×

Habari

Gari La Mondi Msamiati Uleule

MTI wenye matunda ndiyo hupigwa mawe; ni msamiati ambao umekuwa ukijirudia kwenye maisha ya msanii Diamond au Mondi. Awali Mondi...

READ MORE

Tundu Lissu Arejea

ALIYEKUWA Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu amewasili nchini Kenya akitokea Ubelgiji anapoishi kwa sasa, ambapo anatarajiwa kuzindua...

READ MORE

Wasafirishaji Wamuanguakia Rais Samia Sheria ya Ubebaji Mizigo ya Zambia

WADAU wa usafirishaji katika bandari ya Dar es Salaam ukiwemo Uwakilishi wa Vyama vya usafirishaji na Chama cha Wakala wa...

READ MORE

DPP Awafutia Shtaka la Utakatishaji Fedha Wakurugenzi wa Bevco

Mkurugenzi wa mashtaka nchini (DPP) amewafutia shtaka la utakatishaji fedha  wakurugenzi wa kampuni ya kuagiza vinywaji vikali nchini, Bevco Limited...

READ MORE

RC Makalla: Wakazi Dar Chukueni Tahadhari ya Covid-19

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka wakazi wa mkoa huo kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa...

READ MORE

Helikopta ya Jeshi Kenya Yapata Ajali

WANAJESHI kadhaa wa Jeshi la Ulinzi Kenya (KDF) wanahofiwa kupoteza maisha baada ya helikopta ya kijeshi kupata ajali katika Milima...

READ MORE

Madai ya Aliyejifungua Watoto Kumi Sio ya Kweli

MAMLAKA ya mkoa wa Gauteng inasema kwamba wamefanya uchunguzi wa kina kubaini kwamba hakuna hospitali ya umma au ya kibinafsi...

READ MORE

Chikwende Anahitaji Muda Simba

KOCHA wa viungo wa Simba, Adel Zrane, amemkingia kifua kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mzimbabwe, Perfect Chikwende kwa kuweka wazi...

READ MORE

RC Makalla; Nmb ni Mkombozi wa Maisha ya Wafanyakazi Wastaafu

  WATUMISHI wa umma nchini, hususani walimu, wamekumbushwa umuhimu wa kukopa kwa malengo, sambamba na kuepuka mikopo kandamizi, huku wakielezwa...

READ MORE

Amuua Mkewe kwa Kumtupia Nyoka Cobra

MWANAMKE mmoja ambaye alilipa mahari kubwa ili aolewe, lakini matokeo yake akaambulia kifo kwa mwanaume aliyemuoa Kuna jamaa kwa jina...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Nchini Msumbiji – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 23, 2021 amendoka nchini Msumbiji mara baada ya...

READ MORE

Wafanyakazi Watatu wa Letshego Wapandishwa Kisutu

Wafanyakazi watatu wa Taasisi ya fedha ya Letshego maarufu kama Faidika Limited, wamefikishwa katika Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na...

READ MORE

Donge Nono Kutolewa kwa Akatayetoa Taarifa za Wahalifu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu...

READ MORE

Raia 14 Wa Kigeni Wahukumiwa Jela Kwa Kuishi Nchini Bila kufuata Sheria

Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imewahukumu raia kumi na wanne kutoka nchini Malawi kulipa faini ya shilingi milioni moja kwa...

READ MORE

Rais Samia Ahudhuria Mkutano Wa SADC Msumbiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali...

READ MORE

Cuba Yazindua Chanjo ya Corona

CUBA imesema kuwa dozi tatu za chanjo yake dhidi ya virusi vya corona kwa jina Abdala imethibitishwa kuwa na ufanisi...

READ MORE

Dickson Ambundo Anahesabu Siku Tu Yanga

ALLY Mohamed ambaye ni meneja wa winga wa Dodoma Jiji FC, Dickson Ambundo, amefunguka kuwa mteja wake huyo atakuwa mchezaji...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wakuu wa Wilaya Wawili

RAIS Samia Suluhu, leo Juni 22, 2021 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wawili kama ifuatavyo ⚫️ Kwa UPDATES zote,...

READ MORE

Simba Yanusa Ubigwa Ikiichapa Mbeya City 4-1

ZIMEBAKI alama tatu ndivyo walivyotoka uwanjani mashabiki wa Simba jana Juni 22. kwenye uwanja wa Mkapa baada ya kuipiga Mbeya...

READ MORE

Serikali Yaipongeza NMB Uzinduzi wa NMB Healthcare Club

  Benki ya NMB, imekuwa ya kwanza nchini kuzindua Klabu za Afya NMB Healthcare Club, mtandao unaowapa wadau wa Sekta...

READ MORE

RC Makalla Atembelea Soko la Machinga Complex, Atoa Agizo

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewaelekeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mkurugenzi wa Jiji...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Msumbiji Kuhudhuria Mkutano wa SADC Kesho

Rais Samia akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, katika Uwanja wa Ndege...

READ MORE

Breaking: Kihongosi Ateuliwa Katibu Mkuu Wa UVCCM

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, imemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida, Kenani Kihongosi...

READ MORE

Mwigulu Aivaa TFF, Simba Kutolewa Ligi ya Mabingwa

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba amesema Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF halina mipangilio inayoeleweka kimichezo...

READ MORE

DPP Awafutia Mashtaka Waliodaiwa Kuwatumikisha Walemavu Kuwa Ombaomba

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) amewafutia mashtaka na kuwaachia huru washtakiwa 14 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka 41 yakiwemo ya...

READ MORE

Breaking: Bunge Lapitisha Bajeti ya Serikali Kwa Kishindo -Video

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 22, 2021 limeikubali na kuipitisha bajeti ya mapato na matumizi ya...

READ MORE

Mwigulu: Kodi Ya Majengo Kwa Kutumia Luku Sio Ya Mpangaji Ni Ya Mmiliki

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 22, 2021 amesema mfumo wa ulipaji Kodi ya Majengo kwa...

READ MORE

Mahakama Yatengua Uamuzi wa Fatma Karume Kufutiwa Uwakili

MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam imetengua uamuzi wa kamati ya maadili ya mawakili wa kumfutia moja...

READ MORE

Maajabu: Gari Latumbukia Kwenye Nyumba Ya Mtu -Video

 KATIKA hali ya kushangaza, Gari moja la kusambaza mafuta limepata ajali na kutumbukia kwenye nyumba ya mama mmoja huko...

READ MORE

Bocco Azuia Usajili wa Beki Mpya Simba

UNAAMBIWA nahodha wa Simba, John Bocco, amepambana kadiri ya uwezo wake kuhakikisha anambakiza kikosini hapo beki wa kushoto wa timu...

READ MORE

Serikali Yakusanya TZS Trilioni 5.9 Kupitia Mifumo ya Kidijitali ya NMB

Ubora wa Benki ya NMB kiutendaji miaka ya hivikaribuni na mafanikio yake makubwa kifedha mwakajana ni miongoni mwa matokea ya...

READ MORE

Saba Wafariki Kwa Ajali Morogoro (Picha +Video)

WATU saba wamefariki katika ajali iliyohusisha magari matatu iliyotokea eneo na Nanenane mkoani Morogoro usiku wa kuamkia leo Jumanne Juni...

READ MORE

Mkazi wa Morogoro Ajishindia Toyota Fortuner Kutoka Nmb

Abdallah Mohamed Abdallah, mfanyabiashara na mkazi wa Morogoro vijijini ameshida zawadi ya gari mpya aina ya Toyota Fortuner yenye thamani...

READ MORE

RC Makalla Awaapisha Fatma Nyangasa na Kheri James-Picha

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam  Amos Makallaleo June 21 amewaapisha Wakuu wapya wa Wilaya za Kigamboni na Ubungo...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Juni 21, 2021 amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Jamhuri ya Watu...

READ MORE

Mtoto wa Miaka 8 Apewa Mimba

KATIKA  hali isiyo ya kawaida na kushangaza kiasi cha kusababisha sintofahamu ya kitabibu, mwanafunzi mwenye umri wa miaka minane anayesoma...

READ MORE

Timu 4 Kuwakilisha Tanzania Michuano ya CAF

RASMI sasa, Tanzania itapeleka timu nne kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika (CAF) na kombe la shirikisho kwa msimu wa...

READ MORE

Nikki wa Pili Aapishwa Kuwa Mkuu wa Wilaya Kisarawe-Picha

Nickson Simon maarufu Nikk wa Pili   ameapa mbele ya Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge kuwa mkuu wa wilaya...

READ MORE

Mbunge Apongezwa kwa Kutopiga Sakarasi Bungeni

  NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi  Godfrey Kasekenya, amempongeza Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei Massay, kwa kutopiga sarakasi Bungeni,...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wawili

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu,Juni 21 2021 awaapisha viongozi wawili, hafla hiyo imefanyika...

READ MORE