×

Featured Stories

Babu Seya, Papii Kutoka Jela

Nguza Viking “Babu Seya’ (wa pili kulia) na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ (wa tatu kulia) wakisindikizwa na askari magereza....

READ MORE

Kifo cha Mama Banza, Simulizi Inasikitisha

Marehemu Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’, Khadija Masanja Imelda Mtema, Risasi DAR ES SALAAM: Simulizi ya kifo cha mama mzazi wa...

READ MORE

Deci waanza upya

Stori: Elvan Stambuli, UWAZI DAR ES SALAAM: Wanachama wa Development  Entrepreneurship for  Community Initiative (Deci ), wameanza upya kulalamika na sasa wamemuomba...

READ MORE

Full Story Ujambazi wa Kivita Mbagala!

Miili ya majambazi hao ikiwa ndani ya gari la polisi. Stori: Issa Mnally na Makongoro Oging’,  UWAZI DAR ES SALAAM!...

READ MORE

Shamsa: Siwezi kumhukumu Nay

Staa wa Bongo Muvi, Shamsa Ford. Showbiz STAA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford kwa mara ya kwanza ameibuka na kuiongelea...

READ MORE

Gigy: Bila mil. 1 hunipati     

Gift Stanford ‘Gigy Money’. MUUZA nyago kwenye video mbalimbali za Kibongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwa mara ya kwanza amefungukia...

READ MORE

Miaka 15 Ateseka na Mguu

Msichana Debora Nekodemu. Stori: Idd Mumba,  UWAZI Mwanza: Msichana Debora Nekodemu 25, (pichani) mkazi wa Kijiji cha Nyambiti, Kata ya...

READ MORE

Mke, Mume Wagombea Mtoto Kortini, Bastola Yatumika!

Saada Joseph na mwanaye. Stori: Gregory Nyankaira,  UWAZI MARA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wazazi wawili ambao walikuwa ni mume...

READ MORE

Ukimwi kuisha Dar ni vigumu

Stori: Issa Mnally, Wikienda Dar es Salaam: Hali ni mbaya kama si tete! Kikosi maalum cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ cha...

READ MORE

Hatimaye Rayuu aolewa!

Alice Bagenzi ‘Rayuu’ na mumewe Ahmedi Said. Stori:  Mayasa Mariwata, Wikienda Dar es Salaam: Cherekochereko! Habari ikufikie kuwa mwigizaji wa sinema...

READ MORE

Diamond, Nay Wafanyiziwa

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Stori: Mayasa Mariwata na Musa Mateja, Wikienda Dar es Salaam: Majanga! Wiki...

READ MORE

Manji afanya kufuru ya bilioni nne

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji. Wandishi Wetu, Dar es Salaam WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likiwa katika harakati za...

READ MORE

Azam: Simba inaweza kuwa bingwa

Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam PAMOJA na kudondosha pointi tano kati ya sita kwenye...

READ MORE

Picha: Arsenal hoi kwa Man U, yapigwa 3-2

Manchester United wameibuka kidedea kwa kuichapa Arsenal mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England iliyopigwa Uwanja wa Old...

READ MORE

Walimu Dar kusafiri bure – DC Makonda

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa Darcoboa, Sabri Mabrouk akifafanua...

READ MORE

Picha 15: Cheka alivyomkalisha Mserbia

Bondia Francis Cheka ‘SMG’ jana usiku alifanikiwa kuiandikia Tanzania historia nyingine mpya baada ya kumchapa Muingereza, Geard Ajetovic katika pambano...

READ MORE

Ni Man U au Arsenal leo?

MASHABIKI wa soka duniani wanalisubiri kwa hamu pambano la leo la Ligi Kuu ya England kati ya Manchester United na...

READ MORE

JK azindua rasmi ligi ya mpira wa kikapu

 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  DK. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Ligi ya Mpira wa kikapu ya vijana...

READ MORE

Uchaguzi wa Meya Jiji la Dar Waahirishwa

Baadhi ya Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia taarifa iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Madiwani na wabunge wa jiji la Dar mda...

READ MORE

Wahujumu Yanga wakamatwa Manzese

Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas YANGA imewakamata watu wanne waliokuwa wakiihujumu timu hiyo kwa...

READ MORE

Maguri bado anawaota Tambwe, Kiiza

Straika wa Stand United, Elias Maguri. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam. LICHA ya kuachwa kwa mabao sita na kinara wa...

READ MORE

Jokate, Kiba wazichapa

Wapendanao, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Kiba ‘King Kiba’ wakiwa katika pozi. Na mwandishi wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Mume Akataliwa na Mkewe Anywa Sumu!

Kijana Geofrey Godian baada ya kunywa sumu. Na Gladness Mallya Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Kisa kinashangaza! Kijana Geofrey Godian...

READ MORE

Wolper, Dk. Fadhili siri yao yavuja

Dk. Fadhili katika pozi na Wolper. Na mwandishi wetu Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Siri imevuja! Daktari wa Kitengo cha...

READ MORE

Gigy Money yamkuta mazito

Video Queen anayeshaini kwenye tasnia ya Bongo Movie, Gift Stanford ‘Gigy mone’. Na Nyemo Chilongani, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Gianni Infantino ndiye rais mpya wa FIFA

Rais mpya wa FIFA, Gianni Infantino ametoa ahadi ya kufanya kazi na wote na kurudisha heshima ya FIFA. Matokeo ya...

READ MORE

Mawaziri watakiwa kurejesha fomu za maadili leo

Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa  ofisi ya Waziri Mkuu wakati alipotoa maagizo...

READ MORE

Kidoa akwapua mume wa mtu

Asha Salum ‘Kidoa’ na anayedaiwa kuwa mme wa mtu wakiwa katika pozi. Stori:  Hamida Hassan na Mayasa MaRiwata Staa anayeibukia,...

READ MORE

Zari Aibu Yake!

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Stori: Mwandishi, Wetu, Ijumaa Dar es Salaam:...

READ MORE

Shilole, Nuh sasa full kudolishiana

Shilole na Nuh Mziwanda enzi wakiwa wapenzi. Stori: Musa Mateja Baada ya hivi karibuni Shilole na Nuh Mziwanda kumwagana kisha...

READ MORE

Njemba anaswa madai ya wizi wa nguo majumbani!

Mangi akiwa chini ya ulinzi. Stori:  Dustan Shekidele, Morogoro. AMENASWA! Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kuelezea tukio la njemba  mmoja...

READ MORE

Mwanamuziki Mkongwe Kassim Kapili Afariki Dunia

Mwanamuziki mkongwe wa muziki dansi Kassim Mapili akicharaza nyuzi za Gitaa lake chini ya Kundi zima la Mjomba Band. MWANAMUZIKI...

READ MORE

Imevuja! Wanaowajaza Mimba ombaomba Wajulikana

Familia za ombaomba hao. DAR ES SALAAM: Imevuja! Wakati wimbi la wananchi kuingia jijini Dar es Salaam kutoka mikoani na...

READ MORE

Tumbua Tumbua ya JPM, Vigogo Hawa Wingu Jeusi

Rished Bade DAR ES SALAAM: Ni wingu jeusi kwao! Mpaka sasa, Rais  Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ ameshawatumbua majipu karibu...

READ MORE

Lulu adaiwa kulipiwa mahari

Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Dar es Salaam: Wakati akikanusha vikali taarifa mbaya za kuzushiwa kifo mwishoni...

READ MORE

Vigogo waliotorosha makontena kuanza kufilisiwa leo

WADAIWA 16 waliokwepa kulipa kodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baada ya kutorosha kontena za mizigo yao kwenye Bandari...

READ MORE

Tamasha la Changia Damu kufanyika leo

Tamasha la Changia Damu Okoa Maisha linatarajiwa kuanza leo katika Uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam ambapo pia kutakuwa...

READ MORE

Mabeste naye kutoa Nakuchana Leo

Staa wa Hip Hop, Venance Mabeste. ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu mastaa wa Muziki wa R&B Bongo, Bernad Paul ‘Ben...

READ MORE

Zari akubali kumpeleka Tiffah kwa baba Diamond

Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na mwanaye Tiffah. DAR ES SALAAM: Exclusive! Baada ya mjadala wa muda mrefu,...

READ MORE

Ndege Yapotea ikiwa na watu 23

Ndege ndogo ya shirika la ndege la tara Airlines iliyokuwa na watu 23 wakiwemo watoto imepota ikiwa maeneo ya usawa...

READ MORE