×

Habari

10 Wafariki Ghorofa Likiporomoka

WATU zaidi ya kumi wanahofiwa kupoteza maisha, huku wengine zaidi ya 25 wakiwa wamefukiwa na kifusi, kufuatia kuporomoka kwa jengo...

READ MORE

Uganda Yafungua Mipaka, Yaruhusu Watalii Kuingia

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ametangaza kulegeza masharti ya kudhibiti ugonjwa wa corona — Covid-19 — kwa kufungua mipaka ya...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumtumia Barua ya Sumu Rais Trump

Mwanamke mmoja amekamatwa kwa kushukiwa ndiye aliyetuma barua yenye sumu kwenda kwa Rais wa Marekani, Donald Trump. Mtu huyo alitiwa...

READ MORE

Akamatwa kwa Kumzika Mjukuu Wake Akiwa Hai

POLISI katika Jimbo la Bauchi nchini Nigeria imemkamata mwanaume mwenye umri wa miaka 50 kwa madai ya kumzika mjukuu wake...

READ MORE

Wanafunzi Wawili Wafariki Wakiogelea Kwenye Bwawa Dar

WANAFUNZI wawili wa Shule ya Msingi ya St. Claret ya jijini Dar es Salaam, wamekufa baada ya kudaiwa kuzama kwenye...

READ MORE

Lissu Aahidi Kufanya Mabadiliko Uchumi, Utawala

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameahidi kufanya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala kama atachaguliwa....

READ MORE

Maalim Seif Aahidi Neema ya Uchumi Zanzibar

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema anakusudia kuifanya Zanzibar kuwa kitovu cha...

READ MORE

Lori la Mafuta Lawaka Moto Morogoro

  JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Morogoro limefanikiwa kuudhibiti moto wa mafuta kutokana na gari lenye namba za usajili...

READ MORE

Serikali Yaongeza Muda Maombi ya Ajira za Ualimu

Ofisi ya Rais – TAMISEMI imepokea maoni kutoka kwa wadau mbalimbali juu ya changamoto za upatikanaji wa mtandao zilizojitokeza mara...

READ MORE

Magufuli Atoboa Siri iliyowaponza Kaliua – Video

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)  John  Magufuli, amesema kuwa jana alipita Jimbo la Kaliua wananchi wakamlilia kuhusu suala...

READ MORE

Facebook Yadaiwa Kuwafuatilia Watumiaji Instagram kwa Kamera za Simu

KAMPUNI  ya Facebook imeshitakiwa kwa tuhuma za kuwafuatilia watuamiaji wa Instagram kwa kutumia kamera za simu zao bila ridhaa ya...

READ MORE

Chopa la Magufuli Laanza Kazi – Video

Chopa pamoja na magari yanayotumika katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) yakiwa tayari.   CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeonyesha...

READ MORE

JPM: Msiwachague Hao, Watatufungia Ndani – Video

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kufanya uchaguzi kwa makini na kuepukana...

READ MORE

Jokate Aagiza Jambo Zito Tuhuma za Wachina

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Mwegelo ameagiza kukamilika haraka kwa uchunguzi dhidi ya Wachina watatu wanaoshikiliwa kwa...

READ MORE

Mchungaji Amuua Mkewe, Ammiminia Risasi 7!

MCHUNGAJI mmoja wa nchini Ghana, Sylvester Ofori (35),  ametiwa mbaroni nchini Marekani anakoishi baada ya kumuua mkewe, Barbara Tommey (27)....

READ MORE

Ndugai Atoa ‘Bonus’, Kisa Magufuli – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amewaomba wananchi...

READ MORE

Chadema Yaahidi Kufufua Pamba Tabora

MGOMBEA mwenza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salum Mwalimu, amesema iwapo chama hicho kitaingia madarakani kitahakikisha watu wa...

READ MORE

Magufuli: Nililala Nyumbani kwa Mzee Sitta – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),  John Magufuli, aameendelea na kapmbeni...

READ MORE

Polisi Yachunguza Chanzo cha Moto Makerere University

POLISI nchini Uganda wanachunguza chanzo cha moto uliokiteketeza Chuo Kikuu maarufu, kikubwa na cha zamani zaidi nchini humo cha Makerere,...

READ MORE

Majaliwa; “Chagueni Chama kitakacholinda Amani”

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wawachague viongozi...

READ MORE

Nmb Yatoa Msaada wa Madawati 50, Mashuka 180 na Ndoo Hospitali ya Rufaa Dodoma

  Benki ya NMB, imetoa msaada wa madawati 50, mashuka 180 na ndoo za kunawia vyote vikiwa na thamani ya...

READ MORE

Wakuu wa Mikoa Wavutiwa na Huduma za NBC Maonesho ya Dhahabu Geita

Wakuu wa mikoa ya Mwanza na Geita wamewaomba wadau wa sekta ya madini katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kuhakikisha...

READ MORE

MultiChoice Yaahidi Makubwa Kwa Wateja wa DStv

Kampuni ya MultiChoice Tanzania imebainisha mambo makubwa iliyoyafanya hapa nchini tangu kuanzishwa kwake zaidi ya miaka ishirini iliyopita ikiwemo kutoa...

READ MORE

Wabakaji Watoto Wakiona cha Moto

  WATU wawili waliobaka watoto, wamekiona cha moto baada ya mahakama kwa nyakati tofauti, kuwahukumu kifungo cha maisha jela. Wa...

READ MORE

Majaliwa: Hakuna Kiongozi Zaidi ya Magufuli

MJUMBE wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM amesema kati ya wagombea urais waliojitokeza, hakuna kiongozi zaidi...

READ MORE

Wananchi Wataka Kufahamu Atakayowafanyia Shigongo Buchosa

  WAKATI mchakamchaka wa kampeni ukiendelea kupamba moto katika maeneo mbalimbali huku wagombea urais, ubunge na udiwani wakinadi sera zao...

READ MORE

Msondo Ilivyokiwasha Mbagala Usiku Wa Kuamkia Leo

Bendi kongwe isiyochuja Msondo Music usiku wa kuamkia leo kama kawaida yake ilikiwasha ndani ya Ukumbi wa Baa ya Kisuma...

READ MORE

Lissu, Magufuli Kukutana Kigoma

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama kikuu cha upinzani nchini, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) atakuwa leo,...

READ MORE

Walichozungumza Marais Magufuli, Ndayishimiye Kigoma – Video

MARAIS John Pombe Magufuli wa Tanzania na Evariste Ndayishimiye wa Burundi wamesema ushirikiano baina ya mataifa hayo yanayounda Jumuiya ya...

READ MORE

Benki Ya NCBA Yazindua Matawi Mapya Mawili Arusha Leo

Benki ya NCBA Tanzania Limited (NCBA) imefanya uzinduzi wa kihistoria wa matawi yao mawili mapya jijini Arusha leo tarehe 19...

READ MORE

Meneja wa Harmonize Afunguka Changamoto za Kazi

KATIKA tasnia ya muziki na wanamuziki wakali, huwezi kuacha kumtaja Bosi wa Lebo ya Konde Gang Music Worldwide na staa...

READ MORE

NEC Yaamua Rufaa 616, Wabunge 20 Wapita Bila Kupingwa…

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekamilisha uchambuzi na kuamua rufaa 616 za wagombea ubunge na udiwani zilizopokelewa, ambapo wagombea...

READ MORE

Shigongo Aifariji Familia Ya Manyaga Nyakaliro-Buchosa

Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Eric Shigong James jana amefika nyumbani kwa familia ya Nyaga Mirambo kuifariji...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Ampokea Rais Ndayishimiye Wa Burundi Kigoma

 Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimoye leo Septemba 19, 2020 anafanya ziara siku moja nchini Tanzania leo Jumamosi Septemba 19,...

READ MORE

Maalim Seif Akamilisha Awamu ya Kwanza Kampeni Pemba

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amekamilisha awamu ya kwanza ya ziara yake ya mikutano ya...

READ MORE

Lulu Diva Asimulia Alivyonusa Kifo!

Sexy lady kunako Bongo Flevani, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesimulia alivyonusa kifo laivu.Katika mahojiano maalum, Lulu Diva ameliambia Gazeti la...

READ MORE

Tanasha: Kulea Mwenyewe ni Presha Kubwa!

“Siyo kazi rahisi kulea mwenyewe, presha ni kubwa mno, lakini ninakabiliana nayo…”Hayo ni maneno ya mwanamama Tanasha Donna alipokuwa akizungumza...

READ MORE

Avaa Nyoka Kama Barakoa Kujikinga na Corona

MSAFIRI mmoja amezua taharuki baada ya kuvaa ‘barakoa’ ya nyoka aliyokuwa amejizungushia katika shingo yake na mdomoni ambapo alionekana katika...

READ MORE