×

Habari

Cuba Kuanza Kupata Internet Kwenye Simu Zao

WANANCHI wa Cuba wataweza kupata mawasiliano ya Internet kwenye simu zao kuanzia kesho (Alhamisi), kwa mujibu wa shirika la simu...

READ MORE

‘WANAOPANGA MIKAKATATI YA URAIS 2020’, CCM YAFUNGUKA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimfafanua kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii ambapo hivi karibuni yameonekana kuzua taharuki baina ya wanachama...

READ MORE

MSALA! MAMA MBARONI KWA KUUA KICHANGA CHAKE

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Amina Keneth (26), mkazi wa mtaa wa Mwasanga, Kata ya Itiji jijini Mbeya, ametiwa...

READ MORE

Wafanyabiashara Wajazwa Mamilioni kwa Kufanya Miamala 

Kampuni ya Selcom kwa kushirikiana na Mastercard imetoa zawadi ya Sh milioni tatu kwa wafanyabiashara wanaotumia huduma ya Masterpass QR...

READ MORE

Fastjet yasherehekea miaka sita ya kutoa huduma zake hapa Nchini

KATIKA kusherehekea mika sita ya Shirika  la ndege la Fastjet hapa nchini pia  linadhamini usafiri wa ndege  kwa Chama cha...

READ MORE

NAIBU WAZIRI TAMISEMI AFUNGUA KONGAMANO LA 10 LA WADAU WA ELIMU

    NAIBU wa Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mh. Josephat Kandege leo amefungua kongamano...

READ MORE

Dkt. Bashiru: Sijamjibu Membe Mitandaoni

KATIBU Mkuu wa CCM,  Dkt. Bashiru Ally amelikana andiko  linalosambaa mtandaoni likionyesha kuwa amemjibu aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje...

READ MORE

Mtanzania Mbaroni Kwa kuiibia Serikali ya Marekani Bilioni 8!

MTANZANIA JOHN NDUNGURU, anayemiliki kampuni ya Mercy Services of Heath inayojishughulisha na kazi ya  kuhudumia wagonjwa majumbani (Home Health Care) nchini Marekani,...

READ MORE

JPM Afanya Uteuzi Shirika la Nyumbu

Rais Magufuli amefanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Shirika la Nyumbu na Kamishna wa Fedha na Utawala wa Zimamoto. BREAKING: RAIS...

READ MORE

NBC Kufadhili Wanafunzi 60 Kusomea Digrii (Picha+Video)

    BENKI ya NBC imetoa ofa ya kuwafadhili wanafunzi wa Kitanzania kusomea shahada ya kwanza katika vyuo vya CBE,...

READ MORE

JPM AWATEUA JAJI BWANA NA OLE NJOOLAY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzana Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji Msataafu Steven Bwana kuwa Mwenyekiti wa Tume...

READ MORE

BULAYA Acharuka Kikokotoo Kipya cha Mafao, Awavaa CCM – Video

Mbunge wa Jimbo la Bunda, Ester Bulaya, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi,...

READ MORE

BIKO na Halotel ni Shida, Tazama Wanachokifanya Hapa – Video

  Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania, imeingia katika makubaliano rasmi na kampuni ya michezo ya...

READ MORE

Mchungaji Achezea Kipigo cha Waumini Wake

MCHUNGAJI wa Kanisa la Sauti ya Uzima anayefahamika kwa jina la Nabi Elia mwenye umri wa miaka 36 amejikuta akinusurika...

READ MORE

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO JESHI LA POLISI – VIDEO

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amembadilisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza kabla ya kuhamishiwa...

READ MORE

Wafanyakazi wapigwa faini kwa kutotembea hatua 180,000 kwa mwezi China

  Kampuni moja nchini China imeshutumiwa vikali kwa kuwapiga faini wafanyakazi wanaokosa kutembea takriban hatua 180,000 kwa mwezi.   Kulingana...

READ MORE

Wateja wa Tigo Kanda ya Ziwa kufanya malipo kwa  Mfumo wa Kielekroniki Serikalini (GePG)

    WATEJA wa Kampuni ya Tigo  wa mikoa ya Kanda Ziwa sasa wanaweza kufanya malipo kutumia mfumo wa Kielektroniki...

READ MORE

MFANYABIASHARA APIGWA RISASI, APORWA MAMILIONI

MARCUS Onyango mkazi wa Kijiji cha Nyakiswa, Kata ya Kyanyari, wilayani Butiama mkoani Mara amevamiwa na majambazi sita waliokuwa na...

READ MORE

WANAFUNZI VINARA WA KIDATO CHA NNE, SITA 2018 WATUNUKIWA TUZO

    WANAFUNZI vinara  wa Kidato cha Nne na Cha sita kwa mwaka wa 2018 waliofanya vizuri katika matokeo yao...

READ MORE

NBC SASA KUHUDUMIA WATEJA WAKE KIDIJITALI MWANZO MWISHO – VIDEO

Meza kuu ikifuatilia mchakato huo kwa makini.     BENKI ya Biashara nchini (NBC) imesisitiza itaendelea kuboresha zaidi huduma zake...

READ MORE

Majaliwa: Kilimanjaro Kuna Shida Kati ya RC Mghwira na Wakuu wa Wilaya

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza mawaziri wawili katika Ofisi ya Rais kwenda mkoani Kilimanjaro kutatua tatizo la uhusiano kati ya...

READ MORE

ACT Wacharuka Kanuni Mpya ya Mafao, Wagoma Kumuombea JPM – Video

Chama cha ACT Wazalendo kimepinga kanuni mpya za mafao ya wastaafu na kuitaka serikali irejeshe asiimia 50 ya mafao ya...

READ MORE

MEYA WA DAR AACHIWA DHAMANA

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuachia kwa dhamana Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya...

READ MORE

NMB IMEUGANA NA ‘OPEN KITCHEN’ KUTOA SEMINA KWA AKINA MAMA WAJASIRIAAMALI

    BENKI ya NMB imedhamini kongamano la mafunzo kwa akinamama wajasiriamali waliokutana jana kupata mafunzo anuai ya kijasiriamali yaliyolenga...

READ MORE

Kimenuka Mbeya: Agizo la Mkuu wa Mkoa, Machinga Wagomea!

Hali si shwari katika Jiji la Mbeya, maeneo ya Mwanjelwa, kufuatia Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila kuwataka wamachinga kuyahama...

READ MORE

Baba Kichuya Afikishwa Polisi – Video

BAADA ya kudaiwa kunyweshwa sumu kisha kutekwa na kuporwa gari na baadaye kutupwa kwenye mashamba ya Chuo cha SUA mjini...

READ MORE

LIMBWATA: MWANAMKE AMGEUZA MUMEWE KUWA JOKA LA MAAJABU

Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kua joka kubwa baada ya kukosea kumpa dawa ya kumfanya mumewe ampende yeye tu....

READ MORE

Selcom Shifts Tanzania to a Cashless Economy

Mastercard and  Selcom  have expanded their collaboration by signing a strategic partnership agreement to introduce a variety of payment solutions...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI JIJI LA ARUSHA (Picha +Video)

  Rais John Magufuli leo Desemba 2, 2018 amezindua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa visima vikubwa vya maji...

READ MORE

MNIGERIA AHUKUMIWA KIFO BAADA YA KUKAMATWA NA UNGA MALAYSIA

Mwanaume Sidrey Shalod Dike (46), raia wa Nigeria amehukumiwa adhabu ya kifo na mahakama nchini Malaysia, baada ya kukutwa na...

READ MORE

Milioni kumi za Tigo Jigiftishe zaenda kwa muosha magari Tabata Dar

  KITITA cha shilingi milioni 10 cha mshindi wa kila wiki katika promosheni inayoendelea ya Tigo Jigiftishe, kimenyakuliwa na Iyaka...

READ MORE

MKE WA AZORY AFANYIWA KITU MBAYA! – VIDEO

PWANI: Wakati akitimiza mwaka mmoja tangu mumewe adaiwe kutekwa na watu wasiojulikana, mke wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa kujitegemea...

READ MORE

VODACOM Tanzania Foundation YAOKOA MAISHA YA WANAFUNZI VISIWA VYA UKEREWE

    ILI kuokoa zaidi ya wanafunzi 1,300 wanaosafiri kwenye maji kila siku asubuhi kwenda shule katika visiwa vya Ukerewe...

READ MORE

MAHAFALI YA JOVIN JUNIOR NURSERY YAFANA!

  MAHAFALI ya kwanza ya Shule ya Jovin Junior Nursery yamefana kwa wanafunzi wa shule hiyo kuonekana wakiwa wamependeza na...

READ MORE

TUHUMA ZA KUMKWAMISHA JPM, MEMBE AMJIBU DKT. BASHIRU

BAADA ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akumtaka mwanachama wa chama hicho, Bernard Membe kufika...

READ MORE

UNYAMA: Mama Amfungia Mwanae Ndani Mwaka Mzima! – Video

MAMA mmoja nayefahamika kwa jina la Scolastica Selvina mkazi wa mtaa wa Polisi Kata ya Mafiga mkoani Morogoro amedaiwa kumfungia...

READ MORE

TUHUMA ZA KUPANGA MKAKATI DHIDI YA JPM, MEMBE AITWA CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amemtaka mwanachama wa chama hicho, Bernard Membe kufika ofisini kwake...

READ MORE

Pichaz: Magufuli, Kenyatta Wazindua Kituo cha Huduma Namanga

Rais John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amezindua kituo cha pamoja cha huduma ya forodha Namanga, Arusha — ...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu Tumaini ashinda Mil 226.8 za M-BET

    MWANAFUNZI wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, Meshack Daniel (22) ameshinda Sh milioni 226.8...

READ MORE