×

Habari

Video: Mwalimu Mkuu Akamatwa Kwa Kumchapa Mwanafunzi Akimlazimisha Asome ‘Physics’

MKUU wa Shule ya Sekondari Kiteme Wilayani Mleba ameingia katika uchunguzi kutokana na tuhuma za kumlazimisha mwanafunzi kusoma somo la...

READ MORE

Shigongo: Bilioni 62 Zimeleta Maendeleo ndani ya Jimbo la Buchosa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo Jana Julai 9, 2024 amehitimisha ziara yake katika kata ya Bupandwa kwa kusikiliza kero mbalimbali...

READ MORE

Polisi Wanne Wafukuzwa kazi Baada Kufuta Picha Kwenye Kamera

Askari Polisi Wanne wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Mwanga, waliokuwa wanashikiliwa kwa uchunguzi wamefukuzwa kazi baada ya kubainika...

READ MORE

Mradi wa Smart City Arusha wapata Nondo kutoka Nigeria, Askari waliopata Mafunzo Kuboresha Miradi ya Ulinzi kidigitali

Mradi wa Smart City Arusha wapata Nondo kutoka Nigeria, Askari waliopata Mafunzo Kuboresha Miradi ya Ulinzi kidigitali Askari kutoka nchini...

READ MORE

Majaliwa Awapongeza Rais Samia Na Dkt. Mwinyi Kwa Sera Bora Sekta Ya Fedha

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewapongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa sera nzuri za...

READ MORE

Dkt. Abbasi: Mapango ya Amboni ni Hazina kwa Taifa Yanatakiwa Kutunzwa

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema mapango ya kihistoria na yenye maumbo ya kipekee ya...

READ MORE

Kwa Ujenzi Unaoendelea Dar ni Udhibitisho Tosha Rais Samia Ameamua Kuribadilisha Jiji la Dar,

CPA Amos Makalla amesema kila kona ya Jiji ni Dar es salam linatifuliwa watu wapo kazini na hii ni ishara...

READ MORE

Mama Atapeliwa Shamba na Kibarua Wake Morogoro – Video

Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro Bi. Mary Florian Somba amedai kutapeliwa shamba na kibarua wake kwa kusainishwa fomu ya uthibitisho...

READ MORE

CMSA Yazindua Mpango wa Uwekezaji wa Pamoja, CPA Mkama Aeleza..

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA) imezindua mpango wa Uwekezaji wa Pamoja wa Kampuni ya Sanlam Investment East Africa...

READ MORE

Mzava asema Mgogoro wa ardhi baina ya wananchi na mwekezaji ni wa miaka na miaka, Silaa aombwa Kuingilia kati

WANANCHI wa Vijiji vitano vya Lewa, Mgobe, Kalekwa, Lewa na Werei vilivyopo Kata ya Magila Gereza wilayani Korogwe wameelezea marumaini...

READ MORE

Vodacom Supported Startups Benefit From Learning Tour In China

Seven pioneering startups from the Tanzania Innovation ecosystem are innovating for social impact. Selected for Vodacom’s prestigious Digital Accelerator Program...

READ MORE

Dkt. Mpango Aipongeza Wizara Ya Nishati Kwa Usimamizi Mzuri Wa Miradi Ya Nishati

Makamu wa Rais, Dkt Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi madhubuti wa miradi mbalimbali ya Sekta ya...

READ MORE

Tamasha la Utamaduni na Utalii larindima Simiyu

Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa-Lake Zone Cultural and Tourism Festival lililomalizika Mjini Bariadi, Mkoani Simiyu limeacha gumzo...

READ MORE

Makalla Ampigia Simu Live Waziri wa Fedha Kujua Fidia za Wananchi Kipunguni

 “Wakati namsikiliza Mbunge wenu Mhe Bonna ameeleza kwa Uchungu na masikitiko Kwamba kuna Wananchi wanadai fidia na wameahidiwa kulipwa lakini...

READ MORE

Waziri Ndejembi: Utendaji wa OSHA Unaridhisha

WAZIRI NDEJEMBI: UTENDAJI WA OSHA UNARIDHISHA

READ MORE

Tamasha La Watu wa Iran Lilivyonoga Sabasaba, Mkurugenzi Tantrade Atia Neno

Dar es Salaam 8 Julai 2024: Siku ya Tamasha ya Iran ilivyonoga katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara ambapo wafanyabiashara...

READ MORE

Tamasha Kubwa La Injili Kuanza Kesho Dar, Likiongozwa na Muinjilisti Johannes Amritzer

Muinjilisti wa kimataifa kupitia SOS ADVENTURE, Johannes Amritzer kesho anatarajia kufanya mkutano mkubwa wa Injili ambao utawakutanisha maelfu ya waumini...

READ MORE

Dkt. Nchemba Aishukuru Denmark kwa UShirikiano Mzuri na Tanzania

DKT. NCHEMBA AISHUKURU DENMARK KWA USHIRIKIANO MZURI NA TANZANIA.

READ MORE

CPA Makalla Ampongeza Mwenyekiti na Rais Dkt. Samia Kwa Kuboresha Huduma za Matibabu

TUmekuja kuona jitihada za Serikali na kazi kubwa iliyofanyika ya kuboresha huduma kwa Wananchi wetu wa Kata hii ya Kinyerezi...

READ MORE

Mwenezi Makalla Awataka Wananchi Kujiandikisha Katika Daftari la Mpiga Kura

Uchaguzi wa serikali za mitaa ni Uchaguzi Muhimu sana Chama cha Mapinduzi ni chama cha Siasa na lengo la chama...

READ MORE

Dada wa rais Atoa onyo kwa Mazoezi ya Kijeshi ya Korea Kusini

  Kim Yo Jong, dada mwenye nguvu wa kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amesema mazoezi ya karibuni ya...

READ MORE

Mstaafu Kikwete Na Mtoto Wa Manji Wazungumza Kwa Uchungu Maisha Ya Manji Hadi Kufariki – Video

Mtoto wa Marehemu Yusuf Manji, Mehbub amesema baba yake alikuwa akiipenda mno Klabu ya Yanga yenye makao makuu yake katika...

READ MORE

Waziri Mkuu Aweka Jiwe La Msingi La Ujenzi Wa Shule Ya Sekondari Ya Wasichana Iramba

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Julai 07, 2024 ameendelea na ziara mkoani Iringa ambapo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa...

READ MORE

NMB Yajidhatiti Kuendelea Kuimarisha Uhusiano Wa Kibiashara Kati Ya Tanzania Na Comoro

Benki ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Comoro ikiwa ni dhamira ya benki...

READ MORE

Mhe. Ndejembi Apongeza Mafanikio ya NSSF

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Deogratius Ndejembi, ametembelea banda la NSSF...

READ MORE

Mwenezi Makalla na Mlezi wa Dar AanzIA Ukaguzi wa Mradi wa Maji Bangulo wa Bil 39

Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu. Amos Makalla ambaye pia ni mlezi wa Mkoa...

READ MORE

Waziri Jaffo Asema Kuimarika Kwa Sekta Binafsi Kutawezesha Kupanua Wigo La Ajira Nchini

Maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba yakiwa yanaendelea Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Jaffo amesema kuimarika kwa...

READ MORE

CPA Makalla Ampongeza Waziri Aweso Kwa Ufuatiliaji wa Miradi ya Maji

CPA Makalla amefanya Ukaguzi Mkubwa wa Mradi wa Maji eneo la bangulo Jimbo la Ukonga Wilaya ya Ilala Mradi uliogharimu...

READ MORE

Brand Outlet Supplies Waja na Diapers za Kisasa Halisi Zinazotunza Mazingira

Kampuni ya Brand Outlet Supplies ya jijini Dar imekuja na mapinduzi mapya baby diapers (nepi) bora aina ya Pure Born...

READ MORE

Kipa wa Simba Aishi Manula Akoshwa na Kampeni ya Tigo ya Zigo la Euro na Hisense

Dar es Salaam 6 Julai 2024: Kipa wa Simba, Aishi Manula amekoshwa na Kampeni ya Zigo la Euro na Hisense...

READ MORE

Kumiminika Kwa Wawekezaji Wa Kibiashara Nchini Tantrade Yapongeza Uongozi Wa Rais Dk. Samia

Dar es Salaam 7 Julai 2024: Ikiwa ni siku Siku ya Korea ya Biashara katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara...

READ MORE

NIC Waja na Tahadhari Ya Linda Mjengo Wako

 Shirika la Bima la Taifa nchini (NIC) katika msimu huu wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba wamekuja na...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Aliowateua

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango,...

READ MORE

Rais Samia na Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi Walivyotembelea Banda la Vodacom

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake, Filipe Nyusi, Rais wa Msumbiji Julai 4, 2024 walitembelea Banda la Vodacom...

READ MORE

VETA Waja Na Ubunifu Wa Saluni Ya Vipodozi Vya Matunda Halisi

Dar es Salaam 5 Julai 2024: Chuo Cha Ufundi VETA Shinyanga kimekuja na ubunifu wa vipodozi vya matunda ya asili...

READ MORE

Makalla Afichua Siri za Mbowe, Sababu za Yeye Kutaka Kujiuzuru

. Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu. Amos Makalla ambaye pia ni mlezi wa...

READ MORE

TAWA Yanadi Fursa za Uwekezaji Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba)

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Dar Yazizima Ikimpokea Mwenezi Makalla

Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Leo tarehe 06 Julai,2024 katika Viwanja na Ukumbi wa Diamond Jubilee wanafanya...

READ MORE

CPA. Makalla ” CCM Haiwezi Kujitenga na Matatizo ya Wananchi”

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha mapinduzi (CCM) komredi Amos Makalla, amesisitiza kwamba Chama hicho hakiwezi...

READ MORE

Benki ya NBC Yakutana na Wateja Wake Wakubwa wa Jijini Mwanza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekutana na wateja wake wakubwa yaani makampuni na taasisi mbali mbali (Corporates) wa jijini...

READ MORE