×

Habari

Polisi Wafunguka Walivyompata Diwani Rwakatare Nyumbani kwa Ashura Tabata Dar -Video

  Jeshi la polisi Kanda maalum Dar es salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi...

READ MORE

Watu Watatu Wafariki kwa Ajali ya Basi la Mohamed Classic Kugongana na Lori, Manyara

Watu watatu wamefariki dunia kwa ajali iliyotokana na basi la Mohamed Classic linalotoka Arusha kwenda Mwanza kugongana na lori aina...

READ MORE

AngloGold Ashanti Yaahidi Kuwekeza Zaidi Tanzania

NA MWANDISHI WETU AFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya AngloGold Ashanti, Dk. Alberto Calderon jana amekutana na Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Tatizo Kwisha… Mkali wa Mabao Simba Mlangoni Anatoka Vipers SC ya Uganda, Kocha Afunguka

IMEFAHAMIKA kuwa Simba ipo katika mipango ya kumsajili mshambuliaji wa Vipers SC ya Uganda, Yunus Sentamu, ambaye raia wa Uganda....

READ MORE

Rais Samia Atajwa Kwenye Orodha ya Watu Wenye Ushawishi Mkubwa Duniani

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa katika orodha ya viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa duniani., kwa mujibu wa jarida...

READ MORE

Chama Cha Mapinduzi Chaunga Mkono Maridhiano ya Kisiasa Nchini, Watoa Tamko – Video

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imekutana katika kikao chake maalumu Mei 22, 2022 chini ya Mwenyekiti...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne, Mei 25, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 24, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

NMB Yatenga Bil 1 Kusaidia Wabunifu Wachanga

Benki ya NMB imetenga Sh. bilioni moja kwaajili ya kuwasaidia wabunifu wachanga waweze kuimarika na kuzifanya bunifu zao kuwa bora...

READ MORE

Mbunge wa Jimbo la Mbulu Aruka Sarakasi Bungeni

MBUNGE wa Jimbo la Mbulu Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Flatei Massay ameruka sarakasi Bungeni ikiwa ni...

READ MORE

Ajali ya Gari na Treni Mkoani Morogoro Yasababisha Kifo cha Mtu Mmoja

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Fortunatus Musilimu amethibitisha kuwa mtu mmoja ambaye ni mmiliki...

READ MORE

Auawa kwa Kupigwa Risasi Akivua Samaki Eneo la Mgodi

MWANAUME aliyejulikana kwa jina la Hamis Mayunga (27) mkazi wa Kijiji cha Dulisi wilayani Kishapu ameuawa kwa kupigwa risasi na...

READ MORE

Chadema Yatoa Tamko Zito, Yataka Kukamilika kwa Katiba Mpya Kabla ya 2025

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu wake John Mnyika kimetoa taarifa juu ya mazungumzo ambayo Cham...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Nchini Kuelekea Nchini Ghana kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya ziara...

READ MORE

Ajali Imetokea Morogoro Baada ya Gari Kugonga Behewa la Treni

AJALI mbaya imetokea inayohusisha gari aina ya TOYOTA PICKUP lenye namba ya usajili T 840 DQF lililokuwa likitokea maeneo ya...

READ MORE

Askofu Adaiwa Kupotea Katika Mazingira ya Kutatanisha

Mke wa Askofu Mulilege Kameka marufu Mzee wa Yesu, Greena Mkoma alipokuwa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani ).    ...

READ MORE

Wabunge Kuelimishwa Kuhusu PURA Wiki ya Nishati

  Wabunge na viongozi mbalimbali wa Serikali wanatarajiwa kuelimishwa kuhusu Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) na...

READ MORE

Mpya: Sasa Unaweza Kujitoa Kwenye Group la Whatsapp Bila Wenzako Kujua

Kampuni inayomiliki APP (program tumishi) ya WhatsApp yenye watumiaji zaidi ya bilioni mbili duniani kote, imesema inashughulikia kipengele kipya ambacho...

READ MORE

Wateja Kuokoa Hadi Tsh 1,000,000 Kampeni Mpya ya ” LGs Something Better”

    DAR ES SALAAM, Mei 23, 2022, Kampuni mashuhuri kwa uuzaji wa  bidhaa zinazotumia  umeme ya  LG Electronics East...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Ikulu Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Emmerson...

READ MORE

Waandishi wa Habari Arusha Watimuliwa kwa Kupigwa Mawe Kiwawa, Arumeru

Waandishi wa Habari kutoka mkoani Arusha leo Mei 22, 2022 wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika Kijiji...

READ MORE

Serikali Yasisitiza ni Kosa Kisheria Kwenda na Mtoto Baa au Kumbi za Burudani

  WALE wanaopenda kwenda na watoto sehemu za starehe kama baa na kwenye kumbi za burudani wakidhani kuwa wanawafurahisha watoto...

READ MORE

Manula Aumia Mkono kwa Kukatwa na Kioo katika Chumba cha Kubadilishia Nguo

Kupitia Ukurasa Rasmi wa Klabu ya  wameripoti kuwa mlinda mlango wao, Aishi Manula ameumia mkono baada ya kukatwa na kioo...

READ MORE

Basi la Super Feo Lapata Ajali Tunduru, Ruvuma… Dereva Halima Adaiwa Kukatika Mkono

  Basi la Super Feo linalofanya safari zake Songea – Dar kupitia njia ya Lindi limepata ajali asubuhi ya leo...

READ MORE

NBC Yatambulisha Huduma Mpya Mbeya

Mbeya: Mei 22, 2022; Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekutana na wateja wake wadogo na wakubwa wa jijini Mbeya ili...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Awasili Dodoma kwa Kikao cha Kamati Kuu CCM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili uwanja wa ndege Dodoma na kupokelewa...

READ MORE

Benki ya Exim Yaombwa Kujitanua zaidi Kanda ya Ziwa

  Mwanza; Mei 22, 2022: Benki ya Exim Tanzania imeombwa kuangalia namna ya kujitanua zaidi katika mikoa ya Kanda ya...

READ MORE

Pablo Aja Kivingine Kuimaliza Geita Gold Leo Jumapili Kwenye Uwanja wa CCM Kirumba

  PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba, amesema watatumia mbinu nyingine kuikabili Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Katibu NCCR- Mageuzi: Mbatia Hajavuliwa Uenyekiti, Kilichofanyika ni Uhuni -Video

    MWENYEKITI wa NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, amedai kuwa unaoitwa, “mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) ya chama chake”...

READ MORE

Urusi Yatangaza Kuudhibiti Mji wa Mariupol Wanajeshi Zaidi ya 2,000 wa Ukraine Wajisalimisha

BAADA ya wanajeshi wa Ukraine 531 waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha Azovstal wakipambana na wanajeshi wa Urusi kujisalimisha, Urusi imemesema...

READ MORE

Breaking News: NCCR-Mageuzi Yamsimamisha Mbatia, Hizi Hapa Sababu, Msajili Abariki

  HALMASHAURI Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imemsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti wake Bara,...

READ MORE

EPL NA SERIE A KUMJUA BINGWA WIKIENDI HII, BINGWA NI…?

MERIDIANBET, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa. Baada ya purukushani za wiki 37, hatimaye bingwa wa EPL na Serie...

READ MORE

Rais Samia Akiri Nidhamu Imeshuka Katika Utumishi wa Umma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ni kweli nidhamu imeshuka  katika utumishi wa Umma na...

READ MORE

Spika Tulia Ampongeza Rais Samia kwa Kuongeza Mshahara wa Wafanyakazi

SPIKAwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza kiwango na...

READ MORE

Halima Kopwe Ashinda Taji la Miss Tanzania Kutoka Mtwara, Rais Samia Kujenga Ukumbi wa Kimataifa Dar -Video

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Rais Samia imedhamiria kuinua kuinua kiwango cha mashindano...

READ MORE

Serikali Yatambua Mchango wa NMB Kuendeleza Wabunifu Nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Philip Mpango ameikabidhi Benki ya NMB cheti cha kutambua...

READ MORE

Exclusive… Mama Dangote Amlipukia Zari, Acharuka Baada ya Kuulizwa Juu ya ujio Wake

  Sanura Kassim almaarufu Bi Sandra au Mama Dangote; ni mama mzazi wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika, Diamond...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Mei 20, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 21, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Makonda Afika Ubalozi wa UAE Asaini Kitabu cha Maombolezo Kufuatia Kifo cha Rais Khalifa Bin Zayed

  Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Dar es salaam, Paul Makonda amefika katika Ubalozi wa Umoja wa Falme Za Kiarabu...

READ MORE

TAMWA Yatoa Taarifa ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto wa Kike Nchini Tanzania

CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetoa taarifa kwa Umma juu ya ripoti ya ukatili na unyanyasaji wa...

READ MORE