×

Habari

Mhubiri Mashuhuri Duniani Kufanya Tukio Kubwa la Utamaduni Dar es Salaam

MHUBIRI mashuhuri kutoka nchini India, Gurdev Sri Sri Ravishankar, ambaye pia ni Balozi wa Amani duniani atawasili nchini Tanzania Agosti...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe, Mama Mariam Mwinyi Washiriki Zoezi la Sensa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe, Mama Mariam Mwinyi leo...

READ MORE

Viongozi Mbalimbali Washiriki Sensa ya Watu na Makazi, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu…

VIONGOZI mbalimbali leo Jumanne, Agosti 23, 2022 wamekuwa miongoni mwa Watanzania waliohesabiwa katika Sensa ya Watu na Makazi.

READ MORE

Rais Samia Ahesabiwa Sensa Ikulu Chamwino Dodoma, Atoa Ujumbe kwa Watanzania -Video

RAIS Samia leo Jumanne, Agosti 23, 2022 amekuwa miongoni mwa Watanzania waliohesabiwa katika Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza saa...

READ MORE

NMB Yatambulisha Kifurushi Maalum Kuwahudumia Walimu – Songea

  KWA kutambua umuhimu wa walimu na mchango wao katika mafanikio ya Benki ya NMB, taasisi hiyo kubwa kuliko zote za...

READ MORE

Fahamu Maana na Historia Fupi ya Sensa ya Watu na Makazi

SENSA ni nini? Ofisi ya Takwimu ya Taifa(NBS) Sensa ya Watu na Makazi inaielezea sensa kuwa ni utaratibu wa kukuasanya,...

READ MORE

Hoteli Jijini Dar es Salaam Yaamriwa Kurejesha Mishahara ya Wafanyakazi

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Kazi imeiamuru uongozi wa Hotel ya Southern Sun iliyopo jijini Dar es salaam nchini Tanzania kuwalipa...

READ MORE

Tanzania Inakaribisha Wazabuni Ujenzi wa SGR ya Uvinza Mpaka Gitega

SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inakaribisha wazabuni katika ujenzi wa reli ya kisasa, Standard Gauge Railway (SGR) njia...

READ MORE

Meneja TRC Afukuzwa Kazi kwa Kupinga Tozo na Kumkashifu Rais Samia

MENEJA wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye Mwangunga, amefukuzwa kazi baada ya kudaiwa...

READ MORE

Sensa ya Watu na Makazi 2022, Jiandae Kuhesabiwa Kesho

IKIWA imesalia siku moja kabla ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuanza zoezi la kitaifa la Sensa ya Watu na...

READ MORE

Neema Yawashukia Wavuvi Jijini Mwanza, Serikali Yatenga Fedha za Mikopo

SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mifigo na Uvuvi imetenga fedha kwa ajili ya mikopo kwa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Agosti 22, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 22 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

SBL Yatangaza Kupokea Maombi ya Ufadhili wa Masomo kwa Wanaosomea Kilimo

    IKIWA ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za kuongeza mchango wa sekta ya kilimo kwenye uchumi wa nchi,...

READ MORE

Wapinzani wa Yanga CAF Waanza Kuchonga Ligi ya Mabingwa Afrika, Watoa Tamko

BAADA ya kutambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Zalan FC, Baping Alliab, ameanza kuchonga kwa kusema ataanza kufanya vema katika...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Pole Kufuatia Kifo cha Mwanasiasa Mkongwe Mrema

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha mwanasiasa mkongwe Augustino Mrema ambaye amefariki asubuhi ya leo...

READ MORE

Meridianbet Walivyofunga Safari Kumshika Mkono Mgonjwa Buza

Unapokuwa katika wakati mgumu, unafaa kuwa na matumaini kuwa kuwa jamii yetu ni bora sana, na changamoto zako sio za...

READ MORE

Waziri Balozi Pindi Chana Azindua Mafunzo ya Maafisa Uhamiaji, Ataka Wadau Kucheza na Pasi ya Rais Samia

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Balozi Dkt.Pindi Chana amezindua Programu ya uimarishaji huduma kwa kupitia mafunzo kwa wadau walioko...

READ MORE

DC Zainab Kawawa, Mbunge Kilwa, Wapiga Jogging Kuhamasisha Sensa na Kuchangia Damu

  Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Zainab Kawawa akishirikiana na Mbunge wa Jimbo la Kilwa, Ali Kasinga wamefanya bonanza la...

READ MORE

Waziri wa Mawasiliano Aiomba TTCL Kusaidia Maboresho ya Mawasiliano Zanzibar

WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dk. Khalid Salum Mohamed ameliomba Shirika la Mawasiliano...

READ MORE

Katibu Mtendaji Baraza la Ushauri Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga Yuko Tayari Kuhesabiwa Agosti 23

Zikiwa zimebaki siku mbili kufikia like jambo letu la kitaifa, yaani Sensa ya Watu na Makazi linalotarajiwa kufanyika nchini more...

READ MORE

RC Makalla Atangaza Oparesheni ya Kukamata Matumizi ya Mifuko ya Plastiki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo August 19 ametangaza Operesheni ya kukamata Mifuko...

READ MORE

MTCC Kuja na Mkakati Mpya Kuboresha Maendeleo ya Bandari

KITUO cha Ushirikiano wa Teknolojia ya Bahari, Maritime Technology Cooperation Centre (MTCC) ambacho kina wanachama kumi, Tanzania ikiwepo, wamekuja na...

READ MORE

TRC Kuongeza Safari za Treni Mikoa ya Kaskazini, Gharama za Mafuta Yawa Sababu

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeongeza safari za Treni Kutoka Dar es salaam kwenda mikoa ya kaskazini ambayo ni Arusha,...

READ MORE

Mrembo Hana Mohamed Khodor Auawa Kwa Kukataa Kutoa Mimba

Hana Mohamed Khodor; ni mrembo mwenye umri wa miaka 21 ambaye amekutana na umauti kwa kukataa kutoa mimba kwa shinikizo...

READ MORE

TMRC Yasaini Hati ya Makubaliano Kusaidia Kaya Masikini, Ridhiwani Kikwete Atoa Tamko

TAASISI ya mikopo ya nyumba ya Tanzania Mortgage Refinance (TMRC) imesaini hati ya makubaliano kusaidia kaya maskini na Shirika la...

READ MORE

Rais Samia Amteua Prof. Mark Mwandosya Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi EWURA

  Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya udhibiti wa...

READ MORE

Spika Tulia Mgeni Rasmi Benki ya Mwanga Hakika ikiweka Historia, Yawa Benki ya Biashara

  Dare es Salaam- Kijitonyama. Benki ya Mwanga Hakika yawa benki ya biashara. Ambapo awali benki hii ilikuwa benki ya...

READ MORE

Watu Zaidi ya 16 Wafariki kwa Mafuriko China Kaskazini, Serikali Yaingilia Kati

BEIJING Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko jimbo la Qinghai kaskazini mwa nchi ya China yamesababisha vifo vya...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Siku ya Sensa ni Mapumziko

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa tarehe 23...

READ MORE

Neema Kituo Cha Afya Yombo, Wapatiwa Vifaa Tiba Vya Kisasa

KITUO cha Afya Yombo Vituka Wilaya ya Temeke jijini Dar es saalam kimepata neema baada kupatiwa vifaa tiba vya kisasa...

READ MORE

Nchi ya Japan Imewahimiza Vijana Kunywa Pombe Zaidi ili Kuchochea Uchumi waNchi

KATIKA hali ambayo inaweza kukushangaza, Mamlaka za Japan zimewataka vijana wengi zaidi kunywa pombe, Kampeni hiyo imeanzishwa ili kuweza kuongeza...

READ MORE

Waziri Mkuu Atatua Mgogoro wa Ardhi wa Miaka Mitatu Kinondoni

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka mitatu katika eneo la Boko-Dovya, wilayani Kinondoni jijini Dar...

READ MORE

Wanafunzi 400 Waliosoma Nje ya Nchi Kushiriki Mahafali yao Jumapili

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolph Mkenda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya tatu ya wanafunzi...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Agosti 18, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 18, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Benki ya Akiba (ACB) Yaendelea Kuboresha Huduma Kuendana na Mahitaji ya Wateja na Soko

  Benki ya Biashara ya Akiba (ACB) katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wateja wake inafanya jitihada kuboresha huduma na...

READ MORE

Washindi wa Jaza Kibubu Tusepe Qatar Walivyopatikana

  Benki ya NBC yatangaza washindi wa “JAZA KIBUBU TUSEPE  QATAR” siku ya Jumatano, Agosti 17, 2022. Ambapo kampeni hiyo ilianza Aprili...

READ MORE

Coca-Cola Kwanza Yawakabidhi Machinga Mwenge Meza za Biashara 300

Mkurugenzi wa Mawasiliano Coca-Cola Kwanza Salum Nassor akimkabidhi meza hizo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe kwa niaba ya...

READ MORE

Wiki ya Asasi za Kiraia Yazinduliwa Jijini Dar

  Imeelezwa kuwa jitihada za makusudi zinazofanywa na Asasi za kiraia katika kuimarisha ushirikiano miongoni mwa wadau mbalimbali wa sekta...

READ MORE

Wakulima wa Parachichi Nchini Wala Shavu, Waaswa Kutoogopa Ushindani wa Soko

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Ali J. Mwadini amewataka wakulima wa zao la parachichi...

READ MORE

Dereva Daladala Akamatwa Kwa Tuhuma za Kumuua Mpenzi wake

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara...

READ MORE