×

Habari

Anayedai Kubuni Jina Tanzania Amwomba JPM Msaada

MTANZANIA anayedai alishikiri shindano la kubuni jina ‘Tanzania’ kwa ajili ya Jamhuri ya Muungano mwaka 1964, Jotham Chagwah, amemwandikia barua...

READ MORE

Pacman, Nampepeche kupasuana kesho

MABONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Nasibu Ramadhani ‘Pacman’ na Issa Nampepeche kesho Jumamosi wanatarajia kupanda ulingoni  ugombania mkanda wa...

READ MORE

Sallam SK: Harmonize Moyo Wake Hayupo Tena WCB

HATIMAYE uhakika wa taarifa za kuwa mkali wa Kwangwaru Harmonize hayupo tena katika Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) umethibitishwa...

READ MORE

Shigongo Kunogesha College Box Concert

KAMPUNI ya Global Publishers, kesho Jumamosi inatarajiwa kufanya tamasha la aina yake katika Shule ya Sekondari ya Alpha iliyopo jijini....

READ MORE

Global Yamkabidhi Kamanda Mambosasa Tuzo ya Heshima

KAMPUNI ya Global Publishers, juzi Jumatano ilimkabidhi Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, Tuzo ya Heshima...

READ MORE

Mateso100% Binti adai KULAZWA KWENYE BANDA LA KUKU

PWANI: Mateso asilimia 100! Ndivyo walivyozungumza majirani wakati wakielezea tukio la binti anayedawa kulazwa kwenye banda la kuku, Amani linakushushia...

READ MORE

JPM Akutana na Mabalozi wa Tanzania Nje ya Nchi

Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa...

READ MORE

Kocha Akivaa Hovyo Uwanjani, Kutimuliwa

  BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPBL) imesema imebadilisha baadhi ya mfumo wa uendeshaji wa masuala mbalimbali ikiwemo suala...

READ MORE

RC Makonda Yupo Siriazi “Unamuumizaje Mwanamke?” – Video

Baada ya Mfumo wa Kupokea Malalamiko ya Wananchi dhidi ya utendajikazi wa watumishi wa Umma kuonyesha mafanikio makubwa ambapo hadi...

READ MORE

Kupanda na Kupotezwa Coutinho Barcelona

PHILIPPE Coutinho amekimbilia Bayern Munich ili kuokoa soka yake baada ya kushindwa kutamba Barcelona. Kiungo huyo wa Kibrazili aliamua kuondoka...

READ MORE

Mwandishi Akamatwa Akidaiwa Kuchapisha Habari ya ‘Udhalilishaji’

MWANDISHI wa habari,  Joseph Gandye, ambaye ni Mhariri wa Uzalishaji Maudhui,  Msimamizi Msaidizi wa Watetezi TV amekamatwa na polisi akituhumiwa...

READ MORE

Paul Pogba Apigwa Stop kupiga Penalti

KITENDO cha Paul Pogba kukosa penalti kwenye mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Wolverhampton Wanderers Jumatatu iliyopita, kimezua mtafuruku...

READ MORE

Dembele Aharibu Barcelona

WINGA wa Barcelona, Ousmane Dembele ameanza vitimbi baada ya majuzi kudaiwa kwenda zake nchini Senegal kwa shughuli ya kifamilia. Dembele...

READ MORE

Familia Yapinga Mahakamani Wosia Wa Mengi, Mazito Yaibuka!

FAMILIA ya aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Marehemu Dkt. Reginald Mengi imewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu, ikipinga...

READ MORE

Njemba Anaswa na Video 555 za ‘Ngono’ Kwenye Begi

RAIA mmoja wa Colombia ambaye jina lake halikutajwa, ameshikwa na polisi wa Hispania akiwa na video 555 zenye kuonyesha sehemu...

READ MORE

NMB YAAHIDI KUENDELEA KUDHAMINI MASHINDANO YA GOFU

WACHEZAJI wa mchezo wa Gofu zaidi ya 100 wanatarajia kushiriki mashindano ya mchezo huo yanayotarajiwa kufanyika Septemba 7 na Septemba...

READ MORE

TFF ya Botswana Wairahisishia Kazi Yanga

WAKIJIANDAA na mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers, Yanga wamepewa uwanja wa kufanyia mazoezi na Shirikisho la Soka la...

READ MORE

WANAHISA 400 WA MCB WAKUTANA MTWARA KWENYE MKUTANO

    WANAHISA zaidi ya 400 wa Mwalimu Commercial Bank Plc (MCB) wamekutana mjini Mtwara katika mkutano wa mwaka (AGM)...

READ MORE

Tshishimbi Kufanya Mambo

NAHODHA wa Yanga, Mkongo Papy Kabamba amejipanga kushinda dhidi ya Township Rollers na akasisitiza wanahitaji kupata mabao ya mapema zaidi...

READ MORE

Rais Kim Jong Un Amvimbia Rais Trump

KOREA Kaskazini imesema haioni manufaa ya majadiliano kati yake na Marekani, hadi Marekani isitishe kile ilichokiita hatua za uhasama za...

READ MORE

Museveni, Kagame Wamaliza Tofauti Zao

MARAIS Yoweri Museveni wa Uganda na Paul Kagame wa Rwanda wamesaini makubaliano ya amani katika mji mkuu wa Angola, Luanda,...

READ MORE

Tambwe Yanga Wamewafunika Simba

  WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kushuka uwanjani Jumamosi ya wiki hii huko nchini Botswana, safu ya ulinzi ya timu...

READ MORE

Daktari Bingwa Aeleza Sababu Vifo vya Majeruhi wa Moro Kufikia 100

DAKTARI bingwa wa upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Laurian Rwanyuma amesema majeruhi wa ajali ya lori la...

READ MORE

Zahera Amuacha Kiungo Yanga

AKIWA na uhakika wa safari ya Botswana, kiungo mshambuliaji, Jaffer Mohamed ‘rasta’ juzi alikatwa dakika za mwisho na kuwekwa mshambuliaji...

READ MORE

Kigogo walipa Betika heshima yake

WASOMAJI wa Gazeti la BETIKA maeneo ya Kigogo Sambusa jijini Dar es Salaam, wamesema kuwa, wamekuwa wakilifuatilia gazeti hilo, hivyo...

READ MORE

Yanga watibua mbinu Rollers kibabe

TUMEWATIBULIA! Hivyo ndivyo viongozi wa Yanga wanatamba ni baada ya kushtukia janja ya wapinzani wao Township Rollers ya nchini Botswana....

READ MORE

Airtel yazindua huduma ya kutuma fedha nje ya nchi

  Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania imeendelea kuimarisha huduma zake za Airtel Money ambapo kwa sasa mteja anaweza...

READ MORE

Ajibu Atuma Salamu za Vitisho Simba

BAADA ya kuwa nje kutokana na majeraha na kurejea kwenye mazoezi straika wa Simba Ibrahim Ajibu, amefunguka kuwa ameanza mazoezi...

READ MORE

Facebook Yaanzisha Programu Kulinda Kuingiliwa Data Zako

MTANDAO wa FACEBOOK umeanzisha mfumo wa kufichua data inazozikusanya kutoka kwa watumiaji wake.   Wengi hawapendi wanachokiona. Programu iliyowekwa na mtandao...

READ MORE

Mwenge Watua Ikungi, DC Apongezwa

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Mhe Edward Mpogolo amepongezwa kwa namna ambavyo ameweza kusimamia miradi ya maendeleo ndani ya muda...

READ MORE

Arusha: Mbaroni kwa Tuhuma za Kumuua Mkewe

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia dereva wa kampuni ya utalii ya Mt Kilimanjaro Safari’s, Julius Kabora (45), kwa...

READ MORE

Shiboub Ampoteza Okwi Simba

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba Mganda, Emmanuel Okwi ambaye amesajiliwa na klabu ya Al Ittihad ya Misri msimu huu hatashiriki michuano...

READ MORE

Waliofariki kwa Ajali ya Moro Wafikia 100

Majeruhi wa ajali ya lori kulipuka moto Morogoro waliofariki jana Agosti 20, 2019 ni; 1. Mazoya Sahani 2. Khasim Marjani...

READ MORE

Kibatala Ampiga Maswali Askari Aliyetoa Ushahidi wa Video Kesi Mbowe

SHAHIDI wa sita wa upande wa Jamuhuri katika kesi ya tuhuma za uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti...

READ MORE

Watano Wasakwa kwa Tuhuma za Kumteka Mo Dewji

Upande wa mashtaka katika kesi ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’ umedai kuendelea na taratibu za kuwatafuta watuhumiwa watano...

READ MORE

JPM Atembelea Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea na kukagua utendaji kazi wa Maabara ya Mkemia...

READ MORE

Binti Amuua Mwanaye, Ajinyonga

BINTI wa miaka 22, Ephrazia Maneno, mkazi wa Kijiji cha Nyaseke, Kata ya Bulela mjini Geita,  anadaiwa kumuua kwa kumnyonga...

READ MORE

Mke, Mume Jela kwa Kuwakeketa Watoto Wao

MAHAKAMA ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela, Thadei Parokwa (43) na mke wake Lowema...

READ MORE

Rihanna Arudi Kwenye Gemu Kwa Kishindo

BAADA kukaa kimya kwenye muziki kwa miaka mitatu bila kuachia ngoma yoyote, mwanamuziki wa miondoko ya pop nchini Marekani mwanadada...

READ MORE