×

Habari

Hatimaye Mwili wa Hayati Magufuli Wawasili Kwao Chato – Video

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli umewasili nyumbani kwake Chato...

READ MORE

Kifo cha Magufuli na Zawadi Aliyowaachia Watanzania

  IJUMAA Machi 26, 2021 wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watampumzisha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Dkt John...

READ MORE

Bilionea Gertler, Swahiba wa Kabila Aliyewekewa Vikwazo na Marekani

Utawala wa Biden hivi karibuni umemuwekea tena vikwazo mfanyabiashara wa Israeli Dan Gertler juu ya madai ya ufisadi mkubwa kwenye...

READ MORE

Slaa: Kipaumbele cha JPM Kilikuwa Kuwainua Watanzania

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa leo Machi 24, amesema kipaumbele cha Hayati Rais John Magufuli kilikuwa kuwainua...

READ MORE

Mwanza Yazizima Kuagwa Mwili wa Hayati Magufuli – Video

WAKAZI wa Jiji la Mwanza na mikoa jirani,wamejitokeza kuuaga mwili wa Hayati Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba na katika...

READ MORE

Babu Seya Alivyopigwa Butwaa Kifo cha Magufuli

NGULI wa muziki wa Dansi Tanzania, Nguza Viking ‘Babu Seya’ amesema alipigwa na butwaa baada ya kusikia kwamba aliyekuwa Rais...

READ MORE

Tumesikitishwa na Tuhuma za Mkuu wa Mkoa Geita

KAMPUNI ya Global Publishers imesikitishwa na taarifa iliyotolewa jana Jumatatu Machi 23, 2021 na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi...

READ MORE

Vilio, Simanzi Vyatawala Mapokezi ya Mwili wa Hayati Magufuli Mwanza

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 24,2021 amewaongoza viongozi mbalimbali wa serikali katika mapokezi ya mwili wa Hayati Rais John...

READ MORE

Majaliwa: JPM Ameacha Alama kwa Watanzania

WAZIRI Mkuu  Kassim Majaliwa , amesema Hayati Dkt. John Magufuli ameacha alama kubwa kwa watanzania, ameyasema hayo leo Machi 24,...

READ MORE

Makonda Amuaga Hayati Magufuli – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameungana na wakazi wa jiji la Mwanza na mikoa ya...

READ MORE

Majaliwa Aongoza Maelfu Kuaga Mwili wa Magufuli Mwanza

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumatano Machi 24, 2021 anawaongoza wakazi wa Mwanza na mikoa jirani kumuaga aliyekuwa Rais...

READ MORE

Mwanza Yazizima Wakiupokea Mwili wa JPM-Picha

MAELFU ya wakazi wa jiji la Mwanza, wamejitokeza kwa wingi kupokea mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli leo Machi 24,...

READ MORE

Mwanza: Makonda Afika CCM Kirumba Kumuaga Magufuli – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameungana na wakazi wa jiji la Mwanza na mikoa ya...

READ MORE

Raila Odinga, Swahiba wa Magufuli Tangu Kitambo

Kiongozi wa chama cha ODM nchini Kenya Raila Odinga ameandika ujumbe mrefu wa salamu za rambirambi akimbukumba rafiki yake Hayati...

READ MORE

Msafara Uliobeba Mwili wa JPM Kuelekea CCM Kirumba – Video

Maelfu ya wakazi wa Mwanza na maeneo jirani wamejitokeza kuupokea mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa...

READ MORE

Yericko Nyerere Akwepa Jela Miaka Mitatu

Mfanyabiashara na mwanaharakati maarufu wa masuala ya kisiasa, Yericko Nyerere amelipa faini ya Sh5 milioni na kukwepa kifungo cha miaka...

READ MORE

Rais Xi Jinping wa China Amlilia Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping amlilia aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati...

READ MORE

Maisha Aliyopitia Mama Samia Kabla ya Kuwa Rais wa Tanzania

Samia Suluhu Hassan ameandika historia ya kuwa Rais wa sita wa Tanzania akiwa ni mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi...

READ MORE

Kumuaga JPM! RC Asema Watoto na Wazee Wabaki Nyumbani

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella ametoa rai kwa Watoto na Wazee kufuatilia shughuli za kumuaga aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Wanafunzi Wajifungua Saa Chache Kabla ya Kuanza Mitihani

Wanafunzi watano katika kaunti za #Nakuru, Samburu na Nyandarua wamelazimika kufanyia mitihani yao ya Darasa la Nane (KCPE), Hospitalini baada...

READ MORE

Askofu Bendera Asimulia Ndoto Aliyoota Kabla ya Kifo cha Magufuli – Video

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufunuo, Mchungaji Paul Bendera alipata ndoto ya kiroho kabla ya Rais wa sasa wa Jamhuri...

READ MORE

Watu Bilioni 3.9 Duniani Wafuatilia Shughuli ya Kumuaga Magufuli

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema zaidi ya watu bilioni 3.9 duniani kote walifuatilia matangazo ya moja kwa moja...

READ MORE

Breaking: Yericko Nyerere Ahukumiwa Jela Miaka 3

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu mfanyabiashara, Yericko Nyerere kulipa faini ya Sh5 milioni au kwenda jela miaka mitatu baada...

READ MORE

Rais Mwinyi Aanika Mazito ya Magufuli – Video

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein amesema kuwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa mstari wa mbele kuimarisha maisha ya Watanzania...

READ MORE

Majaliwa: Mwili wa Magufuli Utalala Ikulu Zanzibar – Video

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kwa kuwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa Rais...

READ MORE

Wananchi Buchosa Wafanya Ibada Kumuombea Magufuli

WAKATI taifa likiwa katika kipindi Cha maombolezo ya Hayati Dkt. John Magufuli, wananchi wa Jimbo la Buchosa wamekusanyika na kufanya...

READ MORE

Mwili wa Hayati Magufuli Wawasili Zanzibar Kuagwa – Video

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli umewasili visiwani Zanzibar kwa...

READ MORE

Zanzibar: Maelfu Wajitokeza, Kuagwa Kwa Hayati Rais Magufuli -Video

 Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli umewasili katika visiwa vya Zanzibar ambapo hii leo mwili huo...

READ MORE

Waziri Mkuu Awasili Zanzibar Kuagwa Mwili wa Magufuli – Video

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, tayari amewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya kushiriki kwenye zoezi la kuuaga mwili wa...

READ MORE

Rais Assoumani: Kifo cha Magufuli ni Pigo Kubwa kwa Comoro

Rais Azali Assoumani wa Comoro amesema kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli ni pigo kubwa kwa nchi...

READ MORE

Waziri wa Afya wa Ujerumani Kuchunguzwa Kashfa ya Barakoa

Waziri wa afya wa ujerumani Jens Spahn anaingia kwenye msururu wa wanasiasa wanaotajwa kuhusika na sakata la kunufaika na manunuzi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Viongozi Kumuaga Rais Magufuli – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa...

READ MORE

Kauli ya Mwisho ya Magufuli kwa Rais Samia- Video

  “Samia usiwe na wasiwasi kuhusu afya yangu, nenda kaangalie miradi tuliyoahidi kuwahudumia wananchi peleka salamu zangu waambie ninawapenda,” amesema...

READ MORE

Mangula: Rais Samia Atakamilisha Kazi Zote Alizoanzisha JPM – Video

Makamu mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula amesema aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alitembea pamoja nchi nzima...

READ MORE

Kundi la Watu Lazua Taharuki Kariakoo – Video

Kikundi cha watu kimezua taharuki katika soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusababisha maduka mengi kufungwa huku wafanyabiashara...

READ MORE

Simanzi! Mama, Watoto 4 Wadaiwa Kufariki Wakiaga Mwili wa JPM

SIMANZI, huzuni na majonzi vimetawala nyumbani kwa familia ya Daudi Mtuwa iliyopoteza watu watano wanaodaiwa kufikwa na umauti katika shughuli...

READ MORE

Rais Mnangagwa: Msaada wa Magufuli Hautasahaulika Zimbabwe

Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema leo ni siku kubwa sana kwa Taifa la Tanzania, lakini pia ni siku kubwa...

READ MORE

Rais Samia: Nilipata Ugumu Kutangaza Kifo cha Magufuli – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema alipata wakati mgumu sana kutangaza kifo cha mtangulizi wake John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021...

READ MORE

Rais Tshisekedi: Magufuli Mtetezi wa Kiuchumi Afrika

Rais wa DRC Felix Tshisekedi na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amesema DRC na Umoja wa Afrika kwa pamoja wamesikitishwa...

READ MORE