagehe iliyopo katika halmashauri ya mji wa…
Benki ya NBC Yawaasa Wazazi Kuwekeza katika Bima ya Elimu
Wazazi nchini wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwakatia watoto wao Bima ya elimu itakayo wahakikishia uhakika wa kupata elimu bora hata pale wazazi wanaposhindwa kutimiza wajibu huo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ulemavu wa…
HESLB Yafunga Dirisha la Maombi ya Mikopo 2020/2021
1.0 UTANGULIZI
Tunafahamisha wadau wote kuwa kuwa leo Alhamisi (Septemba 10, 2020) saa 6:00 usiku dirisha la upokeaji wa maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kwa njia ya mtandao, litafungwa…
Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo vya Afya vya Serikali 2020/21
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura 129, ili kusimamia na kuratibu utoaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini.
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na…
Nafasi za Msomo Chuo Kikuu DUCE (2020/2021)
Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE anatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2020/2020 masomo ya umahiri na stashahada ya uzamili (postgraduate diploma) katika kozi zifuatazo.
Masters of Arts in Public Administration…
Chuo cha Kilimanjaro Institute Chaendelea Kupokea Wanafunzi
Muonekano wa KITM.
Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) kilichopo katika jengo la Mama Ngoma, Mwenge na Afrikasana, Sinza jijini Dar es Salaam, kimeendelea kutoa nafasi kwa wahitimu wahitimu wa…
SMART CODES Kuwapiga Msasa Wanafunzi Wabunifu Vyuo Vikuu
Kampuni ya Smart Codes kupitia Jukwaa la Smart Lab pamoja na Taasisi ya Human Development Innovation Fund (HDIF), imeandaa programu maalumu ya mafunzo kwa wanafunzi 400 vyuo vikuu nchini yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kuwa wabunifu…
HESLB Yafungua Maombi ya Mikopo Elimu ya Juu 2020/2021
TUNAPENDA kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi…
RC Awacharaza Viboko Wanafunzi Waliochoma Shule
MKUU wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewachapa viboko wanafunzi watano waliohusika katika tukio la kuchoma moto shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi milioni 26.
…
Amber Lulu, Gigy Money Wafika Pabaya
VITA nzito ya mastaa wawili wa kike wa Bongo Fleva; Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ na Gifty Stanford ‘Gigy Money’ imefika pabaya.Sasa kila mmoja anamrushia jiwe mwenzake kwamba ndiye mwenye matatizo, huku wakitoleana matusi ya nguoni.…
Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga kidato cha 5 na Vyuo
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema wanafunzi 73,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu.
Jafo alisema idadi hiyo ni kati ya…
Sinon: Taasisi Inayoongoza kwa Utoaji wa Elimu Ngazi Zote
HAPA Kazi Tu na Tanzania ya Viwanda, ndizo kauli mbiu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli.
Katika kumuunga mkono kiongozi huyu wa nchi, Taasisi ya Sinon Institute of Education, inatoa mafunzo…
Ndalichako: Mitihani Kidato cha Sita na Ualimu Itaanza Juni 29
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amesema mitihani ya kidato cha sita nchini itaanza Juni, 29 na kukamilika Julai 16, mwaka huu.
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dodoma,…
BIOLOGY: Evolution (FORM FOUR) – Video
Ni wiki nyingine ambapo programu ya Jipange na Pepa inazidi kushika kasi, leo ikiwa ni zamu ya Somo la Biology kidato cha nne, Topic ikiwa ni Evolution, ukiwa naye mwalimu mzoefu, Madam Consolata.
Wanafunzi wa kidato channe…
Jafo Atoa Maelekezo ya Ufundishaji Wanafunzi Online
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amelitaka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), kuhakikisha utaratibu wa kufanya marejeo ya mitihani ulioanza…
Corona Isitibue Masomo Yako, Jipange na Pepa Hapa
Kwa wanafunzi wote, katika kipindi hiki cha janga la corona, endelea kujiandaa na miyihani yako kupitia #GlobalTVOnline.
Walimu mahiri waliobobea katika taaluma ya ufundishaji na kuteuliwa na Taasisi ya Elimu,watakufundisha masomo yote…
BASIC MATHS FORM FOUR: Areas and Perimeters – Video
Jipange na Pepa Project inayoendeshwa na Kampuni ya Global Group kupitia magazeti pendwa kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), wanakuletea vipindi vya masomo ya darasani kwa njia ya runinga na simu yako ya kiganjani…
NECTA Yaahirisha Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu
Baraza la Mitihani nchini (Necta) limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyike Mei 4, mwaka huu 2020 hadi pale itakapotoa taarifa mpya.
Hatua hiyo imekuja baada ya Waziri Mkuu, Kassim…
Mtoto Baraka Atunukiwa Tuzo na Madaktari Muhimbili – Video
KWA mara nyingine tena, mtoto Baraka Shigongo mwenye ufahamu wa hali ya juu wa masuala mbalimbali ya Sayansi ya Afya ya Binadamu, ameendelea kuonesha Ulimwengu kipaji chake kwa kufundisha mambo mbalimbali makubwa yanayohusu afya ya…
Mtoto ‘Anavyofumua’ Fuvu la Mtu na ‘Kuanika’ Ubongo – Video
MTOTO mdogo aitwaye Baraka Shigongo (10) mwenye kipaji cha aina yake katika masuala mbalimbali hasa ya Sayansi, leo kwa mara nyingine tena katika mwendelezo wa darasa lake anatufundisha namna ambavyo mfumo wa mifupa (skeletal system)…