×

Global TV Online

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli Atamba Simba Hawapati Kitu -Video

 AFISA Habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli leo Aprili 27, 2022 akiwa kwenye kipindi cha Krosi Dongo cha...

READ MORE

Mwili wa Mbunge Irene Ndyamkama Ulivyoagwa na Wabunge Bungeni Leo -Video

MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Irene Ndiyamkama, uliwasili Bungeni...

READ MORE

Utata Vazi la Manara, Mmasai Amvaa “Kakosea Nguo, Kavaa Shanga za Wanawake”-Video

 GLOBAL TV imepiga stori na Mmasai mmoja mkazi wa Arusha, baada ya jana msemaji wa Yanga, Haji Manara, kuonekana...

READ MORE

Live: Makamu Wa Rais Philip Mpango Anaongoza Sherehe Miaka 58 Ya Muungano Tanganyika Na Zanzibar

Makamu wa Rais Phili Isdory Mpango, anaoongoza kongamano la sherehe za miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanbizari jijini...

READ MORE

Mgodi wa North Mara Matatani, Mbowe Asema Tatizo ni Ccm, Awapa Ujumbe Wananchi | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Aucho Anaidai Yanga, Kagoma Kucheza? – Injinia Hersi Afunguka Ukweli Wote – Video

Global Tv imefanya mahojiano na mjumbe wa kamati ya Usajili wa Yanga, Injinia Hersi Said na amefunguka tetesi za kiungo...

READ MORE

Video: Waziri Nape Nnauye Azindua Studio Mpya Za Kisasa Za TBC 2, Mikocheni – Dar

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnaye amezindua jengo la kisasa la studio za TBC2 mkoani Dar...

READ MORE

Video: Bungeni, Wabunge Wanatoa Hoja Konki, Spika Tulia Anaongoza Kikao…

 Vikao vya Bunge la 12, mkutano wa saba kikao cha nane linaendelea leo jijini Dodoma. Wabunge wanaiuliza Serikali na...

READ MORE

Maaskofu Watuma Ujumbe Mzito Kwa Rais Samia, Wataka Haki Itendeke | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini.

READ MORE

Kijana Kutoka Congo Ang’ara Mashindano Makubwa Zaidi Ya Qur’an Afrika 2022 – Video

Thiame Bouna kutoka Congo Brazaville, ameibuka mshindi katika mashindano makubwa zaidi barani Afrika ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu yaliyofanyika...

READ MORE

Video: Kwa Uchungu Mume wa Maunda Zorro Aeleza – “Tulipanga Kubariki Ndoa Yetu”

Mume wa Maunda Zorro, amesimulia jinsi alivyoenda kuutambua mwili wa mkewe hospitali baada ya kupata ajali. Anaeleza kwamba ni ngumu...

READ MORE

Simulizi: Mwanachuo Aliyepotea Mtoni Kwa Siku 2, Wazee Wakafanya Tambiko -Video

Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino Arusha, Israeli Malya, katika hali isiyokuwa ya kawaida inaelezwa kuwa alipotea katika mto...

READ MORE

Enzi za Uhai wa Maunda Zorro: Alieleza Kwanini Alikaa Kimya kwa Muda Mrefu-Video

TAARIFA za kusikitisha zilizoitingisha tasnia ya muziki wa Bongo Fleva usiku wa kuamkia leo ni kifo cha mwanadada Maunda Zorro...

READ MORE

Gwajima Awasha Moto Bungeni – “Tutapata Rais wa Ajabu Tudondokee Pua, Hatutaamini”-Video

“NCHI hii imekosa maono kabisa, kila Rais akiingia anafanya mambo yake anaacha mipango aliyoikuta.Tunahitaji Rais mwenye maono kwa sababu tunahitaji...

READ MORE

Musukuma Achafukwa! Ishu Ya Mradi wa Mwl. Nyerere, Amvaa Mpina – “Tusimvuruge Rais” – Video

Baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuzua mijadala kufuatia kauli yake juu ya Waziri wa Nishati na Madibni, Mhe....

READ MORE

Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara jijini Dar leo (Picha +Video)

MAKAMU Mwenyekiti mpya wa CCM, Abdulrahman Kinana, amepokelewa kwa shangwe leo Aprili 10, katika ukumbi wa Diamond Jubilee, ikiwa ni...

READ MORE

Exclusive Video: Ibraah Afunguka Kuimba Wimbo Wa Diamond, Mahusiano Yake na Odemba, Bango la Kajala

Msanii kutoka Konde Gang, Ibraah ameefanya mahojiano maalum na Global TV Online, ameeleza mengi ikiwemo kuimba wimbo wa Diamond, kumsaidia...

READ MORE

Video: Daraja Lililojengwa na JWTZ na Wananchi Pwani Lazua Utata, Raia Watilia Shaka Mil. 167

HIVI karibuni Global TV ilifanya ziara hadi katika daraja la Mkombozi maarufu kama daraja la Jeshi kujionea changamoto inayoelezwa kuwa...

READ MORE

KISIWA CHA MBUDYA; Usiyoyajua Kuhusu Maajabu Yake, Imani za Kishirikina na Starehe -Video

Waweza tembelea sehemu tofauti lakini usiwe na maanani juu uzuri wa kipekee unaoipamba sehemu hiyo, ni sawa kutumia kidole kuchimba...

READ MORE

Rais Samia Anashiriki Mdahalo wa Kitaifa Kuadhimisha Miaka 100 ya Kuzaliwa kwa Mwl. Nyerere-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan ashiriki mdahalo wa kitaifa wa kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa...

READ MORE

Video: Taharuki! Bei Ya Mafuta Kupanda, Waziri Makamba Atoa Tamko – “Hakuna Uhaba Wa Mafuta”

WAZIRI wa Nishati January Makamba amesema kwamba kwa sasa Tanzania hakuna uhaba wa Mafuta licha ya bei kupanda ambayo inachangiwa...

READ MORE

Spika Tulia Anaongoza Kikao Cha Kwanza, Mawaziri Wawekwa Kikaangoni-Video

SPIKA Mpya wa Bunge, Dkt Tulia Ackson, leo Aprili 05, ameongoza kikao ikiwa ni mkutano wa kwanza tangu Bunge lirejeshwe...

READ MORE

Video: Rais Samia Afungua Mkutano Wa Kitaifa Wa Haki, Amani Na Maridhiano Tanzania – Dodoma -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Kitaifa wa haki, Amani na Maridiano Tanzania...

READ MORE

Tuzo Za Muziki Zinatolewa Usiku Huu, Diamond Apewa Tuzo Ya Heshima-Video

Leo ni ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ambapo shughuli ya utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2022 inafanyika...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wateule, Ikulu, Chamwino Dodoma-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo 02 Aprili, 2022.  amewaapisha Viongozi wateule Ikulu, Chamwino Jijini...

READ MORE

Mwenyekiti Wa CCM Samia Anashiriki Mkutano Maalum Wa Chama-Video

Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan anashiriki mkutano maalum wa CCM. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️...

READ MORE

Kinana, Membe Waibua Mjadala Kila Kona, CCM Kufanya Mabadiliko Leo-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Ay Afunguka Kuhusu Ujio Wake Mpya, Kufanya Kazi Na Akon -Video

Leo ndani BONGO 255 tumepiga stori na msanii mkongwe wa Bongo Fleva Ambene Yesaya, maarufu kama AY, ambaye amefunguka mambo...

READ MORE

Taasisi za Umma 19 Zapata Hati Zenye Mashaka – Video

TAASISI 19 za umma kati ya taasisi 999 zilizofanyiwa ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) katika...

READ MORE

Simba Wanazungumza Na Waandishi Wa Habari-Video

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya  Simba Ahmed Ally anazungumza na vyombo vya habari muda huu

READ MORE

Video: Daz Baba Afunguka Juu Ya Maisha Yake – Mapito

Karibu kutazama kipindi cha MAPITO kinacholetwa na Global TV kila Jumapili. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️...

READ MORE

🔴LIVE: Mrema Anafunga Ndoa Muda huu Kanisani na Mrembo wake Mweupe..

 MWENYEKITI wa TLP, Agustino Mrema, leo Machi 24, anafunga ndoa na mrembo wake mweupe katika moja la kanisa lililopo...

READ MORE

Rais Samia: Waliozusha Miradi Haitaendelezwa Hawakutumia Hekima -Video

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewakosoa wale wote wanaosema kuwa asingeweza kukamilisha miradi iliyoachwa awamu ya tano chini...

READ MORE

Global Tv Yapewa Cheti Cha Shukrani

Taasisi ya Tulia Trust leo March 22, 2022 imekabidhi cheti cha shukrani kwa Global Tv Online kwa kutambua mchango wake...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mifumo ya Tehama Miradi ya Maji -Video

Rais wa Samia leo Machi 22, 2022 amezindua mifumo miwili ya Tehama inayowezesha ufuatiliaji wa miradi ya maji pamoja na...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mradi Wa Maji Mlandizi Chalinze – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kufurahishwa na kukamilika kwa mradi wa Maji wa...

READ MORE

Video: Mwana FA, AY na Wasanii Wengine Wacharuka kumtaka Steve Nyerere

 MWANA FA, AY na WASANII WENGINE WACHARUKA KUMKATAA STEVE NYERERE.. Leo Machi 21, wasanii wa muziki Bongo wamekusanyika kujadili...

READ MORE

Video: Rais Samia apokea Taarifa Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia Ya Vyama

 RAIS SAMIA ANAPOKEA TAARIFA KIKOSI KAZI CHA KURATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA

READ MORE

Video: Mama Janeth Magufuli Ashiriki Kongamano La Kumuenzi Mume Wake

Mke wa aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, Mjane Mama Janeth Magufuli, Leo Machi 20 ameshiriki katika...

READ MORE

Live: Spika Tulia Anaongoza Kongamano La Tathmini Ya Mwaka 1 Wa Rais Samia

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson leo Machi 19, 2022 anaongoza kongamano la tathimini...

READ MORE