×

Habari

TEKNOLOJIA YA SARAFU ZA KIDIGITALI YAINGIA NCHINI

Kampuni ya Addscoin Tanzania Limited inayojihusisha na utunzaji wa mazingira na matumizi ya sarafu za kidigitali imetanza rasmi kuanza kuendesha...

READ MORE

Fisi Wavamia Msiba, Wajeruhi Watu 2

WATU wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na wanyama aina ya fisi wasiojulikana idadi yao baada ya kuvamia kwenye mji...

READ MORE

Ndugai Ataka Wanawake Uchaguzi Serikali za Mitaa

KUELEKEA uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24 mwaka huu, Spika wa Bunge, Job Ndugai,  amewataka Watanzania kuwaamini wanawake...

READ MORE

Wizara Yapiga Marufuku Wananchi Kuuza Nyamapori

Wizara ya maliasili na utalii imepiga marufuku wananchi kuuza nyama pori wakati ikiendelea na kupitia kanuni na rasimu,ambapo ifikapo desemba...

READ MORE

Mahakama Yataka Uthibitisho Maendeleo Afya ya Lissu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewataka wadhamini wa aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwenda na uthibitisho wa maendeleo...

READ MORE

Chalamila Awatimua Wanafunzi Waliochoma Shule

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila,  amewafukuza shule wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Kiwanja wilayani Chunya ambao pia...

READ MORE

 Jogoo hata akizeeka, kelele palepale!

NASHANGA! Unaringa kisa umekuja mjini kwa treni? Je, ungekuja kwa basi au ndege, si ndo ungetupanda hadi kichwani kwa miguu!...

READ MORE

Mwizi Avunja Nyumba, Amuogesha Mtoto Kabla Ya Kuiba

MWANAMKE mmoja anayeishi Ohio nchini Marekani, amewaeleza polisi kuwa aliamka ghafla usiku wa manane na kukuta mvamizi akimuogesha mtoto wake...

READ MORE

Fahamu Madaraka ya Rais, Bunge Kikatiba

KWANZA tujiulize katiba ya nchi ni nini? Katiba ni waraka wa kisiasa unaowawezesha wananchi kujitambua kama Taifa, pia ni waraka...

READ MORE

Marekani: Rais Jimmy Carter, Aanguka, Avunjika Nyonga

Rais wa Awamu ya 39 wa Marekani, Jimmy Carter mwenye umri wa miaka 95 sasa amelazwa tena hospitali baada ya...

READ MORE

Askari Mwanamke Aporwa Silaha Akichati WhatsApp

ASKARI wa Jeshi la Magereza nchini Uganda wanachunguza tukio la Afisa Mwanamke wa Gereza aliyeibiwa silaha ya kivita aina ya...

READ MORE

Mkuu wa Upelelezi Aieleza Mahakama: “Zitto Aligoma Kuandika Maelezo”

MKUU wa Upelelezi Mkoa wa Morogoro, SP Albert Kitundu (49) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Mbunge wa Kigoma...

READ MORE

CCM Yafuta Kura za Maoni, Uchaguzi Kurudiwa – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na kuweka wazi madai ya kuwapo rushwa katika kura za maoni za Uchaguzi wa Serikali...

READ MORE

Walimu 2 Wasakwa Kwa Kuwapa Mimba Wanafunzi

MKUU wa Mkoa Rukwa, Joachim Wangabo,  ametoa maagizo ya kukamatwa kwa walimu wawili wanaodaiwa kuwapa mimba wanafunzi. Wangabo alitoa maagizo...

READ MORE

Wateja wa TigoPesa Sasa Kutoa Pesa Kupitia ATM

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Tigo kupitia kitengo cha Tigo Pesa imeingia ubia na taasisi ya UmojaSwitch (BCX) kuzindua huduma ya...

READ MORE

TTCL Kutoa Huduma za Mawasiliano Nchini Burundi

                                       ...

READ MORE

Amuua Mwenzake Wakigombea Kumbikumbi

MURIUNGI KIYOGERE (35), mkazi wa Kaunti ya Tharaka-Nithi nchini Kenya, anadaiwa kumchoma kisu mara nne Daniel Mutiria Cece (36) kutokana...

READ MORE

Ofisa TAKUKURU Amuua ‘Girlfriend’ Wake kwa Risasi -Video

OFISA Msaidizi (mlinzi) wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, James Paulo (27), ...

READ MORE

Mshindi wa Kubashiri Soka wa Premier Bet Alamba Mamilioni ya Pesa

Kampuni ya Kubashiri Soka ya Premier Bet Tanzania imemtambulisha  mshindi wa kubashiri soka ambaye ni Andrea Elias Sebastian mkazi wa...

READ MORE

DC Mjema Apiga Marufuku Ibada Katikati ya Wiki, Makonda ‘Amzima’

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Bi. Sophia Mjema,  amepiga marufuku shughuli zote za ibada zinazofanyika katikati ya juma katika wilaya...

READ MORE

Mfalme wa Thailand Amvua Mkewe Umalkia

MFALME wa Thailand, Vajiralongkorn,  ametangaza kumvua vyeo vyake vyote mke wake kutokana na tabia mbaya na kutokuwa mwaminifu kwa ufalme....

READ MORE

Yatima Huyu Anahitaji Milioni 200 Kuokoa Maisha Yake – Video

  KIJANA Constantine Nguma (17) mkazi wa Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam mwenye gonjwa zito la ‘Aplastic Anemia’  tiba...

READ MORE

Mahakama Yataka Haki Itendeke Kesi ya Mhasibu Takukuru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetaka haki itendeke kuhusu kesi ya kudaiwa kumiliki mali zenye zaidi ya thamani ya Shilingi...

READ MORE

Nape Kutoka ‘Bakibencha’ Hadi Mbunge Pendwa wa JPM

KATIKA kipindi cha miaka miwili, mmoja wa wabunge watatu machachari aliyekuwa na uwezo wa kusimama bungeni kuikosoa Serikali na chama...

READ MORE

Mamilioni ya Aliyepumulia Mashine Familia Yapasuka

hamadFAMILIA tatu zinazomuhusu mkazi wa Ukonga, Majumba- Sita jijini Dar, Hamad Awadhi aliyekuwa akiishi kwa kutumia mashine ya gesi ya...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wapewa Siku 14 Kuanza Kujitetea

LEO Jumatatu, Oktoba 21, 2019, viongozi 9 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Vipodozi 16 Vyapigwa Marufuku TZ

MAOFISA wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wamefanya ukaguzi wa kushtukiza kwenye maduka ya vipodozi na kuondoa aina 16 za...

READ MORE

Watoto Wawili Wateketea kwa Moto Wakiwa Wamelala

WATOTO wawili wa familia moja wa kata ya kishanda katika Halmashauri ya Muleba Mkoani Kagera wameteketea kwa moto wa kibatari...

READ MORE

Wakatoliki Wakinukisha DRC, Kisa Pesa Kukombwa Benki Kuu

WAUMINI wa dini ya Kikristo wa Kikatoliki katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wamefanya maandamano katika maeneo mbali mbali...

READ MORE

Taarifa: Poda za Johnson’s Bay Usitumie, Wala Mtoto Wako

PODA maarufu ya watoto ambayo pia hutumiwa na baadhi ya watu wazima aina ya Baby Johnson kuanzia loti 22318RB haitakiwi...

READ MORE

Wanaume Waongeza Safari Kukwepa Michepuko

HALI ya wanaume kuwakwepa wanawake kimapenzi ambayo tumekuwa tukiizungumzia kwa wiki kadhaa ilitufikisha mahali ambapo tuliona wanawake wengi wameamua kuachana...

READ MORE

Kondoo 2,000 Wasababisha Foleni Katikati ya Jiji

KATIKA hali isiyo ya kawaida, zaidi ya kondoo elfu mbili (2,000) wamekatisha katikati ya jiji la Madrid nchini HIspaia, jana...

READ MORE

Vodacom Yamwaga Neema kwa Wanafunzi 7000 Tabora

KAMPUNI inayoongoza kwa teknolojia ya mawasiliano ya Vodacom kupitia taasisi yake ya Vodacom Tanzania Foundation leo imemwaga neema kwa kutoa...

READ MORE

Chuo Kikuu Wavalishwa Maboksi Wasifanye Udanganyifu

CHUO cha The Bhagat Pre-University College, kilichopo nchini India kimeomba msamaha kufuatia kitendo cha kuwavalisha maboksi, wanafunzi ili kuzuia kupiga...

READ MORE

Anayetuhumiwa Kumchoma Moto Naomi; Upelelezi Wakamilika

HATIMAYE upelelezi wa kesi inayomkabili mfanyabiashara Khamis Said anayedaiwa kumuua na kisha kumchoma na moto wa magunia mawili ya mkaa...

READ MORE

Kijana Apotea Siku 8, Akutwa Vichakani Ameuawa

KIJANA mmoja aliyetambulikana kwa jina la Noel Jengeni Mlilo mwenye umri 27, mkazi wa Shehia ya Wawi Wilaya ya Chakechake,...

READ MORE

Daktari Akiri Kuua Mwanamke Aliyetaka Kuongeza Makalio

DKT. Donna Francis amekiri mashtaka ya mauaji yaliyotokana na uzembe baada ya kumfanyia upasuaji mwanamke (34) ambaye alienda kwake kwa...

READ MORE

Tanzania Yakabidhiwa Jukumu Jingine Kubwa Kimataifa – Video

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan. amefungua mkutano wa Mawaziri wa Sekta za Mazingira,...

READ MORE

JPM Afichua Vigogo Walivyopiga Bil. 1.2 za Korosho – Video

RAIS John Magufuli amesema Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawashikilia viongozi wa vyama vya ushirika 92 mkoani...

READ MORE