×

Global TV Online

Mzee Tifutifu Anayedai Kuwatupia Majini Simba Afunguka – Video

Mzee Athuman Mshomari almaarufu Mzee Tifutifu, ambaye anadai kuwa ni mganga wa kienyeji, amedai kuwa yeye ndiye chanzo cha matokeo...

READ MORE

Pep Guardiola Azungumzia Mauaji Marekani, Israel, Ukrane – Video

Pep Guardiola amesema atatumia nafasi yake kama mmoja wa watu wanaosikilizwa zaidi duniani kuzungumzia “maumivu” anayohisi kuhusu waathiriwa wa migogoro...

READ MORE

Taarifa ya Polisi Kuhusu Kundi la Uasi Mwanza – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetoa wito kwa wananchi kuzipuuza taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii zenye kichwa cha...

READ MORE

Rais Samia Akizungumza Jambo na Makamu Rais wa UAE

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Fursa za Uwekezaji Tanzania Mbele ya Viongozi wa Dunia

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa hakikisho la miundombinu bora ya uwekezaji nchini kwa wawekezaji duniani, akisema Tanzania imewekeza vema...

READ MORE

Makamu Nchimbi Kwenye Mazishi ya Munde Tambwe Tabora

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, amewasili katika Kata ya Cheyo, Manispaa ya Tabora mkoani...

READ MORE

”Prof Mkumbo na Mimi Tulifukuzwa CHADEMA” – Baba Levo – Video

Msikilize Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando almaarufu Baba Levo alivyowavunja mbavu wabunge wakati akisimulia jinsi yeye na Waziri Kitila...

READ MORE

Watanzania Watakiwa Kushiriki Kudhibiti Silaha – Video

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amewataka watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa...

READ MORE

Moto Mkubwa Wazuka Iran, Mvutano na Marekani Ukiendelea – Video

Moto mkubwa umezuka katika soko la Jannat Abad lililopo magharibi mwa mji mkuu wa Iran, Tehran, na kusababisha hofu kubwa...

READ MORE

Rais Samia Aanza Ziara ya Kikazi Dubai, Afanya Mazungumzo na Viongozi

Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jumanne, Februari 3 ameanza ziara ya kikazi Nchini Dubai,...

READ MORE

Mahakama Kuu Yaiamuru Serikali Kumlipa Bilioni 3.22 Mmiliki wa Jengo Lililobomolewa Mbezi

Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi, imewaamuru aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halmashauri ya Manispaa...

READ MORE

Rais Samia Awasili Dubai, Azungumza na Waziri wa Sheria – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al...

READ MORE

Iran Yakubali Mapigo! Yaomba Mazungumzo na Marekani – Video

Iran imesema iko katika hatua ya kutathmini masharti ya kurejea kwenye mazungumzo ya nyuklia na Marekani, huku pande zote zikionyesha...

READ MORE

Madai Mazito Yafichuliwa Kati ya Familia Ya Trump na Mwanamfalme – Video

Ripoti mpya ya uchunguzi iliyochapishwa na gazeti la The Wall Street Journal imeibua mjadala mkubwa wa kisiasa na kiusalama, baada...

READ MORE

Dkt. Lazaro Bunungu Achukua Fomu Kuwania Ubunge Peramiho – Video

Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Lazaro Komba Bunungu, amechukua rasmi fomu...

READ MORE

Kimenuka Arusha, Wananchi Wafunga Barabara – Video

Wananchi wa Mtaa wa Migungani Kata ya Sokone One jijini Arusha wamefunga barabara ya kuelekea Mnara wa Voda Sombetini baada...

READ MORE

Shabiki Ampiga Ngumi Mangungu – Video

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu jioni ya leo ameingia kwenye ‘kashkash’ baada ya shabiki wa Simba kutaka kumshushia...

READ MORE

Simba Yachechemea Ligi ya Mabingwa Baada ya Sare ya 2 – 2

Dakika 90 za mchezo mkali wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC na Espérance Sportive de Tunis zimekamilika...

READ MORE

Video: Mbunge Shigongo Atoa Hoja Muhimu Bungeni, Apongeza Rais Samia

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo Alhamisi ya Januari 29, 2026 alipata nafasi ya kuchangia hoja bungeni ambapo alishauri mambo mengi...

READ MORE

Marekani, Israel Zakanusha Kuhusika na Milipuko Iran – Video

Marekani na Israel zimekanusha kuhusika kwao na mlolongo wa milipuko ya ajabu iliyotikisa maeneo tofauti nchini Iran mwishoni mwa wiki,...

READ MORE

Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2025, Ufaulu Wapanda Hadi 94.98% – Video

Dar es Salaam, Januari 31, 2026 — Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato...

READ MORE

Mwigulu Kumuwakilisha Rais Samia Hafla ya Utoaji Tuzo za Uhifadhi na Utalii

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ambapo...

READ MORE

Matokeo ya Form 4 Yanatangazwa na NECTA – Video

  Dar es Salaam, Januari 31, 2026 — Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa...

READ MORE

Mke Wa Rais Wa Zamani Wa Korea Kusini Ahukumiwa Miezi 20 Jela

Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini, Kim Koen Hee, amehukumiwa kifungo cha miezi 20 jela kwa kupokea hongo...

READ MORE

Wabunge Wathibitisha Wenyeviti Wapya wa Bunge

Leo, Januari 28, 2026, Bungeni Jijini Dodoma, wabunge wa Tanzania wamewathibitisha Cecilia Paresso, Najma Giga, na Deodatus Mwanyika kuwa Wenyeviti...

READ MORE

Waziri Mkuu: Serikali Haitavumilia Uzembe, Mageuzi ya Sera Kuendelea – Video

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kufanya mageuzi ya sera zinazogusa moja kwa moja maslahi na ustawi wa...

READ MORE

Mbunge wa Momba Aishinikiza Serikali Kupunguza Gharama za Intaneti – Video

Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe kwa mara nyingine ameibua suala la gharama kubwa za mabando na intaneti, zinazosababisha ugumu...

READ MORE

Mmoja Afariki, 12 Wajeruhiwa Ajali ya Lori na Basi Shinyanga – Video

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha roli na basi, iliyotokea leo Januari majira...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Aungana na Rais Samia Kulinda Mazingira kwa Kupanda Miti Dodoma

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu...

READ MORE

Mbwambo (34) Ajiua Kwa Kujikata Koromeo Akiwa Gesti – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa tukio la kifo cha cha Gidion Ebenezeri Mbwambo (34). Tukio hilo...

READ MORE

Rais Samia Apanda mti Bungi Kilimo, Zanzibar kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa – Video

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepanda mti katika eneo la Bungi Kilimo, Zanzibar,...

READ MORE

Amjeruhi Mkewe Hadi Kumtoa Utumbo Kisa ARV’s Anazomeza Kwa Siri – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mwanaume mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa Kijiji cha Tingi kilichopo Wilaya...

READ MORE

Waziri Mkuu Awaagiza TAKUKURU Kuwatia Hofu Wala Rushwa- Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewaagiza TAKUKURU kutengeneza mazingira magumu kwa mtu yeyote...

READ MORE

BoT Yawakumbusha Wananchi Kutunza Fedha Ili Kuepuka Kuharibika kwa Noti

Wananchi wamekumbushwa umuhimu wa kutunza fedha kwa kuziweka katika mazingira salama ili kuepusha kuharibika kwa ubora wa noti na changamoto...

READ MORE

Mbunge Musukuma ‘Azichapa’ na Mwekezaji, Serikali Yatajwa Kuchukua Hatua – Video

Wabunge kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya...

READ MORE

Sakata la Ardhi Karagwe: Watoto wa Marehemu Wadai Kudhulumiwa Ekari 32 – Video

Sakata la familia ya marehemu Cleophace Rutaiga inayoishi Karagwe mkoani Kagera kudai kwamba baba yao mdogo kwa kushirikiana na shangazi...

READ MORE

Mbowe Aitaka Serikali Kuwaachia Wafungwa wa Kisiasa Ili Kuponya Taifa – Video

Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameitaka Serikali kukiri ukweli na kuwaachia wafungwa wa kisiasa waliopo magerezani ili kuponya...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Atoa Heshima za Mwisho kwa Mwili wa Mzee Edwin Mtei

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Gavana...

READ MORE

Mfahamu Mohammed bin Salman (MBS) Mkombozi wa Saudi Arabia Mpya Mkono wa Chuma – Video

Mohammed bin Salman Al Saud, maarufu kama MBS, ni Mwana Mfalme wa Saudi Arabia na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa zaidi...

READ MORE

Jeneza la Mzee Edwin Mtei Lafunikwa Bendera ya CHADEMA, Lapelekwa Tengeru – Video

Jeneza lililobeba mwili wa mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mwanzilishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),...

READ MORE