×

Habari

Wananchi Waandamana Bungeni Kupinga Msaada wa Ujerumani

WAANDAMANAJI takribani 300 wamevamia bunge la Namibia wakati lilipokuwa likijianda kupitisha msaada wa Ujerumani kiasi cha dola za Kimarekani billioni...

READ MORE

Chanzo cha Shule ya Sekondari Gichameda Kuteketea kwa Moto

KUFUATIA tukio la moto kuteketeza ofisi ya walimu katika shule secondari ya Gichameda iliyopo wilaya ya Babati mkoani Manyara, Jeshi...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Kuchoma Matiti ya Binti Yake

JESHI la Polisi jijini Lagos nchini Nigeria wamemkamata mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Banjo kwa madai ya kuyaondoa matiti...

READ MORE

Jeneza Latelekezwa Likiwa na Mkungu Wa Ndizi – Video

Tukio lisilo la kawaida, limezua kizaazaa mkoani Arusha baada ya wakazi wa Mtaa wa Bondeni, Kata ya Endaseni wilayani Arumeru,...

READ MORE

Waziri Gwajima Akabidhi Magari Mikoa Sita

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, amekabidhi magari kwa ajili ya ufuatiliaji wa...

READ MORE

Kamati ya Siri Kujadili Ombi la Taliban Kuhutubia UN

UMOJA wa Mataifa (UN) umeunda Kamati maalumu ya siri yenye wajumbe tisa kujadili mkanganyiko uliojitokeza kuhusu viongozi wa Serikali Afghanistan...

READ MORE

Taliban Waomba Kuhutubia Mkutano wa UN

Taliban wameomba kuhutubia viongozi wa dunia kwenye mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York wiki hii....

READ MORE

Polisi Aporwa Bastola Na Majambazi

Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamempora bastola yenye risasi kumi na tano afisa wa polisi, George Kingi Bamba, jirani na...

READ MORE

Sheikh Mkuu Dar: Mtaani Mtu Anajipa tu Uaskofu

SHEIKH wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Alhad Mussa Salum amebainisha mambo mawili ambayo dini za Kiislamu na...

READ MORE

Breaking: Tundu Lissu Afutiwa Kesi

Kesi ya jinai namba 208/2016 ya Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu, Jabir Idrissa na wenzao wawili imefutwa katika Mahakama ya...

READ MORE

Mchungaji Mchepukaji Awahonga Walevi Wasitoboe Siri Zake

KATIKA hali ya kushangaza, mchungaji wa kanisa moja kutoka eneo la Mitaboni, Machakos nchini Kenya amelazimika kuwahonga walevi kwa kuwanunulia...

READ MORE

Mtoto Asimulia Alivyoshuhudia Mauaji ya Mama Yake Kinyama – Video

MAPYA yameibuka kuhusu tukio la mauaji ya kikatili lililotokea katika Mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki, Kinyerezi jijini Dar es...

READ MORE

Benki ya Dunia Kushirikiana na Tanzania Kukuza Uchumi

RAIS wa Benki ya Dunia (World Bank) David Malpass amesema Benki hiyo itaendelea kushirikiana na serikali kukuza uchumi kupitia mabadiliko...

READ MORE

Aliyejifanya Ofisa wa TRA Yamkuta – Video

MTU mmoja anayefahamika kwa jina la Miringa James amejikuta mikononi mwa vyombo vya ulizni na usalama nchini baada ya kutaka...

READ MORE

Mtoto Anayedaiwa Kuuawa na Dada wa Kazi Aagwa

HATIMAYE mwili wa mtoto Talia Essau Moshi mwenye umri wa miaka minne ambaye anadaiwa kuuawa kutokana na kupigwa na msichana...

READ MORE

Songwe: Askari Polisi 7 Wafukuzwa Kazi

JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe limewafukuza kazi askari wake saba wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani...

READ MORE

Waandishi Global TV na Dar Mpya Apata Ajali Tabora – Video

MWANDISHI wa habari wa Global TV, ambaye kituo chake cha kazi ni jijini Dodoma, Mohamed Zengwa (pichani chini) na wenzake...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Walevi, Makahaba Kuchangia Damu

SERIKALI ya Uganda kupitia Bodi ya Kuchangia Damu (UBTS), imesema kuanzia sasa haitawaruhusu walevi, makahaba na watu wenye mpenzi zaidi...

READ MORE

Mapacha Wafariki Mama Yao Akiwa Bize Facebook

INASIKITISHA SANA! Matukio mengine ukimwambia mtu si rahihi kumuingia akilini, imagine mtu anapoteza watoto wake wapendwa tena mapacha eti kisa...

READ MORE

SGA Security Kuendelea Kudhamini Michezo Nchini

    SGA Security ambayo ni moja ya makampuni ya ulinzi yanayoongoza nchini imetangaza kuwa itaendelea kudhamnini michezo nchini.  ...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa UN Marekani – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 20 Septemba, 2021 ameshiriki Mkutano wa Umoja...

READ MORE

Wafahamu Dada Mapacha Wakongwe Zaidi Duniani

  Dada wawili raia wa Japani wamethibitishwa na kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness World Record kama mapacha wazee...

READ MORE

Huawei Yawapiga Msasa Watalaam Tehama

Kampuni ya Huawei Tanzania  kwa kushirikiana na Tume ya Tehama imetoa mafunzo kwa wataalamu 19 wa Tehama kutoka katika sekta...

READ MORE

Breaking: Jaribio la Kupindua Sudan Ladhibitiwa

Serikali ya Sudan imeripoti kuwa kumetokea jaribio la kuipindua serikali kijeshi lakini limedhibitiwa na sasa juhudi za kurejesha hali ya...

READ MORE

Wanahabari Wapewa Elimu Juu ya Mradi wa Bomba la Mafuta Kutoka Uganda – Tanzania

  SEHEMU ya wanahabari nchini wamepewa semina juu ya uelewa wa mradi wa bomba la Mafuta Ghafi la Uganda–Tanzania, linalojulikana...

READ MORE

Mrema Aongea kwa Uchungu Akimuaga Marehemu Mkewe – Video

MWILI wa mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mzee Augustine Mrema, mama Rose Mrema umeagawa nyumbani...

READ MORE

NMB Yashinda Tuzo nne za Kimataifa

  Katika kudhihirisha ubora na upekee wa huduma zake, Benki ya NMB imeshinda tuzo nne za kimataifa zote zikiitaja kuwa...

READ MORE

Dada wa Adaiwa Kuua Mtoto wa Bosi Wake kwa Kipigo – Video

Global Tv Online imefanya mahojiano kwa kina na wazazi wote wawili wa mtoto ambaye anadaiwa kupigwa hali iliyomfanya kupoteza maisha....

READ MORE

Kesi ya Mbowe: Afande Msemwa Amaliza Kutoa Ushahidi

LEO Jumatatu, Septemba 20, 2021 Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam...

READ MORE

Maswali ya Kibatala kwa Inspekta Mahita

WAKILI anayeongoza jopo la mawakili wa utetezi katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake,...

READ MORE

Mzungu Adakwa Akiuza Bunduki 3 kwa Elfu 40

MTU mmoja raia wa Canada, Michell Raggy (60) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kukutwa na...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wawili

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 20, amefanya uteuzi wa viongozi wawili. Rais Samia...

READ MORE

Mbwa Mwenye Masikio Makubwa Zaidi Duniani Avunja Rekodi

TUMEZOEA kuona binadamu wakiweka rekodi mbalimbali, lakini mara hii tunashuhudia mbwa anayejulikana kwa jina Lou akiweka Rekodi ya Dunia ya...

READ MORE

Afande Msemwa Aanza Kutoa Ushahidi Kesi ya Mbowe

SHAHIDI wa tatu katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi, inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu...

READ MORE

Mtoto Mwingine Mwenye Maajabu Atikisa, Anatibu kwa Maji na Duaa – Video

Wakati gumzo la mtoto Eunice Atieno mwenye umri wa miaka miwili na nusu, mkazi wa Kijiji cha Bukama, Rorya mkoani...

READ MORE

Waliomuua Hamza Wapewa Zawadi “Mapambano Yanaendelea” – Video

JESHI la Polisi nchini limewapa zawadi askari walipambana na kumuua mtu mmoja aliyefahaika kwa jina la Hamza Mohammed mkazi wa...

READ MORE

Mbowe Atinga Mahakamani na Kitabu Hiki – Video

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, leo Jumatatu, Septemba 20, 2021 wamefika katika chumba cha Mahakama Kuu, Divisheni ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Tiles Zing’olewe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amegiza marumaru zilizowekwa kwenye sakafu ya wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Karagwe ziondolewe...

READ MORE

Manny Pacquiao Kuwania Urais Ufilipino

BONDIA mashuhuri wa Ufilipino, Emmanuel Dapidran Pacquiao maarufu kama ‘Manny Pacquiao’ ametangaza leo kuwa atawania kiti cha urais kwenye uchaguzi...

READ MORE

Tanzia: Eddy Hans Poppe Afariki Dunia

Mdogo wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe...

READ MORE