×

Habari

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Akabidhi Zawadi za Krismasi

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango tarehe 24 desemba 2021 amekabidhi zawadi mbalimbali za...

READ MORE

Moderna Nyingine Dozi 376,320 Zatua Tanzania

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea Dozi 376,320 za Moderna ikiwa ni mwendelezo...

READ MORE

Makamu wa Rais Ashiriki Ibada ya Krismasi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe...

READ MORE

Airtel Yazindua ‘Tabasamu na Airtel TUNAKUJALI’ Maalum Kusaidia Jamii

    KAMPUNI ya simu za mkononi ya Aitel Tanzania kupitia mpango wake wa Airtel TUNAKUJALI imetangaza kuzindua mpango kampeni...

READ MORE

Vodacom Yamwaga Zawadi kwa Ajili ya Kampeni ya Show Love’ Tule Shangwe

Mkuu wa Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Birgita Shirima akizungumza kwenye hafla ya ugawaji zawadi hizo.   ...

READ MORE

Watoto Wadogo Marufuku Majumba ya Starehe

JESHI la Polisi Mkoa Arusha limewataka wakazi mkoa Arusha, kuchukuwa tahadhari za uhalifu na kutopeleka watoto wadogo kwenye majumba ya...

READ MORE

Rais Samia Atoa Zawadi za Krismasi kwa Majirani Zake

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi mbalimbali kwa wakazi wa kituo cha wasioona...

READ MORE

Mlemavu, Ombaomba Ajenga Nyumba Mbili za Zaidi ya Tsh Mil 100

Mary Stephano ni mlemavu wa miguu ambaye shughuli yake kubwa ni ombaomba, kazi anayoifanya katikati ya jiji la Mwanza. Mary...

READ MORE

Zanzibar Yarudisha Darasa la Saba

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imefanya mabadiliko katika ngazi ya elimu ya msingi kwa kurejesha darasa la...

READ MORE

Aliemuua Mama Yake Marekani Akamatwa Bongo

  MWANADADA WYLUVA Ngongoseke, Mtanzania ambaye mama yake mzazi Catherine Ngongoseke (60) amekutwa akiwa ameuwawa kwa kuchomwa visu nyumbani kwake...

READ MORE

Wanyang’anyi Watiwa Nguvuni Mabwepande

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu 61 wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu ambapo saba kati...

READ MORE

Jela Miaka 30 kwa Kumbaka Binti wa Miaka 12

MAHAKAMA ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro imemuhukumu kwenda jela miaka 30, Elitumain John Elitumain miaka 31 mkazi wa kitongoji...

READ MORE

Jaffo Atoa Siku 45 Mpwapwa

UONGOZI wilaya ya Mpwapwa imepewa siku 45 kukamilisha usimikaji wa mabomba na matanki ya kuhifadhi maji safi na salama kwenye...

READ MORE

Mukandara, Zitto Kuunda Kikosi Kazi

MSAJILI wa vyama vya siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi ameteua kikosi kazi cha watu 23 kinachojumuisha makundi mbalimbali cha kupitia...

READ MORE

Watu Watatu Wafariki kwa Ajali Geita

WATU watatu waliokuwa wakisafiri kutoka Kata ya Nzera kuelekea Geita Mjini wakitumia gari la abiria (aina ya Toyota Hiace) wamefariki...

READ MORE

Wanaokiuka Agizo Wataadhibiwa

SERIKALI imesema itaendelea kuchukua hatua kali za kisheria kwa Mabasi yote ambayo yanapuuza agizo la Serikali na kuendelea kupandisha nauli...

READ MORE

Kisa Corona, Mataifa 6 Ikiwemo Tanzania Yapigwa ‘Stop’ Dubai

UMOJA wa Falme za Kiarabu (UAE), zimesitisha safari za ndege kwa abiria wanaotoka nchi za Tanzania, Kenya, Ethiopia na Nigeria,...

READ MORE

Dnata Kuajiri Wafanyakazi 400 Kupanua Huduma Zanzibar

Zanzibar, Disemba 22, 2021 – Dnata, kampuni inayotoa huduma za usafiri wa anga na usafirishaji, inatarajia kuajiri zaidi ya wafanyakazi...

READ MORE

Aweso: Jamii Ishirikishwe Kutunza na Kulinda Vyanzo vya Maji

WAZIRI wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (MB) amefanya ufunguzi wa jukwaa la wadau wa sekta mtambuka ambalo limewahusisha wadau wakubwa...

READ MORE

Mbarawa Atinga Bandari ya Dar Usiku

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amezitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

Wanafunzi 3,404 Kuanza Kidato cha Kwanza Kwa Awamu Moja Mkalama

WANAFUNZI 3,404 waliofaulu darasa la saba katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama wanategemea kuanza kidato cha kwanza kwa awamu moja...

READ MORE

Biteko Awasimamisha Kazi Vigogo 7 wa Madini

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amemuagiza Kaimu Mtendaji wa Tume ya Madini Mhandisi Yahya Samamba, kuwasimamisha kazi Maafisa saba...

READ MORE

Askari Aliyeshushwa Cheo Apewa Onyo

Meshack Samson anayefanya kazi Arusha alipandishwa Cheo kutoka Sajenti (Sgt) hadi Stesheni Sajenti (Ssgt) mwaka 2019 baada ya kukataa rushwa...

READ MORE

🔴#LIVE: Mbarawa Azuru Bandarini Usiku, Aziweka Mtegoni, Trafiki Wakana Kumiliki ‘Breakidauni’: Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi, Front Page. Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Apewa Tsh 40,000 Kutekeleza Mauaji

Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia mkazi mmoja wilayani Ludewa majina yanahifadhiwa kwa sababu ya uchunguzi, akituhumiwa kuhusika na mauaji...

READ MORE

Rais Samia Amwondoa Dkt. Mkangara, Amteua Prof. Chande

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wafuatao; 1.Amemteua Prof. Othman Chande Othman kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi...

READ MORE

Mwanafunzi Ajeruhiwa Vibaya na Fisi

Wambua David, mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Yindundu iliyopo Mtito Andei Kaunti ya Makueni nchini Kenya...

READ MORE

Muliro: Cobra na Wenzake Tumewakamata

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema jeshi la polisi limeendesha oparesheni maalum ya kuwasaka...

READ MORE

RC Makalla Na Wafanyabiashara Soko Dogo La Kariakoo Wakubali Kupisha Ujenzi

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko dogo la Kariakoo wamekubaliana kupisha...

READ MORE

FT: SIMBA QUEENS vs RUVUMA QUEENS (15 – 0 ) – LIGI KUU YA WANAWAKE, UWANJA wa MO ARENA

Simba Queens hii leo imeanza vizuri Ligi Kuu ya Wanawake  kwa kutoa dizi nzito  ya magoli 15-0 dhidi ya Ruvuma...

READ MORE

Cardi B Amzawadia Offset Bilioni 4

Rapa machachari nchini Marekani, Cardi B amemzawadia mume wake, Offset zawadi ya dola milioni 2 za Kimarekani ambazo ni zaidi...

READ MORE

Kamanda ‘Nyakuanyakua’ Aja na Hii Mpya

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu maarufu Kama kamanda Nyakuanyakua amekuja na kauli mpya aliyeipa jina la “SAFISHA...

READ MORE

Tumbili Walipa Kisasi, Waua Mbwa 250

Hizi ni ripoti kutokea Maharashtra, nchini India, ambapo kundi la tumbili limelipiza kisasi kwa kuwaua mbwa wapatao 250, baada ya...

READ MORE

Aweso: DAWASA, Hili Lisijirudie Tena!

WAZIRI wa Maji Maji Jumaa Aweso, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa jitihada...

READ MORE

🔴#LIVE: Rekodi Za Jembe Jipya Yanga Zinatisha, Chama Mikononi Mwa Barbara Simba | Krosi Dongo

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

🔴#LIVE​​​​​​​​​​ : Wagonjwa Wa Corona Waongezeka Nchini, Mkakati Mpya Kudai Katiba Gumzo : Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi, Front Page. Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Mama Mzazi wa Mwakinyo Afariki Dunia

  #BreakingNews: Mama mzazi wa Bondia namba moja Tanzania na Afrika, Hassan Mwakinyo anayefahamika kwa jina la Fatuma Hassan Siri...

READ MORE

RC Mtaka: Msiwarundike Walimu Shule Moja

MKUU wa Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania, Antony Mtaka, ameuagiza uongozi wa ofisi ya mkurugenzi wa jiji na afisa elimu...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Kumbaka Mama Yake Mzazi

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia kijana mmoja mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa kijiji cha Kinyasi kati...

READ MORE

Orodha ya Majina Walioitwa Mafunzo ya Jeshi la Zimamoto

Soma Majina ya Waliochaguliwa kuripoti Chuo cha Jeshi la Zimamoto kulichopo Chongo Wilayani Handeni, Tarehe 09/01/2022 bila kukosa.

READ MORE