×

Global TV Online

COMFIRMED: Muigizaji Mkubwa CHINA Kutua Nchini! – VIDEO

Bodi ya Utalii Tanzania imetangaza ujio wa Muigizaji nguli kutoka nchini China, Saimon Yam, atakayekuja mapema mwakani akiambatana na watalii...

READ MORE

MEMBE: Kuzaliwa, Elimu, Harakati Za Urais, Mgogoro CCM! – VIDEO

  Katika kipindi cha ‘THE PROFILE’ Wiki tumekuandalia historia ya Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje enzi za Utawala wa...

READ MORE

CCM wamvaa LOWASSA “Akae Atulie Alee Wajukuu” – VIDEO

KIUFUATIA uamuzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Tanzania, Dkt John Magufuli, kumteua Katibu...

READ MORE

USHIRIKINA: MKE Avishwa Sanda Kisa Upofu/Aitwa Maiti/Mume Amkimbia – VIDEO

Dunia ina mambo! hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia sakata la mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la, Velda Munuo, mkazi wa...

READ MORE

BREAKING: UVCCM WAMKINGIA KIFUA MAGUFULI – VIDEO

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Desemba 24, wamempongeza rais Dkt John Magufuli, kwa jitihada kubwa anazozifanya...

READ MORE

BREAKING: Chadema Waibuka na Daftari la Wapiga Kura – VIDEO

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kulifanyika maboresho daftari la...

READ MORE

GLOBAL TV IS BIGGER THAN VANCOUVER, VENICE & LAS VEGAS – YOUTUBE

You’re bigger than Vancouver.   You’re bigger than Venice.  You’re even bigger than Las Vegas. One million subscribers.  Maybe you’ve imagined...

READ MORE

Magufuli Amzawadia Milioni 10 Aliyeitorosha Ndege – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemkabidhi kiasi cha shilingi milioni 10, Mtanzania ambaye alisababisha...

READ MORE

ALIKIBA na Kundi Lake Wafunika Fiesta Dar ( Video + Video)

MWANAMUZIKI bab’kubwa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’,  usiku wa kuamkia leo amefanya shoo ya aina yake akiwa na...

READ MORE

MAKONDA AMUOMBEA RUGE JUKWAANI FIESTA (PICHA +VIDEO)

Makonda akiongea jambo   MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, usiku wa kuamkia leo ameshuhudia Tamasha la...

READ MORE

FIESTA DAR: CHID BENZ AFANYA MAZISHI JUKWAANI! – VIDEO

Kama uliimiss kumuona mtu mzima Chid Benz kwenye steji au labda ulihisi kuwa balaa lake stejini limepungua kasi basi naomba...

READ MORE

GLOBAL HABARI DEC 22: Mpango wa Maendeleo Wazinduliwa, JAFO Atia Neno

 Mpango wa Maendeleo ya Elimu Mkoa wa Arusha, umezinduliwa leo Desemba 22, katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha,...

READ MORE

Mtandao wa Wanafunzi Wanazungumza na Wanahabari – VIDEO

 Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP) wamezungumza na waandishi wa habari leo Desemba 22, na kuorodhesha changamoto mbalimbali zinzowakumba wanafunzi...

READ MORE

Vyama Vya Upinzani Vyamvaa Jaji Mutungi – Video

 Vyama 10 vya upinzani nchini vimemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kurejesha ratiba za vikao vya...

READ MORE

GLOBAL TV: Usikose Part Two Ya Chanzo Ni Wewe leo Saa 5:00 Asubuhi

Usikose kutazama muendelezo wa  CHANZO ni Wewe ni filamu ya Kitanzania inayomhusu Mzee Jengua ambaye anapata aibu na pigo kubwa...

READ MORE

Rais Magufuli Awapa Milioni 700 Polisi Dar – VIDEO

Rais John Magufuli ameahidi kutoa Sh milioni 700 kwa ajili ya kuboresha Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo jijini Dar...

READ MORE

SPOTI HAUSI: COULIBALY ataibeba SIMBA kimataifa

 Kipindi cha Spoti Hausi kitakuwa tena hewani leo ambapo wachambuzi wako watakuletea mambo mengi, lakini baadhi ya uwezo ulioonyeshwa...

READ MORE

BREAKING: Mtolea Arejesha Fomu ya Ubunge Temeke!

 ALIYEKUWA Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Abdallah Mtolea, amerejesha fomu ya kugombea ubunge kupitia...

READ MORE

EXCLUSIVE: GLOBAL TV ONLINE YATUNUKIWA ‘GOLD CREATOR AWARD’ NA YOUTUBE – (PICHAZ)

CHANNEL namba moja ya mtandaoni Afrika Mashariki kwa burudani, habari za jamii, kitaifa, kimataifa, Siasa na michezo na breaking news,...

READ MORE

Rais Magufuli Ahoji Coco Beach Kukosa Choo – Video

Rais John Magufuli ameshangazwa na ufukwe wa Coco (Coco Beach) pembezoni mwa Bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam kutokuwa...

READ MORE

JPM AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA KIMARA – KIBAHA (Video +Picha)

  Rais Dkt. John Magufuli ameeleza kushangazwa kwake na kitendo cha Mbunge wa Kibamba (CHADEMA), John Mnyika kwa kutokuwa muungwana,...

READ MORE

COMEDY VIDEO: CHONGI! UNAENDA KUUA? ANGALIA KILICHOTOKEA

 Sometimes lugha inapogongana inaweza kusababisha mauaji, CHONGI kasema ANAENDA KUUA! Angalia kilichotokea!

READ MORE

BREAKING: Mtolea Akichukua Fomu ya Ubunge Temeke – VIDEO

Aliyekuwa Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF, Abdallah Mtolea, amechukua tena fomu ya kugombea Ubunge katika...

READ MORE

Lava Lava Asepa na Kijiji Mwanza WASAFI FESTIVAL -Video

 Msanii wa muziki kutoka WCB, Lava Lava usiku wa kuamkia leo amesempa na kijiji kwenye Tamasha la Wasafi Festival...

READ MORE

Video: CHAZ BABA Alivyommwagia pesa MKEWE..!!

 KUFURU! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia harusi ya Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini, Chaz Baba na Bi Maryam,...

READ MORE