×

Habari

Rais Samia Atoa Maagizo Kukamilisha Mfumo wa Anwani za Makazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa Kuhusu...

READ MORE

Aliyekuwa Mgombea Uenyekiti Ajiondoa ACT

Mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo Hamad Masoud ambaye alikuwa mgombea nafasi ya uenyekiti katika uchaguzi uliomaliza wiki iliyopita...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Makonda Asakwe Mpaka Kolomije

Mahakama ya hakimu mkazi Wilaya ya Kinondoni imekubali maombi ya upande wa waleta maombi katika kesi namba 1 ya mwaka...

READ MORE

Polisi Wanaotuhumiwa Kuua Wafikishwa Mahakamani

Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara ambao wanatuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25) wamefikishwa...

READ MORE

Watu 22 Mbaroni kwa Mauaji Mbeya

KUFUATIA kuwepo kwa wimbi la matukio ya mauaji jijini Mbeya, Jeshi la Polisi mkoani humo limewatia nguvuni watu 22 kwa...

READ MORE

Live: Rais Samia Anashiriki Kikao Kazi Cha Wakuu Wa Mikoa

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu...

READ MORE

Kituo cha Taarifa na Maarifa Kilivyoleta Maendeleo na Kuibadili Kipunguni Kutoka Kwenye Ukatili

    IJUMAA Februari 4 mwaka huu 2022 inaweza kuwa siku ya ukombozi kwa wale waliokuwa wakifanyiwa ukatili wa kijinsia...

READ MORE

Rasi Samia Atoa Maagizo kwa Wakaguzi wa Ndani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaagiza Wakaguzi wa ndani wa Halmashauri kufanya kazi kwa...

READ MORE

Wafanyabishara Waelekezwa Kushusha Bei ya Vifaa vya Ujenzi

Serikali imesema tathmini iliyofanyika imebaini ongezeko holela la bei ya vifaa vya ujenzi hususan saruji na nondo linasababishwa na wazalishaji...

READ MORE

Asakri: Hatukumshuhudia Mbowe Akipanga Ugaidi

INSPEKTA Tumaini Swila amedai yeye pamoja na wapelelezi wenzake hawakuwahi kumshuhudia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiwa katika kikao cha...

READ MORE

Sabaya: Amaliza Kujitetea

MSHITAKIWA wa kwanza katika kesi ya uhujumu uchumi, Lengai Ole Sabaya (35) amemaliza kujitetea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa...

READ MORE

Mwanafunzi Afariki, Watatu Walazwa Baada ya Choo Kuporomoka

MWANAFUNZI mmoja alifariki na wengine watatu walilazwa hospitalini baada ya choo cha shule ya upili ya Nyabondo kuporomoka. Tukio hilo...

READ MORE

Mrisho Mpoto Ateuliwa Serikalini

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amemteua msanii wa muziki, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ kuwa Balozi wa Sekta ya Maji nchini...

READ MORE

Waasi ADF Wanaodaiwa Kuwa ni Watanzania Wakamatwa DRC

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) vimetangaza kuwakamata raia watatu wa Tanzania wanaodaiwa kuwa ni wanachama wa kundi...

READ MORE

Wasira: Sitaki Tena Urais

MBUNGE wa zamani na Waziri Mstaafu wa Wizara mbalimbali nchini, Mzee Steven Wasira amesema kuwa kwa sasa hana mpango tena...

READ MORE

Rais Samia: Nassari Alikuwa Akituchachafya Bungeni

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu,  Februari 7, 2022 akiwa kwenye ziara Mkoani Mara amesema anashukuru kwamba taarifa...

READ MORE

Madarasa Yageuzwa Kituo cha Kuvuta Bangi

​​​​​​​WANAFUNZI wanaosoma katika shule mbili za msingi za Kijichi wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam, wako hatarini kuathirika kiafya na...

READ MORE

Vodacom “Shangwe Lipo Palepale” Yatoa Zawadi za Ada kwa Washindi 10 Mbagala, Dar

      AKIZUNGUMZA kwa niaba ya wenzake mmoja kati ya washindi aliyejishindia ADA ya shule kwa watoto wake, Jackline...

READ MORE

Moto Waua Watoto Wawili Ndani ya Nyumba

WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ya kutosha chumbani katika nyumba waliyokuwa wakiishi katika Kijiji...

READ MORE

Live: Rais Samia Anaweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Chujio La Maji Mradi Wa Maji Bunda…

Rais Samia Suluhu Hassan leo Februari 7, 2022 anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mara ambapo leo anaweka jiwe...

READ MORE

Live: Samia Awa Mbogo, Agizo Lake Lazua Kilio Upya, Zitto Afunguka Kesi Ya Mbowe | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Serikali Yahimiza Wananchi Kulipia Kwa Wakati Viwanja Vilivyopimwa

Serikali imetoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kulipia kwa wakati gharama za maandalizi ya Hati za...

READ MORE

NMB Yazindua Uuzaji wa Hati Fungani Maalum

  Benki ya NMB imetangaza kuanza kuuzwa rasmi kwa hati fungani ya miaka mitatu inayomlenga mwekezaji yeyote aliye tayari kuwekeza...

READ MORE

Video: Mbunge Nyongo Achukua Fomu Unaibu Spika

 Mbunge wa Maswa Mashariki Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

TMA Yatoa Angalizo Mvua Kubwa na Upepo Mkali

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kwa wananchi juu ya hali ya hewa katika siku kadhaa zijazo....

READ MORE

Video: Zitto Kabwe Atangaza Wasemaji Wa Kisekta Wa Kila Wizara…

 Leo Jumapili Februari 6, 2022, Chama cha ACT Wazalendo wanatangaza wasemaji wa Kisekta wa kila Wizara ya Serikali katika...

READ MORE

Malagashimba Mwenyekiti Anayekosa Usingizi Kwaajili ya Mtaa Wake

    WANADAMU tumezoea ile tabia ya kumwaga sifa kemkem kwa mtu aliyetangulia mbele za haki lakini nami leo naomba...

READ MORE

Maafisa Ugani Wapigwa Msasa, Kupeleka Elimu Vijijini

Kampuni ya Bens Agrostar CO Company Ltd imewapa elimu mbalimbali maafisa ugani  wa kampuni hiyo namna bora watakavyomsaidia mkulima katika...

READ MORE

DC Nyangasa Aitaka TCB Kuongeza Wigo Wa Huduma Zake

MKUU wa Wilaya ya Kigamboni, Fatuma Almasi Nyangassa, ameiomba benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) kupanua wigo wa huduma zake...

READ MORE

BETWAY Yazindua Programu Ya Maboresho ya Viwanja Vya Michezo

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya kimataifa, Betway Tanzania imezindua rasmi programu yake ya maboresho ya viwanja vya michezo. Programu...

READ MORE

Mwalimu Auawa kwa Kupigwa na Kitu Kizito

MWALIMU wa Shule ya Msingi Kisokwe, Wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma Albert Kaguli (43) amekutwa ameuawa na watu wasio julikana kwa...

READ MORE

Ratiba ya Kukatika Umeme Februari 6, Hii Hapa

Shirikal la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Rukwa, limetoa taarifa ya kukatika umeme kesho Februari 6, 2022 kuanzia saa 1:00...

READ MORE

Baba Amuua Mwanaye na Kumtupa Kwenye Korongo

JESHI la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Ambwene Sanga (34), ambaye ni baba wa kambo wa mtoto Mesia Kaduma (5)...

READ MORE

Breaking: Zungu, Kigwangalla, Mwinyi Wajitosa Unaibu Spika

Wabunge wanne wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, wamechukua fomu za kuwania kugombea unaibu Spika, leo Febriari 5 jijini Dodoma....

READ MORE

Kazi Ngumu ya Kumuokoa Mtoto Aliyenasa Kisimani kwa Siku 5 Yakaribia Kukamilika

Macho na masikio ya watu wengi duniani kwa sasa, yapo nchini Morocco ambapo oparesheni kubwa ya kumuokoa mtoto Rayan mwenye...

READ MORE

Mganga wa Jadi Adaiwa Kuua Wateja Wake Wawili na Kuwatupa Msituni

WATU wawili, Suzana Mtitu (38) na Kassim Kitamkanga (35) wakazi Makambako Mkoani Njombe wamekutwa wamefariki katika msitu wa Tanwat uliopo...

READ MORE

Kimbunga Batsirai Chatabiriwa Kutua Tanzania

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Batsirai katika maeneo ya Kusini Magharibi mwa...

READ MORE

Morrison Atajwa Kuibukia Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa raia wa Ghana, anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba, Bernard Morrison amemamisha kwa muda hadi suala...

READ MORE

Mke Ajinyonga Kwenye Gesti ya Mumewe

KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani...

READ MORE