×

Habari

Wananchi Waombwa Kujitolea Kuchangia Damu Hospitali ya Sengerema

Hospitali teule ya Wilaya ya Sengerema (DDH) mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa uniti 12 za damu kwa siku hali...

READ MORE

SGA Yapata Tuzo Kwa Kutoa Huduma Bora

Kampuni ya Ulinzi ya SGA imepokea tuzo ya Huduma Bora wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo kwa huduma bora...

READ MORE

ICEA Lion Waadhimisha Miaka 25 Nchini Tanzania

Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa serikali imeweka mazingira mazuri ya biashara hivyo sekta ya bima...

READ MORE

Huzuni! Rais Hussein Mwinyi, Kabla Na Baada ya Kutoa Heshima Za Mwisho Mbele Mwili Wa Baba Yake

Wakijiandaa kwenda kutoa heshima za mwisho.                             ...

READ MORE

Sugu Na Afande Muliro Walivyobambana ‘Laivu’ Msibani Leo

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya, Mjini na Mwanahip hop, Joseph Mbilinyi na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es...

READ MORE

Mawaziri Walivyouaga Mwili Wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Dar Leo

Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo walikuwa miongoni mwa umati mkubwa uliojitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa...

READ MORE

Mwili Wa Rais Mwinyi Ulivyoagwa Uwanja Wa Uhuru Leo, Makamanda Wa JWTZ Walivyoubeba Kijeshi

Mwili wa Rais na Amiri Jeshi Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi leo umeagwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar ambapo mwili...

READ MORE

Nimehitimu Masomo ya Udaktari Chuo Kikuu Lakini Nafanya Kazi ya Kuosha Magari

Jina langu ni Kambole kutoka Dodoma nchini Tanzania, nimemaliza Chuo Kikuu cha Muhimbili mwaka 2020, baada ya hapo nilipangiwa kwenda...

READ MORE

Makamu Wa Rais Akiongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Hayati Ali Hassan Mwinyi

Mwili wa Rais na Amiri Jeshi Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi leo umeagwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar ambapo mwili...

READ MORE

Sakata la Kitita Kipya NHIF, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Atoa Onyo

  SERIKALI imesema haitamvumilia Mtoa Huduma yeyote ambaye atakiuka sheria ya kutoa huduma hususan wakati huu wa utekelezaji wa Kitita...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete na Mkewe Wafika nyumbani kwa Hayati Ali Hassan Mwinyi kutoa pole kwa familia-Video

Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na mkewe ambaye pia ni Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete leo Machi 1, 2024...

READ MORE

Expanse Studios Yashusha Mchezo Mpya wa Kasino Huu Hapa

Expanse Studios ina mchezo mpya wa kasino mtandaoni utakaoupenda! Unaitwa Super Heli! Mbingu ni kikomo lakini ushindi hauna kikomo ukiwa...

READ MORE

Said Salim Bakhresa Afika kutoa rambi rambi katika msiba wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania

Mmiliki wa Bakhresa Group, Said Salim Bakhresa (mwenye miwani ya rangi nyeusi) amefika kutoa rambi rambi katika msiba wa aliyekuwa...

READ MORE

NHIF: Hospitali Binafsi Zinazositisha Huduma Zinakiuka Mkataba, Tunasajili Vituo Vipya

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema umeona matangazo ya kusitishwa huduma kwa Wanachama wa NHIF kwa baadhi...

READ MORE

Tanzania Fintech Association (TAFINA) Yazindua Rasmi Ukuzaji, Ubunifu Na Ushirikiano Wa Viwanda

Dar es Salaam, Tanzania, 1 Machi 2024 – Tanzania Fintech Association (TAFINA) iliyosajiliwa Machi 2023 ina furaha kutangaza uzinduzi wake...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa pole kwa Rais wa Zanzibar Mikocheni Jijini Dar – Picha

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amempa pole Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi alipohani...

READ MORE

Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi kuzikwa Machi 2 visiwani Unguja

MWILI wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, unatarajiwa kuzikwa tarehe 2 Machi 2024, mjini...

READ MORE

Watu 43 walifariki na wengine kadhaa kujeruhiwa na moto ulioteketeza jengo la ghorofa saba

Watu 43 walifariki na wengine kadhaa kujeruhiwa na moto ulioteketeza jengo la ghorofa saba katika kitongoji cha mji mkuu wa...

READ MORE

Hayati Mwinyi akumbukwa kwa kuwajibika, kuongoza mpito kuelekea demokrasia Tanzania

Rais mstaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, alifariki dunia Alhamisi katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam, alipokuwa...

READ MORE

IGP Wambura afanya mabadiliko makamanda wa mikoa

Katika kuimarisha na kuongeza ufanisi wa kiutendaji kwenye majukumu ya Jeshi la Polisi Nchini, Mkuu wa Jesi la Polisi Nchini...

READ MORE

Atekwa Akidaiwa Dawa za Kulevya Zenye Thamani ya shilingi milioni 50

WATU wanaodhaniwa kuwa vigogo wa mtandao wa dawa za kulevya wamemteka mshirika wao na kumzungusha maeneo mbalimbali ya Jiji la...

READ MORE

Pogba Afungiwa Miaka Minne Kutocheza Soka Kwa Tuhuma za Kutumia Dawa za Kusisimua Misuli

Mchezaji wa zamani wa Manchester United ambaye kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Juventus ya Italia, Paul Pogba amefungiwa kutocheza...

READ MORE

Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi afariki dunia akiwa na miaka 98

ais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha Mzee Ali Hassan Mwinyi (98), Rais wa awamu ya pili wa...

READ MORE

Hifadhi ya Mkomazi Yachangia Milioni 72 Ujenzi wa Zahanati ya Kweisewa Korogwe

Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi imechangia takribani milioni 72 katika ujenzi wa jengo la  Zahanati ya Kijiji cha Kweisewa kilichopo...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Ethiopia Awasili nchini kwa Ajili ya Ziara ya Siku Tatu (Picha+Video)

Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed Ali amewasili nchini leo Februari 29, 2024 kwa ajili ya ziara yake ya...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko Atoa Maagizo Matatu Kuhusu Kazi za Wasanii

 NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko ameangiza mambo matatu muhimu kwa Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo,...

READ MORE

Waziri Mkuu Aweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma...

READ MORE

Kiongozi wa upinzani Zimbabwe ahukumiwa jela kwa kumtukana raia wa Russia

Mahakama nchini Zimbabwe imemhukumu kiongzi wa upinzani kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya dola 300 kwa tuhuma...

READ MORE

Tanzania Na Urusi Kuimarisha Diplomasia Ya Uchumi

Tanzania na Urusi zimesisitiza kuendelea kuimarisha diplomasia ya uchumi kwa maslahi ya pande zote kupitia ushirikiano wa kidiplomasia ulioanzishwa tangu...

READ MORE

Gofu Kumuenzi Lina Yaanza Kurindima Moshi

Michuano ya Gofu inayoitwa Lina PG Tour  imeanza kurindima katika Viwanja vya TPC Moshi ambapo zaidi ya wachezaji 80 wakiwemo...

READ MORE

Majaliwa: Rais Dkt. Samia Amedhamiria Kuendelea Kuboresha Sekta Ya Afya

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na mkakati wa kuboresha sekta ya afya nchini ili kusogeza huduma bora za...

READ MORE

Rais wa Zanzibar amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu na Mhasibu Mkuu wa Serikali

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 29, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Samsung Electronics Tanzania Yakua Kwa Asilimia 30.1 Kwa Uuzwaji Wa Runinga Soko La Kimataifa 2023

Kwa mujibu wa utafiti wa masoko uliofanywa na -OMDIA imeitaja Kampuni ya Samsung Electronics Tanzania kukua kwa asilimia 30.1 kwa...

READ MORE

Rais Samia Amwaga Mabilioni ya Pesa Miradi ya Maji Mara

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ametoa taarifa ya utekelezaji wa miradi mikubwa ya Maji inayotokana na chanzo cha Ziwa...

READ MORE

Kaka Yangu Alitaka Kunitoa Kafara Nikaponea Kwenye Tundu la Sindano

Jina langu ni Hussein kutoka Kahama nchini Tanzania, ni kijana wa miaka 28 kwa sasa, mwaka 2018 nilitengwa na familia...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Akagua Mradi wa Maji Komuge

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia amedhamiria kuendelea kutekeleza kampeni yake...

READ MORE

CMSA Yatoa Elimu ya Masoko ya Mitaji Kwa Nchi 16 za SADC

CoSSE imeanzishwa chini ya Kifungu cha 14 cha Itifaki ya Fedha na Uwekezaji ya SADC, ambapo pamoja na masuala mengine,...

READ MORE

Wadau wa Kilimo Ludewa Wakutana na DC Mwanziva

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva, ameongoza Mkutano wa Wadau wa Kilimo Wilayani Ludewa- ambao umetoa mafunzo maalumu kwa...

READ MORE

Mkuu wa Kitengo cha Fedha Serengeti akamatwa madai ya wizi wa milioni 213

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha...

READ MORE