×

Habari

Viongozi Waliopinduliwa Madarakani Tangu 2011 Nchi za Kiarabu

Bashar al-Assad ameingia kwenye orodha ya viongozi mashuhuri wa nchi za Kiarabu waliopinduliwa tangu kuanza kwa maandamano katika nchi za...

READ MORE

Urusi Yatangaza Kugundua Chanjo ya Saratani, Wananchi Watagaiwa Bure

Wizara ya Afya ya Urusi imetangaza kuwa imegundua chanjo dhidi ya saratani ambayo itatolewa bure kwa wagonjwa na inatarajiwa kuanza...

READ MORE

Jeshi la Polisi: Wapiga Ramli Chonganishi Kusakwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limedhamiria kufanya Operesheni kali ya kubaini na kukamata watu wanaofanya ramli chonganishi na kuchochea...

READ MORE

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ametembelea Bandari ya Karema

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ametembelea Bandari ya Karema iliyojengwa na Serikali kwa takribani bilion 47.9. Kihenzile amewaleza wana...

READ MORE

Afungwa Maisha Jela Kwa Kulawiti Mtoto Wa Miaka Minne

Mkazi wa kitongoji cha Mwankuba, kijiji cha Nyambiti, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, Mashauri Ng’oga Shauri (20) amehukumiwa kifungo cha...

READ MORE

Dkt. Biteko: Wataalam Wa Ununuzi Na Ugavi Chukieni Rushwa, Fanyeni Kazi Kwa Uwazi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wataalam wa ununuzi na ugavi nchini kizingatia misingi ya...

READ MORE

Watu 14 Wafariki na Wengine 8 Kujeruhiwa katika ajali Mikese, Morogoro – Video

Watu 14 wamefariki Dunia na wengine 8 kujeruhiwa katika ajali iyohusisha Lori la Mizigo lililokuwa linatokea Dar kwenda Morogogoro na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Desemba 18, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Wanafunzi Watatu wa Shahada ya Uzamili ya Kiswahili UDSM Wafadhiliwa na Alaf

Jumatano 18 Desemba 2024: Katika azma yake kuunga juhudi za serikali katika kukuza Kiswahili, Kampuni ya ALAF Limited leo imetoa...

READ MORE

Taasisi ya Lalji Yatoa Msaada wa Vioungo Bandia Hospitali ya CCBRT

Jamii imeaswa kujenga utamaduni wa kutoa msaada kwa watu wenye mahitaji maalumu ikiwepo watu wenye mahitaji ya viungo bandia kutokana...

READ MORE

Kurejea Kwa Toto Afya Kadi Mwanga Mpya Bima Ya Afya Kwa Mwaka 150,000

Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya...

READ MORE

Ripoti ya Uchumi Duniani, Yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo...

READ MORE

Bwana Harusi Anayedaiwa Kutekwa Amepatikana, Alijificha Kwa Mganga Wa Kienyeji – Video

Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuhusu taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni kuhusu kudaiwa kupotea kwa Vicent Masawe na kusema kuwa amepatikana.

READ MORE

Video: Mama Wa Miaka Afariki Baada Ya Kung’atwa Na Nyoka, Uzembe Wahusishwa

Juliana Obed, mwanamke mwenye umri wa miaka 44 kutoka Kijiji cha Magugu wilayani Babati mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya...

READ MORE

Tendwa Afariki dunia akipatiwa matibabu Muhimbili

Aliyewahi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Bill Tendwa amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msajili wa...

READ MORE

Biteko Awasili Arusha Apokelewa na RC Makonda, Kufungua Kongamano la Watalamu wa Ununuzi na Ugavi

Naibu Waziri Mkuu ja Waziri wa NishatiDkt. Doto Mashaka Biteko amewasili mkoani Arusha na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Serikali Yajipambanua Kuendelea Kupigania Haki za Wenye Ulemavu

  Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuwa mstari wa mbele kupigania usawa katika masuala ya kazi kwa watu wote bila...

READ MORE

Polisi: Daisle Simion Ulomi Alipata Ajali ya Bodaboda, Akafariki – Video

JESHI la Polisi Tanzania limesema kuwa baada ya kufanya ufuatiliaji kwa kushirikiana na ndugu wa mfanyabiashara, Daisle Simion Ulomi aliyedaiwa...

READ MORE

Mume Amkataa Mtoto Aliyezaliwa na Mkewe Akidai Siyo Wake

Kwa kawaida watu wanapofikia kiwango cha kufunga ndoa huwa ni watu ambao tayari wamekaa kwa muda katika mahusiano na kuweza...

READ MORE

Wakulima wa Simiyu na Kagera Waibuka Kidedea Katika Kampeni ya “Vuna na Mixx by Yas”

Kagera, Tanzania – Mixx by Yas, huduma inayolenga kuimarisha maisha ya wakulima, imehitimisha kampeni yake ya Vuna na Mixx by...

READ MORE

Waziri Ulega Akagua Miradi ya BRT, Aagiza Kazi Ifanyike Usiku na Mchana

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi, Mhandisi, Aisha Amour kuwasimamia kikamilifu Wakandarasi wanaotekeleza...

READ MORE

Mfahamu Rais Donald Trump, Kwake Kufeli Ni Dhambi, Dunia Ilimkataa, Kunusurika Kuuawa – Video

Global TV imekuandalia makala maalum ya Rais Mteule wa Marekani, DOnald Trump ambaye anaamini kwamba kufeli ni dhambi. Yapo mengi...

READ MORE

Hakutakua Na Nafasi Ya Kuhama Mara Baada Ya Kupata Ajira Za Afya

Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya Dkt. Grace Magembe amewataka waombaji wote wa ajira za Afya kupitia Ofisi ya Rais –...

READ MORE

TTB Na ZCT Kufungua Utalii Soko la Asia

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Arif Abbas...

READ MORE

Ewura Yazitaka Mamlaka za Maji Kusoma Mita Mwenyewe Akiwepo

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imezitaka mamlaka zote za maji nchini kuhakikisha zoezi la usomaji...

READ MORE

Wanafunzi Tusiime Waanza ziara Nchini Uturuki

  WANAFUNZI 21 wa shule ya Msingi Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam wamewasili kwenye mji wa Istambul Uturuki...

READ MORE

OYA, Yaona vyema Kuendelea Kurudisha Upendo kwa Jamii

Jamii nzima ya OYA, uongozi na wafanyakazi imeona ni vyema kuendelea kurudisha upendo kwa jamii zetu zoote za Tanzania. Na...

READ MORE

Empowering Future Innovators: GE Vernova, TANESCO, and University of Dar es Salaam Host STEM Event

Dar es Salaam, Tanzania, December 12, 2024. In a landmark initiative to inspire the next generation of Tanzanian innovators, GE...

READ MORE

Fainali za CRDB Bank Supa Cup 2024 Zamalizika kwa Mafanikio Arusha

Jumamosi tarehe 14 Desemba 2024, jijini Arusha, Benki ya CRDB ilihitimisha fainali za CRDB Bank Supa Cup 2024, mashindano yaliyojumuisha...

READ MORE

Dua ya Kuliombea Taifa Yafanyika Mkuranga na Kuhudhuriwa na Mawaziri, Viongozi wa Dini

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega ameungana na wananchi wa wilaya hiyo, kufanya dua maalumu ya kumuombea...

READ MORE

Serikali Kushirikisha Vijana Kupambana na Uharifu, Bashungwa Atoa Onyo Kali

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali...

READ MORE

TRA: Hatuhusiki na Kupotea Kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi

Baada ya taarifa za kupotea kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini December 11, 2024...

READ MORE

Bunge la Korea Kusini limepiga kura kumshtaki Rais Yoon Suk Yeol

Bunge la Korea Kusini limepiga kura kumshtaki kutaka kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kwa tangazo lake la muda mfupi...

READ MORE

Bruce Melodie Adondosha Ngoma Mpya, Nick Minaj Akiwashirikisha Blaq Diamond

Staa wa muziki kutoka nchini Rwanda, Bruce Melodie, ameachia singo yake mpya iitwayo Niki Minaji akiwa amemshirikisha msanii wa Afrika...

READ MORE

Filamu ya “Tantalizing Tanzania” Yazinduliwa Rasmi Nchini India

Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga...

READ MORE

WASHINDI WA SHANGWE LA SIKIKUU LA LEONBET WAPATIKANA, WABEBA, PIKIPIKI, SMARTPHONE, TV INCHI 65

Dar es Salaam. Kampuni ya michezo ya kubashiri ya LEONBET imewazadia washindi wa kampeni ya Shangwe la Sikukuu zawadi kibao...

READ MORE

Gavu Ajivunia Utekelezaji wa Ilani Jimbo la Chwaka, Ampongeza Rais Mwinyi

Akabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya mamilioni ya fedha katika Jimbo la Chwaka MWAKILISHI wa Jimbo la Chwaka visiwani Zanzibar...

READ MORE

Mongela: Tamasha la Bibi Titi Linafanya Kazi Nzuri ya Kuenzi Kazi za Serikali

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mhe. John Mongella amesema Tamasha la Bibi Titi Mohamed siyo...

READ MORE

Majaliwa: Tutaendelea Kutatua Changamoto Za Walimu

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria...

READ MORE

Naibu Waziri Zainab Katimba: Rufiji Imepata Mafanikio Makubwa’

Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Zainab Katimba amepongeza jitihada za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya...

READ MORE