MHANDISI Japhet L. Loisimaye amefariki dunia jana Jumapili, Mei 10, 2020 jioni jijini Dar es Salaam. Loisimaye alikuwa Mkurugenzi wa...
READ MOREMsanii mkongwe katika industry ya muziki, “AY” anayetamba na kibao cha Danhela ala shavu la Ubalozi wa simu mpya ya...
READ MOREDAR: Watoto wawili waliofariki siku moja; Collins Kimaro (9) na Catherine Kimaro (4) kutokana na ajali ya moto Mei 3,...
READ MORERais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama amemtuhumu Rais Donald Trump kuwa ameshindwa kuikabili #COVID19 kwani mbinu anazotumia hazijasaidia chochote hivyo...
READ MOREKampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC imetoa matokeo ya awali ya kifedha kwa mwaka unaoishia...
READ MOREKATIKA jamii zetu hususan Tanzania, msiba umekuwa ukiombolezwa kwa huzuni zinazotawaliwa na vilio kutoka kwa wafiwa ambao ni ndugu na...
READ MOREMWANDISHI wa Habari Mkongwe nchini, Fili Karshani amefariki leo Mei 10, 2020 Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa...
READ MOREMsemaji wa Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence, ambaye mke wa mmoja kati ya washauri wakuu wa Donald Trump,...
READ MOREPIGO la Virusi vya Corona halijaigusa familia ya michezo peke yake hapana kila sekta imeguswa na kuvurugwa kwa namna inavyotaka...
READ MOREDAR: Licha ya kwamba kila mwanadamu ataonja umauti kama maandiko ya vitabu vya dini yanavyoeleza, katika kipindi cha mwaka 2019...
READ MOREDAR: Hakamatiki! Kichwa kipya kwenye Bongo Fleva kutoka ndani ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Kopa ‘Zuchu’ anazidi...
READ MOREKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati, imeishauri serikali kutumia vyema mdororo wa bei ya mafuta duniani, ili kupata mafuta...
READ MOREKWA Tanzania mchezo wa tenisi umekuwa hauna umaarufu mkubwa na kuna ambao wanaona ni mchezo fulani wa kishua, lakini wapo...
READ MOREMAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Kigoma imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Kajana, Wilaya ya Buhigwe, Doto Simoni (21), kifungo cha...
READ MORETaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza inamshikilia Mhasibu wa AMCOS ya MHED iliyopo wilayani Kishapu...
READ MOREWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema kuwa dawa za kukabiliana na virusi...
READ MOREKUJIPATIA FEDHA KWA NJIA YA UDANGANYIFU [MTANDAO WA KIJAMII]. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. SOPHIA...
READ MOREKamwe usimuamini dereva wa bodaboda! Ndoa nyingi zinaingia kwenye matatizo makubwa kutokana na bodaboda hawa kuwarubuni wake za watu na...
READ MOREWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema yeye na wenzake waliokwenda Madagascar kuchukua...
READ MOREMBUNGE wa Lushoto, Shabani Shekilindi, amedai amegundua dawa inayotibu ugonjwa wa Corona, ambapo kwa sasa ameikabidhi Serikalini ili kupata uthibitisho...
READ MOREWATU watano wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Coaster kuligonga lori la mizigo...
READ MOREWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amekanusha taarifa iliyosambaa mitandaoni kwamba ameambukizwa virusi vya corona....
READ MOREMSHAMBULIAJIwa Rayon Sports ya Rwanda, Mghana, Michael Sarpong, hana tatizo kuhusu kujiunga na Klabu ya Yanga lakini kuna masharti kadhaa...
READ MOREWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amesema kwa kuwa #CoronaVirus tayari imeshaingia Tanzania, haileti maana kuweka masharti magumu kwa...
READ MORERais Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Willy Lazaro Mbunju Komba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu(Teachers’ Service Commision-TSC)....
READ MOREWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) kwa niaba ya Tanzania...
READ MOREWaziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye...
READ MOREMMILIKI wa mabasi ya Kirumo Charo na Katibu Mkuu wa chama cha wamiliki wa mabasi TABOA, Ndg. Enea Mrutu ambaye...
READ MOREMKUU wa Polisi Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed amefariki dunia. Afande Masoud hivi karibuni alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii...
READ MOREMhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Dkt. Job Asheri Chaula amefariki dunia leo Ijumaa, Mei 8, 2020, asubuhi katika...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu ameanika wazi kwamba huwa hakasiriki kutokana na kuitwa mvivu wa mazoezi kutokana na kuwa...
READ MORETaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Dodoma inamshikilia Simon Mapunda Jumbe (43), mkazi wa Kisasa jijini...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne wa ujambazi akiwemo mganga wa kienyeji wakiwa na silaha...
READ MOREMBUNGE wa Ndanda kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecil Mwambe, amesema kuwa kwa sasa amerejea Bungeni rasmi kumalizia...
READ MOREWizara ya Afya Uganda imesema Dereva mwingine wa Lori kutoka Tanzania (32) amebainika kuwa na corona na kufanya maambukizi...
READ MORESHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa #CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja...
READ MORESERIKALI ya Italia na Maaskofu wa Kanisa Katoliki wamesaini makubaliano ya kuruhusu Ibada pamoja na mikusanyiko vya kidini kama harusi...
READ MORERAIS wa Marekani, Donald Trump na Makamu wake, Mike Pence wamelazimika kupima tena maambukizi ya virusi vya corona baada...
READ MOREWizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 29 wa covid 19 visiwani Zanzibar na kufikia idadi...
READ MOREKampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imefanya maboresho makubwa katika tovuti yao ya kubashiri, ambayo kwa sasa itawawezesha wateja wao...
READ MORE