×

Global TV Online

IGP SIRRO Asimulia: Waliomteka Mo Dewji Walitaka Pesa – VIDEO

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amezungumzia tukio la kupatikana kwa mfanyabishara maarufu nchini, Mohammed Dewji kutoka...

READ MORE

JPM ATOA TSH 50M KWA TAIFA STARS ‘MKIFUNGWA MTAZITAPIKA’- VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amekutana na kuzungumza na wachejazi wa Timu ya Taifa ya...

READ MORE

IGP SIRRO: HII NDO GARI ILIYOMTEKA MO, ILIPOTELEA KAWE – VIDEO

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema jeshi hilo kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama limefanya...

READ MORE

SIMANZI: Isack Gamba Aacha Vilio ITV/RADIO ONE, Wafanyakazi Wafunguka – Video

Global Tv imezungumza na walioahi kufanya kazi na Isaac Gamba katika ofisi za ITV/Radio One jijini Dar es salaam ambapo...

READ MORE

BREAKING: Mtangazaji Isaac Gamba Afariki Dunia -Video

 MTANGAZAJI wa Idhaa ya Sauti ya Kiswahili (DW) ya Ujerumani, Isack Gamba amefariki dunia leo akiwa nnyumbani kwake chini humo....

READ MORE

Kardinal Pengo Azungumzia Waraka wa KKKT, Ugomvi wa Makanisa – VIDEO

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Pengo amesema injili peke yake haitoshi kuhubiri amani bali...

READ MORE

BREAKING: Lema Afunguka MO Dewji Kutekwa, A-Z Kilichotokea! – Video

MBUNGE wa Arusha Mjini wa  (CHADEMA) na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Godbless Lema, amesema serikali inao wajibu mkubwa...

READ MORE

VIDEO: Haya Ndiyo Maisha Ya Wamakonde Waishio Kenya, UTASHANGAA!

 GLOBAL TV KENYA imefanya makala fupi inayoelezea kwa kina zaidi maisha ya watu wa kabila la Wamakonde wa Msumbiji...

READ MORE

LUGOLA: Nchi Iko Salama, Polisi Wanaendelea Kumtafuta Mo Dewji – Video

WAZIRI Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola,  leo amesema nchi ipo salama na Watanzania waendelee na shughuli zao za...

READ MORE

BREAKING: CCM watembea kwa miguu hadi kwa mama Maria Nyerere – VIDEO

KUELEKEA katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa la Tanzania, Mwl Julius Nyerere, Umoja...

READ MORE

Video: Wekesha Umiliki Simu Janja Ndani ya Miezi 3 tu!

KAMPUNI ya Vodacom imewawezesha watumiaji wa mtandao wake kupata au kumiliki Smartphone wanayoipenda kwa kulipa kidogokidogo kupitia M-Pesa ndani ya...

READ MORE

Nyoshi, Asepa Na Kijiji Dar Live – Video

 BAADA ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa Muziki wa Dansi, hatimaye mashabiki wameshuhudia rekodi ya muziki huo...

READ MORE

VIDEO YA TUKIO MAALUM IKULU LEO, JPM APOKEA UGENI MZITO

Mhe. Rais Magufuli amepokea hati za utambulisho za Mabalozi walioteuliwa kuziwakilisha nchi za Ubelgiji, Norway, Sweden, Palestina na Kuwait hapa...

READ MORE

BREAKING: JPM Amwapisha SKAUTI Mkuu wa TANZANIA – Video

Mhe. Rais John Pombe Magufuli amewaapisha Dkt. Faraji Mnyepe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

READ MORE

DODOMA: Ofisa Elimu Hatiani kwa Kuiba, Kusambaza Mitihani WhatsApp – Video

UONGOZI wa Idara ya Elimu ya Halmashauri ya Chemba mkoani Dodoma kwa kushirikiana na waratibu na walimu wakuu wa shule,...

READ MORE

BREAKING: WEMA Aomba Msamaha Hadharani – Video

Muigizaji maarufu Bongo, Wema Sepetu, amewaomba radhi waandishi wa habari  kutokana na kile kilichotokea kwenye uzinduzi wake uliofanyika juzi Ijumaa...

READ MORE

Kutana na Msauzi Anayeipenda Global TV Online Kuliko Maelezo- Video

GLOBAL TV ONLINE imezidi kupenya na kutanua wigo wake kila kukicha kwa kujiongezea mashabiki kutoka pande zote za dunia, ukiachilia...

READ MORE

JPM Azindua Mfugale Flyover ya Tazara Dar, Atema Cheche – Video

Barabara ya juu katika eneo la Tazara ambayo inazinduliwa leo na Rais Dkt.John Pombe Magufuli ujenzi wake umegharimu kiasi cha...

READ MORE

EXCLUSIVE: Maisha ya Zabibu Kiba na Abdi Banda Sauzi – Video

Zabibu anaishi Polokwane, maisha yake yatakuwa hapa kwa kuwa mumewe, Abdi Banda anafanya kazi hapa. Anaichezea Baroka FC inayoshiriki Ligi...

READ MORE

BREAKING: Muhimbili Yafanikisha Upasuaji Watoto Walioungana! – VIDEO

DAR ES SALAAM: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imefanikiwa kufanya upasuaji na kutenganisha mapacha wawili waliozaliwa Kisarawe mkoani Pwani, Julai...

READ MORE