×

Habari

Akutwa na meno ya bandia kwenye koo

MGONJWA mmoja nchini Uingereza amejikuta katika maumivu makali baada ya meno yake ya bandia kunasa kooni kwa wiki moja. Mgonjwa...

READ MORE

Aussems Afichua Siri Nzito Simba

LICHA ya wengi kuamini kwamba Simba itafanya vizuri msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kocha mkuu wa timu...

READ MORE

‘KATAMBUGA’ YAWAKA RASMI GLOBAL RADIO (PICHA +VIDEO)

JANA Agosti 16, 2019, kulifanyika uzinduzi rasmi wa Kipindi cha Uswahilini cha Katambuga (Kijiwe Dobo) kinachoruka kila siku za Jumatatu...

READ MORE

Bodi ya Mikopo (HESLB) Yaongeza Muda wa Kuomba Mkopo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuongeza muda wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao...

READ MORE

Polisi Yavamia Mkutano wa Zitto, Yamkamata Msemaji ACT

BREAKING: Jeshi la Polisi limevamia makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo yaliyopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kuzuia...

READ MORE

Video: Ziara ya Rais Ramaphosa wa Sauz Mjini Morogoro

 Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa yupo nchini kwa siku 2 kabla ya kuanza Mkutano wa...

READ MORE

Tigo Yatoa Kompyuta 20 Chuo Kikuu cha Sayansi Mbeya

KATIKA juhudi za kuchangia malengo ya serikali ya kuboresha na kuinua viwango vya elimu katika taasisi za elimu ya juu,...

READ MORE

Haji Manara Awaombea Sapoti Yanga – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Manara amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuungana na wapinzani wao Yanga katika mechi za...

READ MORE

Ajali Tena Morogoro, Wanne Wafariki Dunia

  Watu 4 wamefariki dunia na wengine 26,  wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusha basi la abiria na Lori  kugongana uso kwa uso...

READ MORE

Global FC kuichakaza DSJ leo

MATAJIRI wa Sinza, timu ya Global FC, leo Ijumaa wanatarajiwa kushuka dimbani kumenyana na timu ya Chuo cha Uandishi wa...

READ MORE

Tanzia: Msanii Bongo Fleva Afariki Dunia

TANZIA: Taarifa zilizotufikia ni kwamba mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ (pichani katikati)...

READ MORE

Watoto Watoweka, Wakutwa Wamekufa

TUKIO la hivi karibuni lililoibua hofu kubwa ni la watoto wawili wa familia mbili wa Kijiji cha Nyamhela, Kata ya...

READ MORE

Waliokufa ajali ya moto Moro… UTATA WAIBUKA!

  WAKATI tume iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ikisubiriwa kutoa majibu ya kuwepo au kutokuwepo kwa uzembe kwa mamlaka...

READ MORE

 Mtoto Ajinyonga Akisonga Ugali

MTOTO aliyejulikana kwa jina la Maria Saidi Mtengwa (16) mkazi wa Salasala jijini Dar amekatisha uhai wake kwa kujinyonga kikatili...

READ MORE

Mahakamani Kisutu: Wakili wa Malinzi Asema ‘Nimechoka’ – Video

KESI Ya utakatishaji fedha  na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu inayomkabili aliyekuwa rais wa shirikisho la soka nchini (TFF)...

READ MORE

Mtoto Aliyepotea kwa Siku 6 Dar, Apatikana Arusha

MTOTO ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi na awali ya Tuwapende, Daniel Evans (12) aliyepotea...

READ MORE

Mama Magufuli Amzawadia Mke wa Rais Ramaphosa

MAMA Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini, Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa, baada ya kuwasili Ikulu...

READ MORE

Lissu, Ndugai Watifuana Kortini – Video

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar, leo Agosti 15, 2019, imeamuru maombi ya zuio la muda la kuapishwa kwa mbunge...

READ MORE

BREAKING: NDEGE YA URUSI YAANGUKA SHAMBANI – VIDEO

NDEGE ya abiria ya Urusi  leo, Agosti 15, 2019, imeanguka baada ya ndege (mnyama) kuingia ndani ya injini na kusababisha...

READ MORE

JPM, Ramaphosa Wafanya Mazungumzo

Rais  John Magufuli akimpokea mgeni wake,  Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu...

READ MORE

Kardinali Pengo Ang’atuka Rasmi, Papa Francis Aridhia

ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp  Kardinali Pengo, ameng’atuka wadhifa huo na nafasi...

READ MORE

Kipindi ‘Katambuga’ cha Global Radio Chazinduliwa Rasmi

MOJA ya vipindi bora kabisa vya redioni hapa Tanzania, kipindi cha KATAMBUGA kinachoruka hewani kupitia Radio ya mtandaoni nambari moja...

READ MORE

Mahakama Kuu Yasikiliza Kesi Lissu Kuvuliwa Ubunge

MVUTANO mkali kati ya pande mbili – upande unaowakilishwa na Tundu Lissu na ule wa Jamhuri – katika kesi ya...

READ MORE

Ajali ya Lori Morogoro: Wengine 7 Wafariki Muhimbili – Video

MAJERUHI wengine saba wa ajali ya moto waliokuwa wakitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wamefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

DC Aagiza Watumishi Wanunue Ultra Sound ya Mil 30 Iliyoibwa

BAADA ya mashine ya Ultra Sound kuibiwa katika Hospitali ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu, Mkuu wa Wilaya hiyo, Festo Kiswaga,...

READ MORE

Rais Ramaphosa wa Sauz Awasili Nchini – Video

RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa na mkewe, Dkt. Tshepo Motsepe,  wamewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo na kupokelewa...

READ MORE

Sibomana Aweka Rekodi Mpya Caf

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Patrick Sibomana juzi aliweka rekodi mpya kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika ambayo inasimamiwa na Shirikisho la...

READ MORE

Utata Kifo Francis Cheka: Mkewe Afunguka Kila Kitu – Video

Siku chache zilizopita ulizuka uvumi wa kwamba bondia, Francis Cheka, amefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro baada...

READ MORE

Boxer ndiyo basi tena Yanga

BEKI wa kulia ya Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ sasa atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha ya...

READ MORE

KEKO WALICHANGAMKIA BETIKA

WASOMAJI wa Gazeti la BETIKA katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, wameonekana kulichangamkia gazeti hilo baada ya...

READ MORE

VIDEO: MAMBOSASA AFANYA DORIA NA HELIKOPTA DAR

   JESHI  la polisi Kanda Maalum ya Dar  es Salaam, chini ya Kamanda wake, Lazaro Mambosasa, leo Agosti 14,...

READ MORE

Mhadhiri NIT Kortini kwa Rushwa ya Ngono kwa Mwanafunzi

MHADHIRI wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) nchini Tanzania, Samson Mahimbo,  amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini...

READ MORE

Mwili wafukuliwa, wavuliwa sare za kazi

  SERIKALI magharibi mwa Kenya imefukua mwili wa mkazi mmoja ili kumvua sare alizozikwa nazo kulingana na ripoti. Martin Shikuku...

READ MORE

Ajibu, Manula Mambo Safi Simba

WACHEZAJI wa Simba, mlinda mlango, Aishi Manula na kiungo mshambuliaji, Ibrahim Ajibu wanajiunga na kikosi hicho baada ya kutoka kwenye...

READ MORE

Mkuu wa Upelelezi Aliyehukumiwa Kunyongwa Akwama Kortini

MAHAKAMA ya Rufani imetupilia mbali maombi ya marejeo ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kinondoni (OC-CID), Mrakibu wa...

READ MORE

Breaking News: Ajali ya Moto Moro, Wengine 6 Wafariki – Video

MAJERUHI wengine sita kati ya 38 wa ajali ya lori kuwaka moto ya mjini Morogoro ambao walikuwa wakitibiwa katika Hospitali...

READ MORE

Kesi ya Kuvuliwa Ubunge… Ndugai, Lissu Waitwa Kortini Kesho

KESI ya kupinga kuvuliwa ubunge na Spika, Job Ndugai, iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu,...

READ MORE

Malinzi Kortini: TFF Ilikuwa na Hali Ngumu, Niliikopesha 15m

ALIYEKUWA Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (59), amedai mahakamani kuwa wakati anaingia madarakani shirikisho...

READ MORE

Mtoto Ajinyonga Akipika Ugali, Mama Mzazi Asimulia – Video

Binti wa miaka 16 aliyefahamika kwa jina la Maria amekutwa amejinyonga hadi kufa akiwa kwenye harakati za kuandaa chakula cha...

READ MORE