
Browsing Category
Habari
🇨🇦 Study & Work in Canada Exhibition
On-the-Spot Admissions with Our Trusted Partner Canadian Public Universities & Colleges
📍 Serena Hotel, Dar es Salaam
Meet 15+ representatives from our trusted partner Canadian public colleges and universities,…
Fahamu Magari Ya Kubeba Abiria Yanayojiendesha Yenyewe Marekani – Video
Teknolojia ya usafiri duniani inaendelea kupiga hatua kubwa, na moja ya mageuzi yanayovutia zaidi kwa sasa ni ujio wa magari ya kubeba abiria yanayojiendesha yenyewe, maarufu kama robotaxi. Nchini Marekani, magari haya tayari yanafanya…
Afrika Kusini Yamfukuza Balozi wa Israel, Yampa Saa 72 Kuondoka
Serikali ya Afrika Kusini imempa Balozi wa Israel nchini humo, Ariel Seidman, makataa ya saa 72 kuondoka nchini kwao, kufuatia kile ilichokitaja kuwa ni ukiukwaji wa kanuni za kidiplomasia unaotishia uhuru na heshima ya taifa hilo.…
Taarifa Zote za Michezo Njoo Meridianbet Sport Portal
Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa soka kujua…
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Yateua Mbunge na Diwani wa Viti Maalumu
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake kilichofanyika leo Januari 30, 2026 imefanya uteuzi wa Ndugu. Beng'i Mazana Issa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Halima Idd…
Taarifa Zote za Michezo Njoo Meridianbet Sport Portal
Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa soka kujua mambo…
Rais Dkt. Mwinyi: Mwezi Wa Ramadhan Si Kisingizio Cha Kupanda Kwa Bei Za Bidhaa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa hakuna uhaba wa bidhaa za chakula nchini, hivyo wafanyabiashara hawana sababu ya kupandisha bei za bidhaa wakati wa Mwezi Mtukufu wa…
Serikali Yatenga Sh. Bilioni 2 Kusaidia Watengeneza Maudhui Mitandaoni
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Wizara imepatiwa kiasi cha TZS bilioni 2 itakayowawezesha watengenezaji wa maudhui mbalimbali mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuwaongezea kipato kupitia majukwaa ya…
Jeshi la Polisi Latoa Taarifa Kuelekea Mchezo wa Yanga na Al Ahly Kesho
Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasmi kuelekea mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Young Africans SC ya Tanzania na Al Ahly ya Misri, unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Katika taarifa hiyo,…
Al Ahly Wamchapa Ashour Faini Kubwa, Agoma kwenda Zanzibar
Klabu ya Al Ahly ya Misri imemtoza kiungo wao nyota, Emam Ashour, faini kubwa zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya klabu hiyo, kufuatia kushindwa kwake kusafiri na kikosi kwenda Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika…
Serikali ya Kijeshi Burkina Faso Yafuta Vyama Vyote vya Siasa
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imefuta vyama vyote vya siasa na kubatilisha mfumo wa kisheria uliokuwa unasimamia uendeshaji wake, kufuatia amri iliyoidhinishwa na Baraza la Mawaziri la nchi hiyo siku ya Alhamisi.
Hatua hiyo…
Marekani Yasema Iko Tayari Kuchukua Hatua Dhidi ya Iran Kuzuia Silaha za Nyuklia
Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema kuwa jeshi la nchi hiyo lipo katika utayari kamili kutekeleza uamuzi wowote utakaochukuliwa na Rais Donald Trump kuhusu Iran, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuizuia Tehran kupata silaha za nyuklia.…
Usiyoyajua Kuhusu Toyota Land Cruiser Gx-R, Gr-S Na Zx (Lc300 Series)
Toyota Land Cruiser 300 (LC300) imekuwa gumzo barani Afrika tangu kuingia sokoni, ikiwa imebeba jina kubwa la uimara na uwezo uliotokana na historia ya zaidi ya miaka 70. Ndani ya familia hii, kuna matoleo matatu makuu ambayo watumiaji…
CHADEMA Yatoa Tamko Upotoshaji Michango kwa Tundu Lissu
DAR-Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kumekuwepo taarifa za upotoshaji zinazosambazwa na watu wasiokitakia mema chama hicho zikiwahusisha viongozi wa chama na kashfa zinazohusisha madai ya michango iliyoendeshwa hivi…
Wanachama 11 wa Genge la Ulaghai la Ming Wanyongwa China
Serikali ya China imetekeleza adhabu ya kunyongwa ya wanachama 11 wa familia maarufu ya Ming, iliyokuwa ikiendesha mitandao mikubwa ya ulaghai na kamari haramu nchini Myanmar.
Mahakama ya Mkoa wa Zhejiang iliwahukumu wanachama hao mwezi…
Uwanja wa KMC Wafungiwa na TFF kwa Kukosa Vigezo
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa KMC uliopo Dar es Salaam kutumika kwa michezo ya Ligi, baada ya kubaini kuwa haukidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.
Kwa mujibu wa TFF, miundombinu…
Rwanda Yaishtaki Uingereza kwa Kukiuka Mkataba wa Wahamiaji
Rwanda imeishitaki serikali ya Uingereza kwa kukiuka makubaliano ya wahamiaji Rwanda imeishtaki serikali ya Uingereza kuhusu makubaliano ya wahamiaji ambayo London imeyatelekeza yapata miaka miwili iliyopita.
Keir Starmer, Waziri…
Nafasi ya Kuondoka na Mkwanja Ipo Meridianbet Leo
Leo ndio leo asemaye kesho muongo, hii ni kauli ya waswahili ambayo ina maana kuwa jambo ambalo linawezekana leo lifanyike leo na Meridianbet inakwambia kuwa suka jamvi lako la ushindi mechi za EUROPA ujiweke kwenye nafasi ya…
Ishi Kidigitali Kwa Kupata Taarifa Muhimu Kiganjani Mwako kwa Kutumia Simu Yako
📱✨ Maisha yamerahisishwa #Kidigitali!
Kuwa mjanja kwa kuishi kijanja! 😎
Sasa pata habari zote kiganjani ukiwa na simu yako 📲 kuanzia Breaking News 🛑, Dondoo za Afya 🩺 hadi habari za soka…
Vinywaji na Vyakula Vinavyosababisha Vidonda vya Tumbo na Jinsi ya Kutibu
Vidonda vya tumbo ( kitaalam Peptic Ulcer) ni majeraha au vidonda vinavyotokea kwenye utando wa ndani wa tumbo au sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (duodenum).
Kuna sababu nyingi za mtu kuwa na vidonda vya tumbo kama ifuatavyo:…
Usisubiri! Mazda Wazindua CX‑50 Toleo la Kipekee – Angalia Maajabu Yake
Kama unatafuta SUV yenye muundo wa kuvutia, nguvu za barabarani, na teknolojia ya kisasa, basi Mazda CX‑50 ni chaguo lisilo na kizuizi. Imetengenezwa kwa wale wanaopenda kuendesha kwa starehe bila kukata tamaa, iwe ni kwenye barabara…
Dkt. Mwigulu Aongoza Mkutano Wa Kamati Ya Katiba, Sheria Na Bunge
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo January 28,2026 ameongoza Mkutano wa Kamati ya Katiba, Sheria na Bunge ya Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Januari 28, 2026.
Tishio la Vita kati ya Marekani na Iran Lazidi Kuongezeka Baada ya Onyo la Trump
Hatari ya kuzuka kwa vita kati ya Marekani na Iran inaonekana kuongezeka, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuonya kuwa muda unakwisha kwa Iran kukubali makubaliano, huku akidai kuwa meli Armada kubwa ya kijeshi ya Marekani inasogea…
Katambi Aanza Kazi Rasmi, Apongeza Jeshi la Polisi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Nchi ya Tanzania iko salama huku akigusia uimara wa Jeshi la Polisi la Tanzania ambalo kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama limeweza kuiweka Nchi salama…
Sophia Aliyewekeza Mil 14 Akitarajia Kupata Mil 48 Afunguka Kesi ya Manguruwe
Hii ni updates kutoka mahakama ya hakimu mkazi kisutu inaelezwa kuwa Shahidi ambaye ni Mkulima Sophia Watson (66) ameilezea jinsi alivyotapeliwa Shilingi Milioni 14 baada ya kuwekeza katika Kampuni ya Vanilla International Ltd kwa…
Iran Yamjibu Trump: Hatuna Mazungumzo na Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema wazi kuwa hajawasiliana na mjumbe maalum wa Marekani Steve Witkoff katika siku za hivi karibuni wala kuomba kufanyika kwa mazungumzo yoyote na Washington.
Akizungumza na vyombo…
Mke Wa Rais Wa Zamani Wa Korea Kusini Ahukumiwa Miezi 20 Jela
Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini, Kim Koen Hee, amehukumiwa kifungo cha miezi 20 jela kwa kupokea hongo kutoka kwa Kanisa lenye utata la Unification Church.
Mumewe Yoon Suk ambaye ni Rais wa zamani wa nchi hiyo tayari anatumikia…
Naibu Waziri Mkuu wa Maharashtra Afariki Dunia Katika Ajali ya Ndege
Naibu Waziri Mkuu wa jimbo la Maharashtra, India, Ajit Pawar, amefariki dunia kufuatia ajali ya ndege aliyokuwa akisafiria karibu na Baramati, Pune. Wengine wanne waliokuwa ndani ya ndege hiyo pia wamepoteza maisha.
Ajali hiyo ilihusisha…
Wabunge Wathibitisha Wenyeviti Wapya wa Bunge
Leo, Januari 28, 2026, Bungeni Jijini Dodoma, wabunge wa Tanzania wamewathibitisha Cecilia Paresso, Najma Giga, na Deodatus Mwanyika kuwa Wenyeviti wapya wa Bunge.
Cecilia Paresso ni Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Kamati…
Morocco Yapokonywa Fursa ya Kuandaa Fainali ya Kombe la Dunia 2030
Morocco haitakuwa tena mwenyeji wa mechi ya fainali ya Kombe la Dunia la FIFA 2030, kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, yaliyohusishwa na changamoto za usalama na usimamizi wa…
Airtel Yazindua Minara Mipya Mikoa Mitano
Airtel Yazindua Minara 5 Mpya ya Mawasiliano Tanga, Iringa, Ruvuma, Sumbawanga na Mwanza.
Tanzania, 16 Januari 2026. Airtel Tanzania imezindua minara mitano mipya ya mawasiliano katika maeneo ya Kilindi – Tanga, Mbalamaziwa –…
Benki Ya Absa Tanzania Yazindua Ripoti Ya Absa Ya Viashiria Vya Masoko Ya Fedha Afrika
Benki ya Absa Tanzania Tanzania imezindua rasmi ripoti ya Absa ya Viashiria vya Masoko ya Fedha Afrika 2025 kwa Tanzania katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam Leo.
Hafla hiyo imewakutanisha watunga sera wakuu, wasimamizi wa sekta…
Maumivu ya Goti: Sababu Kuu, Dalili na Njia Sahihi za Matibabu
Maumivu ya goti hutoka kwenye kiungo cha goti au tishu laini karibu na goti. Sababu nyingi huchangia maumivu ya magoti, kama vile shughuli za kimwili kupita kiasi, kuteguka, mikazo, kukaa sehemu moja kwa muda mrefu.
Uzee unaweza pia…
Dalili za Kiharusi cha Ubongo Kila Mtu Anapaswa Kuzijua
Ubongo wa mwanadamu ni kiungo muhimu ambacho kinategemea usambazaji wa damu unaoendelea. Kutatizika kwa mtiririko wa damu kunaweza kukata oksijeni muhimu na glukosi kwenye ubongo na kusababisha kifo cha ubongo ndani ya dakika chache.…
Waziri Mkuu: Serikali Haitavumilia Uzembe, Mageuzi ya Sera Kuendelea – Video
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kufanya mageuzi ya sera zinazogusa moja kwa moja maslahi na ustawi wa maisha ya wananchi.
Amesisitiza kuwa Serikali haitavumilia watendaji wa Serikali wanaotoa visingizio,…
CCM Bukoba Mjini Yakabidhi Msaada kwa Watoto Yatima Kuelekea Miaka 49 ya Chama
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bukoba Mjini imekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali kwa vituo viwili vya kulelea watoto yatima, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 49 ya kuasisiwa kwa chama hicho tawala nchini.…
Obama na Clinton Wataka Wamarekani Kusimama Kutetea Maadili ya Taifa
Marais wa zamani wa Marekani, Barack Obama na Bill Clinton, wamewahimiza Wamarekani kusimama na kutetea kile walichokiita "maadili ya msingi ya Marekani" baada mawakala wa uhamiaji wa Shirikisho huko Minneapolis kumpiga risasi na kumuua…
Magari ya Huduma ya Nmb Yafikia 15 Yakichochea Ujumuishaji wa Kifedha
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu (wa pili kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari nane ya Bank on Wheels (Matawi ya Benki Yanayotembea) yatakayotoa huduma za kibenki mitaani, vijijini na kwenye minada, ikiwa ni sehemu ya…
Meridianbet Na Yas Tanzania wakusogezea JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa
Kampuni inayoongoza ya kubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, imeingia rasmi ushirikiano wa kipekee na kampuni ya mtandao wa simu wa Yas kupitia huduma ya Mix By Yas na kuanzisha promosheni ya kusisimua ya JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa…
Faida ya Airtel Afrika Yazidi Kuongezeka
Airtel Africa imepata faida baada ya kodi ya Dola za Marekani 586 milioni kwa kipindi cha miezi tisa kilichoisha Desemba 31, 2025, ikiongezeka zaidi ya mara mbili kutoka Dola 248 milioni katika kipindi kilichotangulia, ikichangiwa na…