×

Habari

Mzee Miaka 60 Kortini Akituhumiwa Kubaka

MZEE mwenye umri wa miaka 60 mkazi wa shehia ya Finya Wilaya ya Wete amefikishwa katika mahakama ya Mkoa wa...

READ MORE

TANZIA: Mwakilishi Mteule ACT-Wazalendo Afariki Dunia

MWAKILISHI Mteule wa Pandani kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Abubakar Khamis Bakar (69) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano tarehe...

READ MORE

Biden Kumpendekeza Obama Balozi Uingereza

VYOMBO vya habari vya Uingereza vimesema, kama Joe Biden akiapishwa kuwa rais, huenda atampendekeza rais wa zamani wa Marekani, Barack...

READ MORE

Magufuli Kuhutubia Bunge Ijumaa

  RAISDk John Magufuli anatarajiwa kulihutubia Bunge la 12 Ijumaa Novemba 13, 2020,  saa 3:00 asubuhi, Dodoma,  kuashiria kuanza rasmi...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni Kunajisi Mwanafunzi wa Miaka 10

KAMANDA wa Polisi mkoani Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, amesema wamemkamata mwalimu Eneza Eneza (27) wa Shule ya Montfort iliyopo Kola B,...

READ MORE

Spika Awaonya Wabunge CHADEMA – Video

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai,  amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge hilo, wabunge 19 wa...

READ MORE

Tecno Camon 16s Kuingia Sokoni Hivi Karibuni

Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuzindua simu mpya ya TECNO CAMON 16s, ni simu ambayo inakuja na...

READ MORE

Fahamu Kilivyotokea Kifo cha Diwani, Wajukuu Zake Waliochomelewa Ndani – Video

MWILI wa aliyekuwa Diwani mteule Kata ya Kikongo Kibaha Vijijini (CCM), Fatuma Ngozi na wajukuu zake wawili waliokufa baada ya...

READ MORE

Magufuli Amtumia Ujumbe Biden

RAIS John Magufuli amempongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden, na makamu wake Kamala Harris kwa kushinda katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Tanzia: MC Zipompapompa Afariki Dunia, Ndugu Aanika Mazito – Video

MUIGIZAJI maarufu wa Bongo Movies, MC Zipompapompa amefariki dunia jana Jumanne, Novemba 10, 2020 nyumbani kwake baada ya kuugua kwa...

READ MORE

Watakaopandisha Bei ya Saruji Kunyang’anywa Leseni

SERIKALI imesema itawachukulia hatua kali za kisheria, ikiwemo kuwanyang’anya leseni wale wote watakaobainika kuuza saruji kwa bei ya juu. Kauli...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 11, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 11, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Harmo, Sarah Waagana Rasmi

NI rasmi sasa kwamba, zile tetesi kuwa ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ na mkewe Sarah Michelotti...

READ MORE

Lissu Aondoka nchini, Atoa Kauli Hii – Video

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameondoka nchini...

READ MORE

Wabunge Waendelea Kuapishwa na Spika Ndugai Dodoma – Video

BUNGE la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoanza rasmi leo Jumanne, Novemba 10, 2020, linaendelea jioni hii ambapo...

READ MORE

Mwl. Kashasha: Chama ataisaidia Yanga – Video

MTANGAZAJI na mchambuzi maarufu wa masuala ya michezo nchini, Alex Kashasha ‘Mwalimu Kashasha’, amekiri kuwa kama Yanga itafanikiwa kumsajili kiungo...

READ MORE

Majaliwa Ala Kiapo Ubunge Ruangwa

WAZIRI Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa, akiapa kuwa mbunge wa Ruangwa, Bungeni jijini Dodoma Novemba...

READ MORE

Askofu Gwajima Aapishwa Ubunge – Video

Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima akila kiapo cha kuwa Mbunge wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Mwana FA Ala Kiapo Uunge Muheza – Video

Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’,  akila kiapo cha kuwa Mbunge wa Muheza katika Bunge la 12 la Jamhuri...

READ MORE

Afya za Watoa Huduma za Hsafi Simiyu Hatarini

  AFYA za wafanyakazi katika sekta ya usafi hususani watoa huduma ya kutapisha vyoo katika mji wa Maswa na Bariadi...

READ MORE

Global Yamshangaza Kashasha, Asema ‘Sikujua Kabisa’! – Video

MCHAMBUZI nguli wa masuala ya soka nchini, kwenye kituo cha radio cha TBC Taifa, Mwalimu Alex Kashasha, amefunguka kuwa, hakuwahi...

READ MORE

Dkt. Abbas Awashukia Chadema, Ajibu Hoja Zao

MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbasi ameliambia Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kuwa Watanzania wamemaliza uchaguzi...

READ MORE

Maswa Waeleza Siri Kutokomeza Kipindupindu

MAMLAKA ya mji mdogo wa Maswa mkoani Simiyu imeeleza kuwa kupungua kwa kasi ya magonjwa ya mlipuko hususani kipindupindu katika...

READ MORE

Ndugai: Ukiwa Mbunge Bubu Umekwisha, Hakuna Kubebana – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Kongwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Job Ndugai, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12...

READ MORE

Ndugai Akutana na ‘Kigingi’, Mbunge Chadema Asimama – Video

MBUNGE wa Jimbo la Kongwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Job Ndugai, amekutana na kigingi cha kwanza bungeni wakati akiomba...

READ MORE

Marekani: Trump Amfuta kazi Waziri wa Ulinzi

RAIS Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper, kwa kinachodaiwa kuwa ni wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher...

READ MORE

Saruji Kupanda Bei…! Kiwanda cha Dangote Chaomba Radhi

UONGOZI wa kiwanda cha Dangote kinachozalisha saruji mkoani Mtwara kilisimamisha uzalishaji kwa takribani wiki mbili ili kusafisha mashine za kiwanda....

READ MORE

Mwl. Kashasha Afungukia Bao Lake Bora Ligi Kuu Bara – Video

  KWA mara ya kwanza, mchambuzi mahiri wa masuala ya soka, maarufu kama Mwalimu Kashasha, ametembelea ofisi za Global Group...

READ MORE

Live: Bunge la 12 Laanza Dodoma, Tazama Kinachofanyika Leo – Video

KIKAO cha kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 12 kinatarajiwa kufanyika leo jijini Dodoma baada ya kukamilika kwa...

READ MORE

Lema Aachiwa, Apewa Hifadhi Kenya

ALIYEKUWA mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, ameachiliwa na polisi nchini Kenya baada ya kukamatwa kwa madai ya...

READ MORE

Chama Aibua Shangwe Simba

WAKATI kiungo wa Simba, Clatous Chama ikielezwa juzi hatokuwepo kwenye mchezo dhidi ya Yanga, mashabiki walilipuka shangwe baada ya kumuona...

READ MORE

Nyalandu Azuiwa Mpakani Akielekea Kenya

Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka Tanzania kupitia mpaka wa Namanga. Kwa mujibu wa Mkuu wa...

READ MORE

Stendi Mpya Mbezi Kuanza Kutumika Nov. 30

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge,   amesema ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani ya na...

READ MORE

Kapombe: Tunachukua Ubingwa Bara

SHOMARI Kapombe, beki wa kulia mzawa ndani ya kikosi cha Simba ambaye pia jina lake limetajwa kwenye majina ya wachezaji...

READ MORE

Aston Villa Wamdai Samatta Mabao 15

IMEFAHAMIKA kuwa, mshambualiaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayekipiga kwa mkopo katika Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki, anadaiwa mabao...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yazindua duka la kwanza la kisasa wilayani Kisarawe

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo (kulia) na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania Plc Rosalynn Mworia wakikata...

READ MORE

Ujenzi wa Vyoo Kwenye Mikusanyiko Waanza Simiyu

  ILI kuepuka na magonjwa ya mlipuko katika kipindi hiki cha mvua za vuli, Serikali ya wilaya ya Bariadi mkoani...

READ MORE

Sura Baraza la Mawaziri

SIKU chache baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Rais Dk John Magufuli anatarajiwa...

READ MORE