×

Habari

Tanzia: Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama TASAC Afariki Dunia

MHANDISI Japhet L. Loisimaye amefariki dunia jana Jumapili, Mei 10, 2020 jioni jijini Dar es Salaam. Loisimaye alikuwa Mkurugenzi wa...

READ MORE

AY alamba Shavu la Ubalozi Simu ya Infinix NOTE 7

Msanii mkongwe katika industry ya muziki, “AY” anayetamba na kibao cha Danhela ala shavu la Ubalozi wa simu mpya ya...

READ MORE

Watoto Wawili Waacha Simanzi Kufa Siku 1

DAR: Watoto wawili waliofariki siku moja; Collins Kimaro (9) na Catherine Kimaro (4) kutokana na ajali ya moto Mei 3,...

READ MORE

Obama Amponda Trump “Mbinu Anazotumia Kukabiliana na #Covid19 Hazisaidii”

Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama amemtuhumu Rais Donald Trump kuwa ameshindwa kuikabili #COVID19 kwani mbinu anazotumia hazijasaidia chochote hivyo...

READ MORE

Vodacom Yatangaza Kukua Kwa Biashara, Yaendelea Kuongoza katika Umiliki wa Soko la Wateja.

Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC imetoa matokeo ya awali ya kifedha kwa mwaka unaoishia...

READ MORE

Usichokijua  Kuhusu Watu Wanaocheza Na Majeneza

KATIKA jamii zetu hususan Tanzania, msiba umekuwa ukiombolezwa kwa huzuni zinazotawaliwa na vilio kutoka kwa wafiwa ambao ni ndugu na...

READ MORE

TANZIA: Mwandishi Mkongwe Fili Karshani Amefariki Dunia

MWANDISHI wa Habari Mkongwe nchini, Fili Karshani amefariki leo Mei 10, 2020 Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa...

READ MORE

Msemaji wa Makamu wa rais wa Marekani Apatikana Corona

Msemaji wa Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence, ambaye mke wa mmoja kati ya washauri wakuu wa Donald Trump,...

READ MORE

Anna Maboya Corona Imetibua Mipango Ya Kuitangaza Injili Kimataifa

PIGO la Virusi vya Corona halijaigusa familia ya michezo peke yake hapana kila sekta imeguswa na kuvurugwa kwa namna inavyotaka...

READ MORE

Vifo vya Vigogo Vyatikisa

DAR: Licha ya kwamba kila mwanadamu ataonja umauti kama maandiko ya vitabu vya dini yanavyoeleza, katika kipindi cha mwaka 2019...

READ MORE

Zuchu wa Mondi Hakamatiki

DAR: Hakamatiki! Kichwa kipya kwenye Bongo Fleva kutoka ndani ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Kopa ‘Zuchu’ anazidi...

READ MORE

Serikali Itumie Mdororo wa Bei ya Mafuta Duniani Kuwekea Akiba

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati, imeishauri serikali kutumia vyema mdororo wa bei ya mafuta duniani, ili kupata mafuta...

READ MORE

Roger Federer Yupo Karantini Katika Mjengo Wa 19B

KWA Tanzania mchezo wa tenisi umekuwa hauna umaarufu mkubwa na kuna ambao wanaona ni mchezo fulani wa kishua, lakini wapo...

READ MORE

Jela Miaka 15 Kwa Kumuua Ndugu Yake Bila Kukusudia

MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Kigoma imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Kajana, Wilaya ya Buhigwe, Doto Simoni (21), kifungo cha...

READ MORE

Takukuru Yamnasa Kigogo Ushirika, Madalali kwa Ubadhirifu – Video

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza inamshikilia Mhasibu wa AMCOS ya MHED iliyopo wilayani Kishapu...

READ MORE

Hatujaleta Dawa ya Kugawia Wagonjwa wa Corona – Kabudi

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema kuwa dawa za kukabiliana na virusi...

READ MORE

Mbaroni kwa Kujifanya ‘Mama Magufuli’ na Kutapeli

KUJIPATIA FEDHA KWA NJIA YA UDANGANYIFU [MTANDAO WA KIJAMII]. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. SOPHIA...

READ MORE

Dereva Bodaboda Anasiana Na Mke Wa Mtu

Kamwe usimuamini dereva wa bodaboda! Ndoa nyingi zinaingia kwenye matatizo makubwa kutokana na bodaboda hawa kuwarubuni wake za watu na...

READ MORE

Kabudi: Dawa ya Madagascar Inafanyiwa Utafiti Kwanza – Video

WAZIRI  wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Profesa Palamagamba  Kabudi, amesema  yeye na wenzake waliokwenda Madagascar  kuchukua...

READ MORE

Mbunge ‘Agundua’ Dawa ya Corona, Adai 30 Wamepona

MBUNGE wa Lushoto, Shabani Shekilindi, amedai amegundua dawa inayotibu ugonjwa wa Corona, ambapo kwa sasa ameikabidhi Serikalini ili kupata uthibitisho...

READ MORE

Geita: 5 Wafariki, 14 Wajeruhiwa Basi la Maiti Likigonga Lori – Video

WATU watano wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Coaster kuligonga lori la mizigo...

READ MORE

Waziri Ummy Mwalimu Akanusha Kupata Corona

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu,  amekanusha taarifa iliyosambaa mitandaoni kwamba ameambukizwa virusi vya corona....

READ MORE

Mkataba wa Straika Mghana Yanga Kufuru

MSHAMBULIAJIwa Rayon Sports ya Rwanda, Mghana, Michael Sarpong, hana tatizo kuhusu kujiunga na Klabu ya Yanga lakini kuna masharti kadhaa...

READ MORE

Kigwangalla Ataka Karantini kwa Wageni Iondolewe

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amesema kwa kuwa #CoronaVirus tayari imeshaingia Tanzania, haileti maana kuweka masharti magumu kwa...

READ MORE

Uteuzi Mpya Uliofanywa na Rais Magufuli Mei 08

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Willy Lazaro Mbunju Komba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu(Teachers’ Service Commision-TSC)....

READ MORE

Tanzania Yapokea Dawa ya Covid 19 Kutoka Madagascar

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) kwa niaba ya Tanzania...

READ MORE

Serikali Yataja Sababu za Kuchelewa Kutoa Taarifa za Corona

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye...

READ MORE

TANZIA: Katibu Mkuu wa TABOA, Mrutu Afariki Dunia

MMILIKI wa mabasi ya Kirumo Charo na Katibu Mkuu wa chama cha wamiliki wa mabasi TABOA, Ndg. Enea Mrutu ambaye...

READ MORE

OCD Maarufu kwa Kusoma Quran Afariki Dunia

MKUU wa Polisi Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed amefariki dunia. Afande Masoud hivi karibuni alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii...

READ MORE

Tanzia: Mhadhiri Wa Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Job Chaula Afariki Dunia

  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Dkt. Job Asheri Chaula amefariki dunia leo Ijumaa, Mei 8, 2020, asubuhi katika...

READ MORE

Ajibu: Nisemeni Tu Mi Mvivu, Wala Siumii

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu ameanika wazi kwamba huwa hakasiriki kutokana na kuitwa mvivu wa mazoezi kutokana na kuwa...

READ MORE

TAKUKURU WAMNASA ‘TAKUKURU FEKI’

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Dodoma inamshikilia Simon Mapunda Jumbe (43), mkazi wa Kisasa jijini...

READ MORE

Wanne Wanaswa Kwa Ujambazi Arusha!

  JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne wa ujambazi akiwemo mganga wa kienyeji wakiwa na silaha...

READ MORE

Cecil Mwambe “Sasa Narejea Bungeni Rasmi” – Video

MBUNGE wa Ndanda kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecil Mwambe, amesema kuwa kwa sasa amerejea Bungeni rasmi kumalizia...

READ MORE

Dereva Mwingine wa Lori Mtanzania Akutwa na Corona Uganda

  Wizara ya Afya Uganda imesema Dereva mwingine wa Lori kutoka Tanzania (32) amebainika kuwa na corona na kufanya maambukizi...

READ MORE

WHO: Waafrika 190,000 Wanaweza Kufariki kwa #Coronavirus

SHIRIKA  la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa #CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja...

READ MORE

Kanisa Katoliki: Ibada, Harusi Kuruhusiwa Kuanzia Mei 18

SERIKALI ya Italia na Maaskofu wa Kanisa Katoliki wamesaini makubaliano ya kuruhusu Ibada pamoja na mikusanyiko vya kidini kama harusi...

READ MORE

Mwanajeshi wa Ikulu Akutwa na Corona

  RAIS wa Marekani, Donald Trump na Makamu wake, Mike Pence wamelazimika kupima tena maambukizi ya virusi vya corona baada...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Zanzibar Wafika 134

Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 29 wa covid 19 visiwani Zanzibar na kufikia idadi...

READ MORE

Parimatch Yafanya Maboresho, Yaja kibabe na Mfumo Mpya

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imefanya maboresho makubwa katika tovuti yao ya kubashiri, ambayo kwa sasa itawawezesha wateja wao...

READ MORE