×

Habari

Video: ‘House Girl’ Afikishwa Mahakamani Kwa Tuhuma Za Kujaribu Kuua Kichanga

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, Machi 9, 2026, limemfikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela, Faima Yasin Twaibu (19),...

READ MORE

Rais Putin Ampongeza Mtoto wa Khamenei Kuteuliwa Kuiongoza Iran

  Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amemtumia salamu za pongezi Mojtaba Khamenei kufuatia uteuzi wake kuwa kiongozi mpya wa Iran....

READ MORE

Video: Mtoto (13) Afariki Baada Ya Kubakwa na Kulawitiwa, Iringa

MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa eneo la Isakalilo katika Mtaa wa Njiapanda, Manispaa ya Iringa,...

READ MORE

Polisi Wafanya Uchunguzi Baada ya Nyumba ya Rihanna Kushambuliwa

Polisi wa Los Angeles nchini Marekani wanafanya uchunguzi baada ya nyumba ya Rihanna iliyopo Beverly Hills kushambuliwa kwa risasi Jumapili...

READ MORE

UNDP, Uingereza Watoa Mamilioni ya Fedha Kuimarisha Biashara Bunifu

Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania) pamoja na Serikali ya Uingereza kupitia Ofisi ya Mambo ya Nje,...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yapanda Baada Ya Iran Kumtangaza Mojtaba Khamenei

IRAN usiku wa kuamkia leo Jumatatu Machi 9, 2026 imemteua Mojtaba Khamenei kama kiongozi wake mkuu, akichukua nafasi ya baba...

READ MORE

Airtel Yakutanisha Serikali na Wadau Kwenye Iftari ya Ramadan

Dar es Salaam, Machi 9, 2026 – Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imeandaa hafla maalumu ya Iftari ya mwezi...

READ MORE

Mazoezi Makali ya Rais Mstaafu wa Botswana Yawavutia Wengi – Video

Rais mstaafu wa Botswana, Ian Khama (73), bado anaonesha kiwango kikubwa cha uimara wa mwili kwa kuendelea kufanya mazoezi makali...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Aagiza Takukuru Kuchunguza Fedha Za Miradi Rukwa

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufanya uchunguzi wa kina kuhusu matumizi...

READ MORE

Mojtaba Khamenei Achaguliwa Kuwa Kiongozi Mkuu Mpya wa Iran

Tehran, Iran – Mwanazuoni wa Kiislamu Mojtaba Khamenei amechaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, akimrithi baba yake Ali Khamenei,...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Ukarabati Wa Uwanja Wa Ndege Wa Sumbawanga

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Machi 08, 2026 amekagua maendeleo ya ukarabati na uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga...

READ MORE

Kihongosi: Chama Cha Mapinduzi Ndiyo Baba wa Demokrasia – Video

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema CCM ndiyo baba wa demokrasia...

READ MORE

Mtoto Nuru: Alizaliwa Kwenye Ajali Iliyomuua Mama, Afikisha Mwaka – Video

Ni simulizi ya kusikitisha lakini yenye tumaini. Mtoto Nuru alizaliwa katika mazingira ya kutisha ambayo si rahisi kuamini kwa haraka....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 9, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Serikali ya Zanzibar Yasisitiza Ushirikiano wa Sekta za Fedha Kukuza Uchumi

Waziri wa fedha na mipango Zanzibar Dkt Juma Malik Akili  amesema serikali  ya mapinduzi Zanzibar inatambua mchango wa sekta za...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Onyo Kali kwa Wanaouza Mbegu Duni kwa Wakulima

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali itachukua hatua kali ikiwemo kufilisiwa kwa yeyote anatakayebainika kuhujumu wakulima kwa kuwauzia...

READ MORE

Video: Rais Samia Amzawadia Gari Mama Kanumba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemzawadia gari aina ya Toyota Harrier mama wa marehemu Steven...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 08, 2026 amekagua maendeleo ya ukarabati na uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Piga Pesa Mechi Zote na Meridianbet Leo

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu...

READ MORE

Mlinzi Ang’olewa Meno Manne, Wanachuo 17 Wakamatwa Tabora, RC Paul Chacha Athibitisha – Video

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amethibitisha kukamatwa kwa wanachuo 17 wa Chuo cha Ardhi tawi la Tabora kwa...

READ MORE

Rais Trump Ahudhuria Kuagwa kwa Wanajeshi 6 Waliouawa Mashariki ya Kati – (Picha +Video)

Rais wa Marekani, Donald Trump, amehudhuria kuwaenzi wanajeshi sita wa Marekani waliopoteza maisha yao kufuatia shambulio lililohusishwa na Iran katika...

READ MORE

Milipuko Mikubwa Yatikisa Tehran Baada ya Israel Kushambulia Vituo vya Mafuta

Tehran, Iran – Mlipuko mkubwa na moto uliotanda angani uliripotiwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, baada ya Israel kufanya...

READ MORE

Gates of Halloween Na Safari ya Ushindi Inayoendelea Meridianbet

Meridianbet imezidi kuonesha ubunifu wake kupitia mchezo wa kasino unaovutia, Gates of Halloween. Mchezo huu umeleta mandhari ya Halloween, ukichanganya...

READ MORE

Vitu Vinavyosababisha Mafuta ya Gari Kuisha kwa Haraka

Katika kipindi hiki ambacho gharama za maisha zimeongezeka, matumizi ya mafuta ya gari yamekuwa jambo linalowagusa madereva wengi. Wapo wanaolalamika...

READ MORE

Israel Yaharibu Ndege 16 za Iran Kwenye Uwanja wa Ndege wa Tehran

Israel imefanya shambulio la anga lililolenga Uwanja wa Ndege wa Mehrabad, Tehran, na kuharibu ndege 16 za Iran, ikiwemo ndege...

READ MORE

Trump Aibuka na Onyo Kali kwa Iran Kuhusu Mashambulizi Leo – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameionya Iran kuwa itakumbana na mashambulizi makali leo, akidai kuwa nchi hiyo tayari inapata pigo...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi za EAC Arusha (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Machi 7, 2026 ameshiriki katika Mkutano wa 25...

READ MORE

Museveni Apokea Uongozi wa EAC Kutoka Kwa Ruto Arusha – Picha

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amepokea rasmi vitendea kazi kutoka kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Ahudhuria Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an, Dodoma

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amehudhuria mashindano ya kuhifadhi Qur’an Tukufu yaliyofanyika katika Kijiji...

READ MORE

Rais wa Iran Aonya Nchi Jirani Kuhusu Mashambulizi ya Israel na Marekani

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa nchi yake haitalenga kushambulia nchi jirani isipokuwa kama mashambulizi dhidi ya Iran yataanzia...

READ MORE

SBL Wakutana na Waziri wa Kilimo Chongolo Kukuza Kilimo

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) jana ilikutana na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, katika kikao cha kimkakati kilicholenga kuimarisha...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mazungumzo na Viongozi wa EAC Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kenya ambaye pia...

READ MORE

Mlipuko Mkubwa Watikisa Uwanja wa Ndege wa Dubai Baada ya Drone Kuanguka

Taharuki kubwa imeripotiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai kufuatia mlipuko mkubwa unaodaiwa kusababishwa na drone ya kujitoa...

READ MORE

Mkuu wa Quds Force wa Iran Adaiwa Kunyongwa Akituhumiwa Kuwa Jasusi wa Israel na Marekani

Tetesi zimeibuka zikidai kuwa kiongozi wa juu wa kijeshi nchini Iran, Esmail Qaani, huenda aliuawa na utawala wa nchi hiyo...

READ MORE

Milipuko Yaripotiwa Katika Uwanja wa Ndege wa Mehrabad Nchini Iran

Shambulio kubwa limeripotiwa kutokea katika moja ya viwanja vikuu vya ndege vya kibiashara mjini Tehran, ambapo milipuko na moto mkubwa...

READ MORE

Rais Samia Kushiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi za EAC leo Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa...

READ MORE

Qatar Yarejesha Sehemu Safari za Ndege Baada ya Kusitishwa kwa Muda

Mamlaka ya usafiri wa anga nchini Qatar, Qatar Civil Aviation Authority, imetangaza kurejesha kwa sehemu huduma za usafiri wa anga...

READ MORE

Maajabu ya B-52: Ndege ya Marekani Inayoruka Tangu Enzi za Mababu – Video

B-52 Stratofortress ni mojawapo ya ndege za kijeshi zilizoacha alama kubwa zaidi katika historia ya vita vya anga. Iliyotengenezwa na...

READ MORE

Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar Awaongoza Wateja na Wadau wa NBC Futari

Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, jana aliwaongoza baadhi ya Waislamu jijini Dar es Salaam kushiriki hafla ya futari...

READ MORE

Fahamu Hadithi ya Zein Al-Dalou: Msichana Asiyeona Aliyehifadhi Qur’ani Wakati wa Vita Gaza – Video

Katika giza lisilo na mwisho… alizaliwa msichana asiye na macho ya kuona dunia.Lakini moyo wake ulikuwa umejaa nuru ya Qur’ani,...

READ MORE