×

Habari

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO KTK JESHI LA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Msemaji wa Jeshi...

READ MORE

Waandishi wa Habari kuishtaki Mamlaka ya Mawasiliano nchini Uganda

Waandishi habari katika kampuni 13 za vyombo vya habari Uganda, walioagizwa wasitishwe kazi na mamlaka ya mawasiliano nchini, wanawasilisha kesi...

READ MORE

JPM amemteua Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kuwa Mkuu wa Chuo Cha UDOM

Rais Magufuli amemteua Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) kwa kipindi cha pili mfululizo, pia...

READ MORE

BENKI YA DCB YAWASHUKURU WABUNGE, SPIKA KWA MAFANIKIO YA UUZWAJI WA HISA

  Benki ya Biashara ya DCB imetoa shukurani kwa waheshimiwa wabunge pamoja na mheshimiwa spika kwa kufanikisha zoezi la uuzwaji...

READ MORE

Kakolanya: Nakuja Simba, Manula jipange

ALIYEKUWA kipa wa Yanga, Beno Kakolanya amefunguka kwamba anatua Simba kwa msimu ujao huku akichimba biti kwa kipa mwenzake, Aishi...

READ MORE

MFALME AAMURU VIJANA WAOE WAKE WAWILI, UKIKAIDI UNAPELEKWA JELA

  Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza...

READ MORE

Tembo Kufungwa Mikanda ya GPS ya Sh. Mil. 800

  WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangallah jana amezindua mpango kuwafunga mikanda ya mawasiliano ya kijiographia (GPS) Tembo ...

READ MORE

NDUGAI AHOJI ‘KUTOSWA’ MRADI WA BANDARI BAGAMOYO

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameitaka serikali kueleza kwa nini ujenzi wa mradi wa bandari ya Bagamoyo mkoani...

READ MORE

UNAIBA VITI VYA KANISA? ‘SUKUMA NDANI WOTE HAWA’ – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri,  ameshangazwa na watuhumiwa wakiwemo vijana na akina mama waliokamatwa kwa wizi wa vitu...

READ MORE

Sakata la Kukutwa na Madawa: Shamim na Mumewe Wafikishwa Kortini

MFANYABIASHARA Abdul Nsembo ‘Abdukandida’ (45) na mkewe Shamim Mwasha (41) ambao ni wakazi wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

Licha ya Vifungu Kubatilishwa, Wakurugenzi Kuendelea Kusimamia Uchaguzi

SERIKALI imewasilisha notisi katika Mahakama ya Rufaa kupinga uamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuhusu kesi ya...

READ MORE

AJIFYATULIA BASTOLA SEHEMU ZA SIRI, AKIONA

UNAWEZA kusikia kitu ukajenga maswali mengi kichwani imekuwaje kikatokea! Polisi wa eneo la Brayan West Campus, Nebraska mjini Lincoln, Uingereza...

READ MORE

Mwanza: Aliyekufa kwa ‘Kujirusha Ghorofani’, RPC Aanika Ukweli – Video

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limekanusha taarifa ya mtu aliyedaiwa kufariki dunia kwa kujirusha kutoka kwenye ghorofa ya mwisho katika...

READ MORE

MAFURIKO DAR! Hali Ilivyo JANGWANI – VIDEO

MVUA zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es Salaam, zimesababisha madhara makubwa ikiwemo kuharibu mawasiliano katika maeneo ya Jangwani ambapo...

READ MORE

UDA-RT YASIMAMISHA HUDUMA YA MABASI MWENDOKASI

KAMPUNI ya UDART imesitisha huduma ya usafiri sehemu inayopitia eneo ya Jangwani na kwenda Morocco bonde la Mkwajuni kwa muda...

READ MORE

Askofu Nkwande Akemea Uchawi, Ushoga Na Utoaji Mimba

ASKOFU MKUU wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande ameshutumu vikali uchawi, ushoga na utoaji wa mimba.   Ameyasema...

READ MORE

Kasuku Afanyiwa Upasuaji Kichwani

  MADAKTARI wa wanyama nchini New Zealand wamemfanyia upasuaji kasuku mmoja kutoka jamii ya kakapos ambayo ipo hatarini kutoweka.  ...

READ MORE

MWALIMU AUAWA KWA KISU NA MWANAUME

MWALIMU wa Shule ya Msingi Liwiti jijini Dar, aliyetambulika kwa jina la Selani Hamisi ameuawa kwa kuchomwa kisu na mwanaume...

READ MORE

TRILIONI 1.2 ZA MENGI NGOMA NZITO JACK, WANAWE WAHURUMIWA

DAR ES SALAAM: UTAMADUNI wa kuandika wosia kwa Watanzania bado haujawaingia akilini watu wengi hivyo jambo hili linafikirisha pia juu...

READ MORE

Victory Campus Night 2019 Kutikisa Dar

 TAMASHA la Kimataifa Victory Campus Night 2019 kufanyika Dar, Ijumaa ijayo, Mei 17. Ni tamasha kubwa na la aina...

READ MORE

Kakobe: Ukimgusa Gwajima, Umetugusa Wote – Video

 Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amesema katika zama hizi ukimshambulia kiongozi mmoja wa...

READ MORE

MBARONI KWA KUUZA VIUNGO VYA BINTIYE BAADA YA KUUAWA

Baba mmoja, Tatizo Japhet (37), mkazi wa Igurusi, Mbarali mkoani Mbeya, ametiwa mbaroni kwa kumuuza bintiye, Rose Japhet, mwenye umri...

READ MORE

JUMBA LA MENGI LAIBIWA VITO VYA THAMANI

Huku bado familia inaomboleza kifo cha mfanyabiashara tajiri, Reginald Mengi aliyefariki mapema mwezi huu, wapo ambao wamefaidika kiharamu na msiba...

READ MORE

MWILI WA RCO ILALA WAZIKWA ARUSHA

MWILI wa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi Ilala jijini Dar es Salaam, SSP Anael Mbise (48) umezikwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Achangia Mifuko 300 Ya Saruji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechangia mifuko 300 ya saruji na fedha sh. milioni moja kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa...

READ MORE

SERIKALI YASHUSHA GHARAMA ZA VIPIMO VYA DENGUE

Serikali imeleta vitendanishi vya maabara kwa ajili ya ugonjwa wa homa ya dengue na kupunguza gharama za vipimo vya maradhi...

READ MORE

Taarifa ya TMA Kuhusu Mvua za Mfululizo Zinazoendelea Kunyesha

Taarifa kwa Umma kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), kuhusu mwenendo wa hali ya hewa hususan mvua za...

READ MORE

Familia yamlilia mwanafunzi Mtanzania aliyefariki Marekani

  “TUMEPOKEA taarifa hizi kwa masikitiko makubwa. Alipenda sana masuala ya utabibu, na alienda Marekani kupata mafunzo na kutekeleza ndoto...

READ MORE

Ugomvi Wa Ndoa Wasababisha Nyumba 300 Kuungua Kenya

  KWA mujibu wa tovuti ya gazeti la Star la nchini Kenya, ugomvi wa wanandoa uliotokea Jumanne usiku ulianza kwa...

READ MORE

MAFURIKO DAR, Wananchi Walia – Video

MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam kwa wiki nzima mfululizo zimesababisha mafuriko makubwa katika Bonde la Mto Msimbazi, maeneo...

READ MORE

RUGE, MENGI WALIVYOKUTANA NA SOMO LA MAISHA YAO DUNIANI!

NI usiku mnene, nipo kwenye mkutano ambao sijui unahusiana na nini. Licha ya kuwa na mwanga hafifu katika ukumbi, nawaona...

READ MORE

HAMISI ATOKA HOSPITALI, ASEMA… BADO NAUMWA, MNIOMBEE

KIJANA Hamisi Ligwila (18), mkazi wa Yombo Makangarawe anayesumbuliwa na tatizo la miguu kuvimba, amerudishwa nyumbani baada ya kulazwa katika...

READ MORE

BINTI ATESEKA MIAKA 6 KITANDANI – VIDEO

MATESO gani haya? Ndivyo unavyoweza kusema ukisikia mateso na maumivu makali ya miaka sita aliyopitia mwanamke Adelina Peter (26), mkazi...

READ MORE

ADAIWA KUISHI NA MAITI YA MKEWE SIKU 4

PWANI: Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Liswan, mkazi wa Kibaha kwa Mathias mkoani Pwani, anadaiwa kuishi na maiti ya...

READ MORE

Polisi na Askari Magereza Wapigana Makonde, Mabomu na Risasi Zarindima

Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza wilayani Masasi Mkoani Mtwara, wamepigana makonde hadharani katika eneo la stendi kuu ya...

READ MORE

BREAKING: Mahakama Kuu Yabatilisha Wakurugenzi Kusimamia Uchaguzi

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imebatilisha vifungu vya sheria vinavyowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi....

READ MORE

Marekani yaikamata meli ya Korea Kaskazini kwa kukiuka vikwazo

  MAREKANI imeikamata meli ya Korea Kaskazini ikiilaumu kwa kukiuka vikwazo vya kimataifa. Wizara ya Sheria imesema kuwa meli hiyo...

READ MORE

Kijana Abadili Jinsia Yake Nchini Kenya

  MIAKA 29 iliyopita kijana aliyezaliwa na jinsia mbili nchini Kenya, Ruth Wangui, amebadili jinsia yake na sasa ni mwanamume...

READ MORE

Tanzia: CCM Yapata Pigo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepata pigo baada ya kuondokewa mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Hamisi Mnegero,...

READ MORE