×

Global TV Online

Michael B. Jordan Ashinda Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume Oscars 2026

Nyota bora zaidi wa filamu duniani wamekabiliana kwenye jukwaa la Oscars, tukio linalotambuliwa kimataifa kama la heshima kubwa zaidi katika...

READ MORE

Kim Jong Un, Binti Yake Wafyatua Risasi Kiwanda cha Silaha Korea Kaskazini

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameonekana akifyatua risasi kwa bastola pamoja na binti yake, Kim Ju-ae, wakati wa...

READ MORE

Benki ya Absa Tanzania Yadumisha Ushirikiano na Wateja Wake

Benki ya Absa Tanzania imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na wateja kwa kuandaa hafla ya futari iliyowakutanisha viongozi wa benki, viongozi...

READ MORE

Waziri Mkuu Asisitiza Amani, Maadili Na Ushirikiano Na Taasisi Za Dini – (Picha +Video)

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za dini nchini katika kulinda amani, kuimarisha...

READ MORE

Meneja wa Global Azungumzia Umuhimu wa Kuishi Kwa Maadili Baada ya Kifo cha Ssebo – Video

Meneja Mkuu wa Global Group, Abdallah Mrisho leo Machi 14, 2026 amesema kuwa kifo ni fumbo na kila mwanadamu anapaswa kujiandaa...

READ MORE

Marekani kushirikiana na Tanzania kuimarisha ulinzi

Serikali ya Marekani imesaini makubaliano ya ushirikiano na Tanzania katika masuala ya kuimarisha jeshi, ulinzi wa amani na usalama wa...

READ MORE

#Live Kanisani: Ibada Ya Kuaga Mwili Wa Ssebo Parokia ya Mtakatifu Martha Mikocheni

Misa ya kuombea mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM Tanzania na TVE Tanzania, marehemu Dennis Busulwa...

READ MORE

Kihongosi Ampongeza Mbunge Shigongo Kwa Utendaji Mzuri Buchosa – Video

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa,...

READ MORE

Video: Marekani Yaeleza Kwa Nini Haisindikizi Meli Mlango wa Hormuz

WAZIRI wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth ameeleza sababu ya kwa nini jeshi la Marekani bado halijaanza kusindikiza meli zinazopita...

READ MORE

Video: Boti Yapinduka na Kuua Watumishi 6, Miili 3 Haijapatikana Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amrmetoa pole kwa uongozi wa Wilaya ya Kigoma mkoani hapa kufuatia tukio...

READ MORE

Zoezi la Pamoja Kati ya JWTZ na Jeshi la Marekani Lahitimishwa Msata

Zoezi la pamoja la medani Justified Accord 2026 lililohusisha Kikosi Maalumu cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...

READ MORE

Haji Manara Azungumzia Mchango wa Ssebo Kwenye Tasnia ya Habari ‘Tumepoteza Mtu Muhimu’ – Video

Diwani wa Kata ya Kariakoo, Haji Manara, amezungumzia kuhusu marehemu Denis Busulwa almaarufu Ssebo, akimwelezea kama mtu aliyekuwa na moyo...

READ MORE

Wanafunzi Hatarini Kuzama Kwenye Daraja la Mbao, Wakazi Wafunguka Mazito – Video

BABATI, MANYARA — Wakazi wa mitaa ya Mruki na Msasani katika Halmashauri ya Mji wa Babati wamesihi Serikali kuingilia kati...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Toyota Prius na Namna Inavyotumia Teknolojia ya Umeme (EV Mode) – Video

Toyota Prius imekuwa mfano wa ubunifu katika sekta ya magari duniani kutokana na mfumo wake wa Hybrid Synergy Drive, unaounganisha...

READ MORE

Sudan: Mashambulizi ya Ndege Zisizo na Rubani Yaendelea, Raia Wauawa

Mapigano yanayoendelea nchini Sudan tangu Aprili 2023 kati ya jeshi la serikali lenye makao Port Sudan na vikosi vya upinzani...

READ MORE

Iran Yatuhumiwa Kushambulia Meli za Mafuta Katika Ghuba ya Uajemi – Video

Iran imetuhumiwa kushambulia meli mbili kubwa za mafuta katika Ghuba ya Uajemi kwa kutumia boti zilizokuwa zimebeba vilipuzi, tukio lililosababisha...

READ MORE

Abdulrazak Salum Aeleza Jinsi Ndoa Ilivyomvuruga Maishani – Video

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Abdulrazak Salum, amefunguka na kueleza kuwa ndoa iliwahi kuchanganya maisha yake kwa kiasi kikubwa hadi...

READ MORE

Stanbic Yaandaa Futari Kuimarisha Mahusiano na Wadau

Benki ya Stanbic imeandaa futari maalum iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya kushiriki baraka za mwezi...

READ MORE

Vodacom Wakabidhi Matundu 10 ya Vyoo Shule ya Mkata

Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Twende Butiama pamoja na Stanbic Bank wamejenga matundu 10 ya kisasa ya vyoo katika...

READ MORE

Ubalozi wa Uingereza Waipongeza Tanzania kwa Kukabiliana na Marburg

Ubalozi wa Uingereza nchini umeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mkakati na juhudi kubwa zilizowekwa katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko,...

READ MORE

Vodacom Tanzania Foundation Yazindua Kambi ya Afya Bure Morogoro

Magonjwa yasiyoambukiza kama shinikizo la damu, kisukari na magonjwa ya moyo yanaongezeka nchini Tanzania, yakichangia takribani asilimia 34 ya vifo...

READ MORE

Rais Samia Amuasili Mtoto Mchanga Aliyetelekezwa Tabora – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo tarehe 11 Machi,...

READ MORE

Ssebo wa EFM Afariki Dunia Akipatiwa Matibabu Muhimbili

Mkurugenzi wa Uzalishaji na Biashara wa Kituo cha Redio cha EFM na TVE, Denis Busulwa almaarufu Ssebo, amefariki dunia usiku...

READ MORE

Marekani Yatangaza Mafanikio Mapya Dhidi ya Iran, Yadai Kuangamiza Meli 50 – Video

Jeshi la Marekani limesema limepiga hatua kubwa katika kudhoofisha uwezo wa kijeshi wa Iran tangu kuanza kwa operesheni za kijeshi...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yashuka Baada ya Trump Kusema Vita vya Iran Vinaelekea Mwisho – Video

Rais wa Marekani Donald Trump amesema vita dhidi ya Iran vimekaribia kukamilika kabisa, akidai kuwa Iran ilikuwa inapanga kuishambulia Marekani...

READ MORE

Profesa wa Sheria, Mwanadiplomasia Costa Mahalu Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 77

  Profesa wa sheria na mwanadiplomasia, Costa Mahalu (77), amefariki dunia. Taarifa kutoka kwa familia yake imethibitisha kuwa Profesa Mahalu...

READ MORE

Wabunge Wawili wa CCM Chato Wafikishwa Mahakamani, Tuhuma Nzito za Rushwa – Video

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imewafikisha mahakamani Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini, Cornel...

READ MORE

Rais Samia Amkabidhi Msaada wa Shilingi Milioni 10 Mzee Zahir Zorro

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, Machi 8, 2026, amemtembelea na kumjulia hali mwanamuziki mkongwe wa...

READ MORE

Shule Ya Msingi Kiromo Yakarabatiwa Kwa Ufadhili Wa Airtel

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Charles Kamoto, ametembelea Shule ya Msingi Kiromo kukagua maendeleo ya mradi wa ukarabati unaofadhiliwa na...

READ MORE

Video: ‘House Girl’ Afikishwa Mahakamani Kwa Tuhuma Za Kujaribu Kuua Kichanga

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, Machi 9, 2026, limemfikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela, Faima Yasin Twaibu (19),...

READ MORE

Rais Putin Ampongeza Mtoto wa Khamenei Kuteuliwa Kuiongoza Iran

  Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amemtumia salamu za pongezi Mojtaba Khamenei kufuatia uteuzi wake kuwa kiongozi mpya wa Iran....

READ MORE

Video: Mtoto (13) Afariki Baada Ya Kubakwa na Kulawitiwa, Iringa

MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa eneo la Isakalilo katika Mtaa wa Njiapanda, Manispaa ya Iringa,...

READ MORE

UNDP, Uingereza Watoa Mamilioni ya Fedha Kuimarisha Biashara Bunifu

Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania) pamoja na Serikali ya Uingereza kupitia Ofisi ya Mambo ya Nje,...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yapanda Baada Ya Iran Kumtangaza Mojtaba Khamenei

IRAN usiku wa kuamkia leo Jumatatu Machi 9, 2026 imemteua Mojtaba Khamenei kama kiongozi wake mkuu, akichukua nafasi ya baba...

READ MORE

Mazoezi Makali ya Rais Mstaafu wa Botswana Yawavutia Wengi – Video

Rais mstaafu wa Botswana, Ian Khama (73), bado anaonesha kiwango kikubwa cha uimara wa mwili kwa kuendelea kufanya mazoezi makali...

READ MORE

Mtoto Nuru: Alizaliwa Kwenye Ajali Iliyomuua Mama, Afikisha Mwaka – Video

Ni simulizi ya kusikitisha lakini yenye tumaini. Mtoto Nuru alizaliwa katika mazingira ya kutisha ambayo si rahisi kuamini kwa haraka....

READ MORE

Video: Rais Samia Amzawadia Gari Mama Kanumba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemzawadia gari aina ya Toyota Harrier mama wa marehemu Steven...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 08, 2026 amekagua maendeleo ya ukarabati na uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Piga Pesa Mechi Zote na Meridianbet Leo

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu...

READ MORE

Mlinzi Ang’olewa Meno Manne, Wanachuo 17 Wakamatwa Tabora, RC Paul Chacha Athibitisha – Video

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amethibitisha kukamatwa kwa wanachuo 17 wa Chuo cha Ardhi tawi la Tabora kwa...

READ MORE