×

Habari

Mashtaka Aliyosomewa Mbowe Mahakamani ni Haya

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka...

READ MORE

Anayedaiwa Kuchoma Nyumba ya Mpenzi Wake Anaswa

Msichana aliyejulikana kwa jina la Tina mkazi wa eneo la Mbezi Beach, Jijini Dar es Salaam amekamatwa na polisi kwa...

READ MORE

Billion 2.3 Kukarabati wa Kiwanda cha Unga Arusha

BODI ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (Cereals and Other Produce Board of Tanzania – CPB), ina mpango wa kutumia Shilingi...

READ MORE

Fisi Asababisha Kifo cha Mtoto, Ajeruhi Watatu

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida fisi aliingia ndani ya nyumba na kumnyakua mtoto wa mwaka mmoja na kisha kukimbia naye...

READ MORE

Breaking News: Mbowe Afikishwa Mahakamani

  MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anadaiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar...

READ MORE

Serikali Yawatoa Hofu Mabalozi Mapambano ya Uviko 19

SERIKALI  imewaeleza Mabalozi njia mbalimbali inazozitumia kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ikiwa ni pamoja na kuridhia uingizwaji wa chanjo...

READ MORE

Breaking: Aliyetuhumiwa Kumteka Mo Dewji Aachiwa Huru

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru dereva taksi Mousa Twaleb aliyekuwa...

READ MORE

Rais Amfuta Kazi Waziri Mkuu, Asimamisha Bunge kwa Siku 30

Rais wa Tunisia, Kais Saied amemfuta kazi waziri mkuu wake, Hichem Mechichi na kusitisha shughuli zote za bunge kwa muda...

READ MORE

Anna Mghwira Aagwa Arusha

Shughuli za kumuaga aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira zinaendelea nyumbani kwake Manyata Jijini Arusha huku tahadhari...

READ MORE

RC Makalla: Kuvaa Barakoa Lazima, Marufuku Kujaza Abiria

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Corona ambapo...

READ MORE

Shigongo Kukamilisha Zahanati Iliyomaliza Miaka 12 Bila Kukamilika

SHIGONGO KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI ILIYODUMU KWA MIAKA 12 BILA KUKAMILIKA. Mbunge wa jimbo la Buchosa Eric Shigongo amepokelewa kwa...

READ MORE

Zaidi ya Abiria 50 Watekwa Nyara na Majambazi

Zaidi ya abiria 50 wametekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha nzito za kivita katika Jimbo la Sokoto nchini Nigeria. Mamlaka...

READ MORE

Arusha: Polisi Auawa kwa Kukatwa Panga Akikamata Mhalifu

  ASKARI polisi katika kituo kidogo cha polisi Mbughuni mkoani Arusha, PC Damas ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati...

READ MORE

Mikoa 10 Kipaumbele Chanjo Corona

SERIKALI imepokea msaada wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na kueleza kuwa baada ya kujiridhisha kuwa ni salama utolewaji wake...

READ MORE

Serikali: Saluni Ziwapime Wateja Joto la Mwili

WAMILIKI wa Saluni na vinyozi wanatakiwa kuwa na vifaa vya unawaji mikono nje ya saluni ambapo kila atakayeingia katika eneo...

READ MORE

DC Nyamagana: Wanawake Changamkieni Fursa Zinazoletwa na NMB

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza, Bi. Amina Makilagi amewaasa wanawake wilayani humo kuchangamkia fursa zinazoletwa kwao na benki...

READ MORE

RC Mtaka Alivyoupokea Mwenge wa Uhuru Ukitokea Singida

  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe, Anthony Mtaka amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Mkuu wa Mkoa Singida Mhe. Bilinith...

READ MORE

Zaidi ya Bil 120 Kukopeshwa Wachimbaji Madini wadogo

Benki ya NMB imepanga kutumia zaidi ya Sh.120 bilioni kutoa mikopo ya mitaji, vifaa na mitambo kwa wachimbaji wadogo wa...

READ MORE

TLS Yaingilia Kati Sakata la Mbowe

  Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimeingilia kati sakata la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kikitaka aachiliwe au...

READ MORE

Mwanamuziki Waziri Ally Azikwa Pongwe, Tanga – Picha

Mwanamuziki Waziri Ally Seif aliyefariki juzi usiku, amezikwa Pongwe, Tanga leo Julai 25, 2021 huku mamia ya watu wakishiriki mazishi...

READ MORE

Waziri Ndungulile, Makamba Washiriki Maadhimisho ya Huduma ya Malezi

    WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndungulile na Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba na viongozi wengine...

READ MORE

Tanzia: Said Hamad El Maamry Afariki Dunia

  MWENYEKITI wa Zamani wa Chama cha soka nchini (FAT) sasa TFF Said Hamad El Maamry amefariki dunia El Maamry...

READ MORE

Mapito Ya Lulu Yamebeba Funzo Kubwa

Siyo stori kwamba supastaa kiwango kabisa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael au Lulu amejaaliwa mtoto wa kiume wikiendi iliyopita.  ...

READ MORE

Video: Mo Dewji Asimulia Alivyotekwa – “Waliniwekea Bastola, Nilihisi Nakufa”…

Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ Julai 24, 2021 amekutana na waandishi wa habari kuzungumza kuhusu maendeleo ya Foundation yake, sasa...

READ MORE

RC Mtaka Aiomba Benki ya Exim Kuwawezesha Wakandarasi wa Ndani na Vijana

    MKUU wa Mkoa wa Dodoma Bw. Anthony Mtaka ametoa wito kwa Benki ya Exim Tanzania kuangalia namna ya...

READ MORE

Bongo Dsm: Kijazi Interchange Inavyowaka Usiku, Full Kuteleza -Video

 WAKAZI wa Muda mrefu katika jiji la Dar es salaam wanelewa vizuri kero au adha iliyokuwepo katika makutano ya...

READ MORE

Kampuni za Simu Zaipongeza Serikali Kufikiria Upya Uamuzi Tozo za Miamala

WATOA huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu...

READ MORE

Wema: Msiniige Mtaumia, Jifunze Mazuri

STAA mkubwa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu anasema kuwa, watu wajifunze mazuri kutoka kwake, lakini wasiwe wanapenda kumuiga kila...

READ MORE

Bil 48.6 Kutumika Kukamilisha Ujenzi wa Vyuo 29 Vya VETA

  Serikali imetenga jumla ya Shilingi bilioni 48.6 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya Elimu na Mafunzo...

READ MORE

Breaking News: Tanzania Yapokea Chanjo ya Covid-19 Kutoka Marekani

Serikali ya Tanzania, imepokea zaidi ya dozi milioni moja za chanjo ya Covid-19 kutoka nchini Marekani, kupitia Mpango wa Usambazaji...

READ MORE

Yanga Yapeleka Ofa Kwa Mrithi wa Niyonzima

HATIMAYE Kamati ya Usajili ya Yanga, inayoongozwa na Makamu Mwenyeikiti wake, Eng. Hersi Said, imedaiwa kufanikiwa kupenyeza ofa yao ya...

READ MORE

Wajane Wadai Kuporwa Eneo Lao Wamlilia Mama Samia Aingilie Kati

    Wajane wa Marehemu Amiri Mrisho Bi. Anseline Mrisho na Amina Mrisho wameangua kilio hadharani na wakimuomba Rais wa...

READ MORE

Mpango Awasili Mtwara Kwa Ajili Ya Ziara ya Kikazi ya Siku Tano

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango,  Julai 23, 2021 amewasili mkoani Mtwara kwaajili...

READ MORE

Tanzia: Mwanamuziki Waziri Ally Afariki, Familia Yaeleza Chanzo

Mwanamuziki wa siku nyingi wa Muziki nchini, Waziri Ally Kissinger wa The Kilimanjaro Band (Wana Njenje) amefariki dunia usiku wa...

READ MORE

Hoteli Yaungua Kariakoo, Wawili Wakimbizwa Muhimbili

    Hoteli maarufu ya Kibo Palace iliyopo Kariakoo Jijini Dar, leo majira ya kuanzia saa tano asubuhi ilianza kuungua...

READ MORE

Wagonjwa 29 Wafa kwa Covid-19 Tanzania

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29...

READ MORE

Ndugai: Tozo ni Halali, Unayepinga Tupe Njia Mbadala ya Kupata Fedha

KUFUATIA mijadala mingi kuhusiana na tozo ya miamala ya simu hususani kwenye mitandao ya kijamii, Spika wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Maajabu! Familia ya Watu 9, Waliozaliwa Tarehe na Mwezi Mmoja

MWALIMU mmoja nchini Pakistankwa jina Amir Ali, amevunja rekodi ya dunia kwa kuwa na familia yeney watu wengi waliozaliwa katika...

READ MORE

Tanzia: Mbowe Apata Pigo, Baba Yake Mdogo Afariki Dunia

MZEE Manase Alphayo Mbowe, baba mdogo wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amefariki dunia asubuhi ya leo Ijumaa Julai 23,...

READ MORE