×

Habari

Makombora 1500 ya Ujerumani Yawasili Ukraine

SHEHENA  ya makombora 1,500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini Ukraine kutoka Ujerumani,...

READ MORE

Bondia Ukraine Aondoka Jeshini Kumuwinda Joshua

BINGWA wa uzito wa juu Oleksandr Usyk ambaye anashikilia mikanda ya WBA, IBF, WBO na IBO amethibitisha kuondoka jeshini na...

READ MORE

Urusi Yathibitisha Wanajeshi Wake 1,351 Wameuawa Ukraine

Wizara ya ulinzi ya Urusi imetoa taarifa kuhusu vifo va wanajeshi wake pamoja na majeruhi – kwa mara ya pili...

READ MORE

Ulaya Yakataa Kununua Gesi ya Urusi Kwa Sarafu ya Taifa Hilo

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amepuuzilia mbali takwa la rais wa Urusi, Vladimir Putin la kuyataka mataifa ya Ulaya kununua...

READ MORE

Tigo Yakabidhi 40m kwa Washindi 20 wa Kwanza wa” Pesa Mwaa Mwii na Tigo Pesa”

    DAR ES SALAAM, Ijumaa, Machi 25, 2022, Katika jitihada za kuongeza kasi ya malipo ya fedha kidijitali na...

READ MORE

Tigo Wazindua Duka Jipya la Kisasa Palm Village Mall

    DAR ES SALAAM,  Machi 25, 2022. Mtandao namba moja Nchini kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo Tanzania...

READ MORE

Walimu Sengerema Sekondari Walia Kuishi Nyumba Chakavu

Walimu 25 kati 49 shule ya sekondari Sengerema iliyoko Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wameiomba Serikali kuwasaidia kukarabati nyumba zako...

READ MORE

Jamhuri Waweka Pingamizi Kesi ya Kutaka Makonda Ashtakiwe

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Jijini Dar es Salaam inatarajia kuanza kusikiliza mapingamizi yaliyowasilishwa na upande wajibu maombi katika kesi...

READ MORE

Lori Laparamia Nyumba ya Mtu Morogoro na Kuua Watatu!

Watu watatu wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori la mizigo lenye namba za usajili T 947 BQB...

READ MORE

Katibu Mkuu Madini atembelea GGML, aipongeza kwa kuzingatia sheria

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Adolph Ndunguru ameipongeza Kampuni ya (GGML) kwa kuzingatia sheria zinazosimamia sekta ya madini...

READ MORE

Simba Yaiandikia Barua CAF

UONGOZI wa Simba, umepanga kuliandikia barua Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuomba waongezewe idadi ya mashabiki kutoka ile ya awali...

READ MORE

Kampuni ya Simu ya Oppo Yazindua Smartphone Mpya ya Oppo A76 na Oppo A96

Meneja Mafunzo wa kampuni ya Oppo Tanzania Farida Mwangosi kushoto akizungumza wakati wa uzinduzi huo.           ...

READ MORE

Mke Wa Makamu Wa Rais Mama Jenisia Mpango Azindua Nembo

TAASISI ya Ukaguzi wa hesabu za ndani (IIA) imezindua nembo mpya pamoja na tovuti (Website) kwaajili ya kuelimisha Umma juu...

READ MORE

Ugonjwa Wa Kisukari Wapata Suluhisho

Wizara ya Afya ya Tanzania,  Chama cha Ugonjwa wa Kisukari(TDA) na taasisi nyingine muhimu leo Machi 24,wakiwa wameingia katika ushirikiano...

READ MORE

Korea Kaskazini Yafyatua Tena Kombora

KOREA Kaskazini imefanya majaribio ya kufyatua tena kombora la masafa marefu Alhamisi ya Machi 24, 2022 baharini na kufanya mpaka...

READ MORE

Hatimaye Mzee Mrema Afunga Ndoa na Binti Mbichi Kabisa

Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Augustino Mrema leo Alhamisi Machi 24, 2022 amefunga ndoa na Doreen Kimbi...

READ MORE

EU Yaitaka Urusi Kusitisha Mapigano Ukraine

  UBALOZI wa Ufaransa nchini pamoja na Umoja wa Ulaya umesema zinasimama na Ukraine katika kuhakikisha ya kwamba vita baina...

READ MORE

Rais Samia Ataka Kuondolewa Kwa Alama ya Mwenge Katika Daraja la Tanzanite

Rais Samia Suluhu Hassan amemwagiza Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa kubadilisha alama ya mwenge iliyowekwa kwenye daraja...

READ MORE

Njombe: Maiti Yaokotwa Mto Ruhuji Njombe

Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Njombe kwa kushirikiana na wananchi mkoani humo wamefanikiwa kuokoa mwili wa mwanaume anayekadiriwa kuwa...

READ MORE

Boris Kuipa Ukraine Makombora 6,000

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson leo anatazamiwa kutangaza kwamba Uingereza itaipatia Ukraine takriban makombora 6,000 ya ziada.   Katika...

READ MORE

Mshauri Mkuu wa Rais Putin Ajiuzulu

Anatoly Chubais ambaye ni mshauri mkuu wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin amejiuzulu wadhifa wake wa uwakilishi wa kimataifa.  ...

READ MORE

Basata Yamzuia Steve Kuwa Msemaji wa Shirikisho la Wasanii

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa maelekezo kwamba Steve Mengele aliyeteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Wasanii asianze kufanya kazi...

READ MORE

Uwajibikaji wa Nmb Kwa Jamii Wagusa Wengi Mikoa Hii..

  Moja ya sababu kubwa ya kuifanya Benki ya NMB kuendelea kuwa benki kubwa na kinara katika utoaji wa huduma...

READ MORE

Katibu Mkuu Wa Kwanza Mwanamke Marekani Afariki Dunia

MADELEINE Albright ambaye ndiye aliyekuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa katibu mkuu kiongozi wa Marekani, amefariki dunia leo Jumatano,...

READ MORE

Rais Samia awapa miezi 3 Bure Magomeni

Wananchi waliokabidhiwa nyumba Magomeni Kota wamepewa miezi mitatu ya kupumzika kuchangia uendeshaji nyumba huku Rais akiwataka wakazi hao kutunza nyumba...

READ MORE

Neema amkana Mzee Mrema “Sina Mpango wa Kuolewa”

Mwanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Neema Swai anayedaiwa kuolewa na Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Mzee Lyatonga...

READ MORE

Rais Samia Awaokoa Wananchi Waliokuwa Wakisafiri KM160 Kwenda Hospitali

Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe ni miongoni mwa halmashauri zilizopokea fedha kiasi cha shilingi milioni 250 kwa ajili...

READ MORE

Tanzania Kutoa Vibali vya Kuwinda Simba na Tembo

Tanzania inatenga vitalu vya kuwinda wanyamapori kwa njia ya mnada ili kuongeza mapato zaidi, ambapo inalenga kukusanya TZS bilioni 69.6...

READ MORE

Breaking: Abdul Nondo Afutiwa Kesi

MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, Divisheni ya Iringa, imeifuta rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kupinga uamuzi wa Mahakama...

READ MORE

Siku 365 Za Rais Samia Zaweka Alama ya Mafanikio Sekta Masoko ya Mitaji

  Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameweka alama kubwa ya mafanikio katika maendeleo ya...

READ MORE

Chico Aongezewa Majukumu Yanga

LICHA ya Chico Ushindi kutoonesha kiwango kizuri hadi hivi sasa, lakini Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amempa kiungo...

READ MORE

Urusi Yatishia Kutumia Silaha Za Nyuklia

MSEMAJI  wa Ikulu ya Kremlin ya Urusi, Dmitry Peskov amesema Urusi itatumia silaha za nyuklia endapo uwepo wa taifa hilo...

READ MORE

Airtel, Axieva Washirikiana na Kampuni ya Bima ya Alliance Kuzindua Bima Kidigitali

    Dar es Salaam, Tanzania – Jumatano 23 Marchi, 2022: Wateja wa Airtel kwa sasa wanaweza kununua bima ya gari...

READ MORE

Makonda Azingirwa Takukuru, Polisi Wazua Balaa Lingine-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Kishindo Fainali NMB MastaBata, Mil. 90/- Kwa Washindi 30.

MIEZI mitatu ya Kampeni ya ‘NMB MastaBata – Kivyako Vyako,’ iliyoendeshwa na Benki ya NMB,imefikia tamati leo kwa wateja 30...

READ MORE

Biden Adai Urusi Inakusudia Kutumia Silaha za Kemikali

Jeshi la Ukraine limeonya hii leo juu ya mashambulizi zaidi ya makombora ya Urusi dhidi ya miundombinu muhimu wakati rais...

READ MORE

Mtoto Adaiwa Kulawiti Wenzake 19

Kesi nane za ukatili wa kingono kati ya 19 zinazohusu watoto waliodhalilishwa na mtoto mwenzao mwenye umri wa miaka 14...

READ MORE

Usafi Wa Mazingira Ni Jukumu La Kila Mwanajamii, Meridianbet Ni Balozi Wa Hiali

Katika kuendeleza utamaduni wa kuishirikisha jamii inayotuzunguka, Meridianbet kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE