MVUA kubwa iliyoambatana na upepo mkali imeharibu nyumba 45 katika mtaa wa kineng’ene , kata ya Mtanda manispaa ya Lindi....
READ MOREKituo kimoja cha kutolea huduma za matibabu kilichopo Mombasa Kenya kimetakiwa na Mahakama kulipa fidia ya Ksh. milioni 2 (Tsh....
READ MOREMNYAMA aina ya Ndovu au Tembo wa Mbuga ya Kitaifa ya Samburu nchini Kenya, amejifungua ndama pacha katika kile ambacho...
READ MOREMVUKE mweupe unaotoka kwenye shimo maarufu kwa jina la Shimo la Mungu lililopo wilayani hapa Mkoa wa Mtwara, umewashtua wenyeji...
READ MORETOLEO la 20 la mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2022 limezinduliwa mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, ikiwa ni...
READ MOREBenki ya NMB imesaini makubaliano ya kimkakati na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kushirikiana katika kuimarisha na kukuza ukusanyaji wa...
READ MOREMCHAKATO wa kuwapata watu 200,000 waishio na virusi vya ukimwi bila kujua ni mbinu mojawapo ambayo Wizara ya Afya imesema...
READ MOREWATEJA 100 wa Wiki ya Tatu ya Kampeni ya NMB MastaBata – Kivyako Vyako, wamepatikana jana (Alhamisi Januari 20), na...
READ MOREShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa Wa Kinondoni Kusini limewaomba radhi wateja wake wanaotumia laini za umeme kwa kukosa huduma...
READ MORETAHARUKI: Familia zilizopotelewa na ndugu zao watano katika mazingira ya kutatanisha tangu Desemba 26, 2021 maeneo ya Kariakoo ‘Kamata’...
READ MOREKATIKA kile kimetajwa kama hatua kubwa kwenye tasnia ya utabibu, muuguzi mmoja kutoka nchini Uingereza ambaye alikuwa akipigania maisha yake...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan, amemteua Suzan William Mkangwa kuwa Kamishna wa Kazi, akichukua nafasi ya Brigedia Jenerali Francis Mbindi aliyepangiwa...
READ MOREVISA vya ajali za moto kuteketeza majengo jijini Dar es Salaam vimezidi kuendelea ambapo leo, Alhamis, Kikosi cha Zimamoto kimembana...
READ MOREBREAKING NEWS: Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), leo Alhamisi Januari 20, 2022 imempitisha Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia...
READ MOREMakamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango (kulia) amefiwa na kaka yake, aliyekuwa Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hana ugomvi na shahidi wa Jamhuri, Innocent Mdowo (37),...
READ MOREKampuni ya kutengeneza vyombo vya moto vinavyotumia umeme nchini Kenya ya Opibus imetangaza kujiandaa kuingiza sokoni mabasi mapya ya umeme...
READ MOREShirika la ndege la Qatar mwezi huu linaadhimisha miaka 15 ya mafanikio tangu ilipoanza safari yake ya kwanza kati ya...
READ MOREMtangazaji maarufu na mpakuaji miziki wa kituo cha redio cha Capital FM, Alex Nderi almaarufu DJ Lithium ameaga dunia. Kwa...
READ MOREMbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula ametuma...
READ MOREVITENDO vya kuomba na kupokea rushwa kwa baadhi ya askari vinazidi kulitikisa Jeshi la Polisi nchini, huku askari wawili katika...
READ MOREUongozi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) umethibitisha kutokea kwa tukio la ajali lililotokea leo January 19, 2022 maeneo ya...
READ MOREMHUDUMU wa nyumba ya kulala wageni ya Peace Lodge iliyoko katika eneo la Matarawe Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambaye...
READ MOREBAADHi ya wadudu hutajwa kuwa chakula bora chenye protini na kilicho chenye ladha nzuri katika jamii mbalimbali. Takriban spishi 20,000...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shighela,amefiwa na mkewe usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Aghakhan Jijini Dar es...
READ MOREWANAFUNZI watatu walionusurika kwenye ajali ya Shule ya Lucky Vincent, wamefanya maajabu katika mtihani wa kidato cha nne na kufaulu...
READ MOREMashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na...
READ MOREKaribu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....
READ MOREMatukio ya ajali za moto katika masoko nchini yameibua maswali matano yanayokosa majibu kutoka mamlaka husika, huku yakizidi kuathiri maisha...
READ MORESerikali kupitia Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) inatarajia kuanza kufanya kazi ya usanifu wa ujenzi wa Barabara ya njia nne...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiomba Mahakama imrudishie mapema gari yake alilonunua kwa fedha zake halali...
READ MOREMSHTAKIWA namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na Machozi mahakamani hapo wakati...
READ MOREJeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mkazi wa Kata ya Mlale wilayani Ileje, Shukrani Kamwela mwenye umri wa miaka 16...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe...
READ MOREJeshi la Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika Jimbo la Kivu Kaskazini, limefanikiwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa...
READ MORETukio lisilo la kawaida limetokea katika Kitongoji cha Kipondoda, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida baada ya kaburi la mtoto Christina...
READ MOREKATIKA hali isiyo ya kawaida, Simba na Puma katika mbuga ya wanyamapori nchini Afrika Kusini imeelezwa kuwa huenda wameambukizwa virusi...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa hawafahamu baadhi ya watuumiwa...
READ MORERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi anatarajiwa kuhitimisha ziara yake ya kikazi katika Falme...
READ MOREMahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeruhusu kufunguliwa kwa kesi ya jinai dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...
READ MORE