×

Habari

Hamza Azikwa Kisutu Usiku Dar

  Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa...

READ MORE

Ulega Aagiza Watendaji Kusimamia Maelekezo Ya Viongozi

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi  Abdallah Ulega (Mb) amesema atahakikisha kila maelekezo anayoyatoa anayafuatilia kwa karibu ili kujiridhisha na...

READ MORE

Abiria Waaswa Kujikinga na UVIKO -19

Serikali imewataka abiria wanaosafiri mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya UVIKO -19 huku...

READ MORE

Ujue Undani wa Hamza, Aliyeua Askari kwa Risasi Askari-Video

JINA linalosomeka katika usajili wa simu yake ya mkononi alioufanya kwa alama za vidole, ni Hamza Hassan Mohammed na inaonesha...

READ MORE

ATCL Yarejesha Safari za Ndege India

SAFARI za ndege kutoka Tanzania kwenda Mumbai- India zimerejea kuanzia leo Jumapili Agosti 29, 2021 baada ya kusitishwa mwezi Mei...

READ MORE

Video: Rais Samia Ahudhuria Tamasha La Kizimkazi Festival Zanzibar

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Agosti 28 Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Kilele cha Tamasha la...

READ MORE

IGP Sirro: Wazazi Wengine Wasituzalie Watoto Kama Hamza – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro amesema kuwa ndugu wa Hamza Hassan Mohammed aliyeua askari wanne...

READ MORE

Waziri Achukua Pesa za Umma Kufanya Honeymoon, Yamkuta

Mamlaka ya kupambana na rushwa nchini Malawi, ACB imemkamata aliyewahi kuwa waziri wa maji na maendeleo ya umwagiliaji nchini humo,...

READ MORE

Aliyetaka Kujilipua Kwenye Mazishi Akamatwa

MSHAMBULIAJI anayeshukiwa kuwa wa kujitoa muhanga amekamatwa nchini Uganda kwa kupanga kujilipua katika mazishi ya kamanda wa jeshi anayefahamika kama...

READ MORE

Mkuu wa Shule Aonywa Kisa Amber Rutty

​​​​​​​UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeonesha kuchukizwa na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa cha...

READ MORE

Tanzania Yasikitishwa na Denmark Kufunga Ubalozi Wake

  Serikali ya Tanzania imeeleza kusikitishwa kwake na uamuzi wa Serikali ya Denmark kutangaza kuufunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati...

READ MORE

Polisi Anayeshirikiana na Tapeli wa Mitandao Yamkuta

MKUU wa polisi wa Nigeria amepokea ripoti ya uchunguzi kuhusu afisa wa juu aliyesimamishwa kazi Abba Kyari, ambaye anatafutwa kwa...

READ MORE

TEN/MET Yaipongeza Serikali Kusaidia Mtoto Wa Kike Kieleimu

  MTANDAO wa Elimu Tanzania, TEN/MET umeipongeza Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwa hatua ya kutenga  fedha za...

READ MORE

Benki ya NBC Yakabidhi Vifaa Tiba Kliniki Inayotembea

Zanzibar: Agosti 27, 2021: Benki ya Taifa ya Biashara NBC, hii leo imekabidhi msaada wa vifaa tiba ikiwemo UtraSound machine...

READ MORE

TECNO Yawafanyia Kufuru Wateja Wake, Yakabidhi Gari Mpyaaa Wengine Mafriji na Pikipiki

      Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO leo imewafanyia kufuru wateja wake waliojishindia kwenye promosheni ya Vimba...

READ MORE

Mchungaji Aliyemtaja Shahidi Yake ni ‘Mungu’ Atupwa Jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Bukoba mkoani Kagera imemhukumu Mchungaji Merchades Mugishagwe na mkewe Agripina Maganja kutumikia kifungo cha...

READ MORE

Nec Yatangaza Uchaguzi Mdogo Majimbo ya Konde na Ushetu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwepo kwa nafasi mbili za Ubunge katika majimbo ya Konde mkoa wa Kaskazini Pemba...

READ MORE

Sirro: Walizani Hamza ni Mtu wa Kawaida, Tumeapa Kufa kwa Risasi – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro amesema tukio la mauaji ya askari wanne lililotokea juzi jijini...

READ MORE

Ufaransa Yazungumzia Tukio la Mauaji Dar

Wizara ya Mambo ya nje nchini Ufaransa inasema, mpaka sasa hakuna kinachoashiria kuwa makabiliano ya risasi siku ya Jumatano kati...

READ MORE

Guardiola Kuondoka Man City

Pep Guardiola amesema kuwa ataondoka Manchester City mkataba wake utakapomalizika mnamo 2023 – na anatarajia kuifundisha timu ya taifa.  ...

READ MORE

Watu 8 Wafa kwa Kuangukiwa na Winchi

Watu wanane wakiwemo raia wawili wa China wameuawa mjini Nairobi Kenya kufuatia ajali ya korongo au winchi yaani mtambo wa...

READ MORE

Zanzibar: Rais Avunja Bodi Ya Shirika La Nyumba

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuvunja Bodi ya Shirika la Nyumba kuanzia leo Agosti 27, 2021 Vilevile,...

READ MORE

Walinzi Wengine Wawili Wauawa Dar – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamed Jumaa (37) mkazi...

READ MORE

Jerry Silaa Ajisalimisha, Atolewa Nje – Video

BAADA ya wito wa kukamatwa Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa uliotolewa jana, hatimaye leo Ijumaa, Agosti 27, 2021 Mbunge huyo...

READ MORE

Wanajeshi 13 wa Marekani Wauawa Afghanistan

SHAMBULIO kubwa limetokea jana Alhamisi, Agosti 25, 2021 katika Uwanja wa Ndege wa Kabul nchini Afghanistan na kusababisha vifo vya...

READ MORE

Rais Samia Ateua Mkurugenzi Mpya TANTRADE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya Uteuzi kwa kumteua Bibi Latifa Mohamed Khamisi kuwa...

READ MORE

Msibani: Mke wa Askari Aliyeuawa na Hamza Asimulia – Video

Huyu ni Mke wa mmoja wa Askari Polisi waliouwawa kwenye tukio la jana la kurushiana risasi lililotokea Dar es salaam...

READ MORE

Bunge Lataka Jerry Silaa Akamatwe

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job...

READ MORE

Nguli wa Madawa ya Kulevya Duniani Akamatwa Dubai

MAOFISA mjini Dubai wamethibitisha kumkamata mmoja wa walanguzi wakubwa kabisa wa dawa za kulevya wanaotafutwa ulimwenguni pamoja na mshirika wake...

READ MORE

Udahili Waanza Shule Zilizojengwa na GGML

Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya serikali katika...

READ MORE

Taarifa Kuhusu Tukio la Mauaji Dar

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili ilipokea majeruhi watano jana tarehe 25 Agosti, 2021, kuanzia majira ya saa saba mchana wakiwa na...

READ MORE

Video: Rais Samia Anapokea Hati Za Utambulisho Wa Mabalozi Wateule

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Agosti 26, 2021 anapokea Hati za Utambulisho kutoka...

READ MORE

Majirani Wafunguka: Hamza Alikuwa Mtu wa Kawaida – Video

KUFUATIA tukio la jana Agosti 25, 2021 la kijana mmoja anayetajwa kwa jina la Hamza mkazi wa Upanga jijini Dar...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada Wa Mil. 54 Zanzibar, Yadhamini Kikao Kazi cha Jeshi la Polisi Dar

Katika kuhakikisha shamra shamra za Siku ya Kizimkazi visiwani Zanzibar zinafana, Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya hospitali...

READ MORE

Ibrah Ataja Sababu Za Kumposti Mke Wa Rayvanny

MKALI wa mkwaju wa Jipinde kutoka Lebo ya Konde Gang, Ibrah amesema kuwa alimposti mzazi mwenza na mpenzi wa zamani...

READ MORE

Mwalimu Ajinyonga, Aacha Ujumbe Kuhusu Barakoa

MHITIMU wa Ualimu ngazi ya Astashahada ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Majengo, Kata ya Ichenjezya wilayani Mbozi Mkoa wa...

READ MORE

Tanzia: Maalim Seif Azzan Afariki Dunia

Maalim Seif Mohamed Azzan amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Kisiwani #Pemba. Alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Harakati za Mageuzi...

READ MORE

Manyara: Aua Mtoto wa Kaka na Kupika Maini Yake

Jeshi la Polisi linamshikilia Harold Hando, kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Kaka yake, Emmanuela Hando (13) kisha kumtoa viungo...

READ MORE

Aliyekuwa Mmiliki wa Mabasi ya Mtei Afariki Dunia

MFANYABIASHARA maarufu mkoani Manyara, James Mtei ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Jambo Express, ambaye pia awali alikuwa mmoja kati...

READ MORE