×

Habari

DAKTARI: AFYA YA JOKATE HATARINI

IMEVUJA! Miongoni mwa Wakuu wa Wilaya (ma-DC) wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Wafanyabiashara Shinyanga Wagoma

Wafanyabiashara wa soko la Nguzo nane mjini Shinyanga, wamegoma kuuza bidhaa zao kwa madai ya kuonewa na mkuu wa wilaya...

READ MORE

Majengo ya Shule ya Msingi Tumaini kuongeza ufaulu

Baadhi ya majengo ya madarasa ya shule ya Tumaini Bukoba, ambayo yalikabidhiwa  na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe....

READ MORE

Magufuli, Mkewe Wasali Kanisa la Mtakatifu Petro Dar

        Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth,  leo  Novemba...

READ MORE

Daktari FEKI Aangukia Mikononi mwa Kamanda Muroto

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hassan Abdallah Athuman, umri miaka 38 kwa tuhuma...

READ MORE

Hatimaye Mtolea Achukua Kadi ya CCM

 ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Temeke, kupitia Chama cha Wananchi, Abdallah Mtolea amechukua kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga...

READ MORE

IRINGA: POLISI WAZUIA MKUTANO WA MCH. MSIGWA

Polisi Mkoani Iringa imezuia mkutano wa Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) uliokuwa ufanyike leo mkoani humo- Katibu...

READ MORE

HAWA NDO WATU 10 WENYE NGUVU YA USHAWISHI ZAIDI DUNIANI 2018

KUWA mmoja kati ya watu wenye nguvu kubwa duniani sio jambo rahsisi,inakupasa uwe na ushawishi mkubwa sana kwa hao hao...

READ MORE

Mtanzania Aliyetengeneza Helikopta Aunda Mtambo Mpya

  Adam Zakaria Kinyekire anajulikana zaidi kwa jina la ‘Street Engineer’ na yeye ni fundi makenika kutoka Wilaya ya Tunduma,...

READ MORE

Zijue Nchi 9 Zinazoongoza kwa Kufanya Mapenzi Duniani

NI dhahiri kwamba nchi za Ulaya zinaongoza kwa burudani ya mapenzi (ngono) duniani, japokuwa watu huisahau Malaysia kuwa miongoni mwake....

READ MORE

LUGOLA ATAKA POLISI WALIOUA MAJAMBAZI MWANZA WAPANDISHWE VYEO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema askari wote walioshiriki katika mapambano na kuwaua watu wanaosadikika kuwa...

READ MORE

Alichokisema Kigwangalla Baada ya Atembelea Eneo Alilopata Ajali

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Dkt. Hamisi Kigwangalla jana Novemba 23, 2018 ametembealea kituo cha Afya Magugu, pamoja na...

READ MORE

‘PAKA MTU’ AZUA TAHARUKI

GEITA: Sintofahamu na taharuki imewakumba wakazi wa Kitongoji cha Buseresere, wilayani Chato mkoani Geita kufuatia mnyama anayetajwa kama paka mtu...

READ MORE

A-Z BABA KICHUYA ALIVYOTEKWA – VIDEO

  MOROGORO: Baba wa Mcheza Soka wa Timu ya Wekundu wa Msimbazi, Simba Sports Club na Taifa Stars, Shiza Kichuya,...

READ MORE

HATIMAE MBUNGE ‘BWEGE’ NA WENZAKE WACHIWA HURU

VIONGOZI watatu wa Chama cha Wananchi (CUF) leo Ijumaa, Novemba 23, 2018 wameachiwa, baada ya kukamilisha masharti ya dhamana, yaliyowekwa...

READ MORE

BREAKING: Mbowe, Matiko Kurudishwa Gerezani, CHADEMA Watoa Tamko ZITO!

KUFUATIA Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwafutia dhamana Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther...

READ MORE

KWA BUKU TU… FUNGA MWAKA NA BAJAJ MPYAAAA!

Wakati Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa ikiendelea na promosheni yake ya Shinda Zaidi na SportPesa ambapo Bajaj zinatoka...

READ MORE

Breaking: Mbowe, Ester Matiko Wapelekwa Gereza la Segerea – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko wamepandishwa kwenye gari la...

READ MORE

NJEMBA YAMKUTA MAHAKAMANI, HATOSAHAU – VIDEO

NJEMBA mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amejikuta akinyukwa na kuangukia mikononi mwa polisi baada ya kudaiwa kufanya vurugu...

READ MORE

Ndege mpya ya Tanzania Airbus 220 yatambulishwa rasmi (PICHA)

  Kampuni ya uundaji wa ndege ya Airbus huko Mirabel, Montreal nchini Canada, jana iliitambulisha rasmi ndege mpya mali ya...

READ MORE

Watatu Wakamatwa na Meno ya Tembo, Polisi Yakusanya Bilioni 1.2 – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 1.2 katika kipindi cha kuanzia mwaka mmoja...

READ MORE

SAMSUNG YAZIDI KUJITANUA BONGO

Mkurugenzi wa Samsung Afrika, Hong Seok akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kushoto ni Mkurugenzi wa duka hilo, Happy Grayson.Watumiaji wa...

READ MORE

SIMANZI YATAWALA KUAGWA KWA MIILI YA WANAJESHI 3 LUGALO – VIDEO

MAMIA ya waombolezaji wamejoteka kuaga miili ya askari watatu  waliofariki kwa tarehe tofauti nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...

READ MORE

Mbowe, Matiko Wafutiwa Dhamana, Sasa Rumande Hadi Kesi Imalizike – Video

Mahakama ya Kisutu, imewafutia dhamana Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Matiko kwa kukiuka masharti...

READ MORE

CHUO CHA KILIMANJARO CHASHUSHA WALIMU KUTOKA ULAYA – VIDEO

Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) kilichopo katika jengo la Mama Ngoma, Mwenge na Afrikasana, Sinza jijini Dar es...

READ MORE

JWTZ Yapoteza Wanajeshi Wengine Watatu DRC

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kama mnavyofahamu linashiriki Ulinzi wa Amani ndani na nje ya Bara la...

READ MORE

MSAFARA WA DIAMOND MTWARA ‘WAVAMIWA’ – VIDEO

Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz akiwa na timu yake nzima WCB akielekea katika Tamasha la...

READ MORE

MAHAKAMA YAMWACHIA BWEGE, POLISI WAMSWEKA RUMANDE

MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi imemwachia kwa dhamana Mbunge wa Kilwa Kusini (CUF), Suleiman Bungara maarufu kwa jina la Bwege na...

READ MORE

EXCLUSIVE: Gardner Akiri Pengo la Ruge Kwenye Tigo Fiesta – Video

KUTOKUWEPO kwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, katika msimu huu wa tamasha la muziki...

READ MORE

WATUHUMIWA MAUAJI YA DKT. MVUNGI WAACHIWA, WAKAMATWA TENA – VIDEO

  WATUHUMIWA  sita wanaodaiwa kumuua aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Dkt. Edmund Sengondo Mvungi, leo Novemba 22,...

READ MORE

‘MAPEPO’ YA ROSE MUHANDO YAMUIBUA MBASHA

VIDEO iliyosambaa mitandaoni ikimwonyesha muimbaji maarufu wa Injili, Rose Muhando, akiwa anaombewa baada ya kupagawa na mapepo imeshtua watu wengi. ...

READ MORE

Breaking News: Bwege, Maharagande Wafikishwa Mahakamani

VIONGOZI wa ngazi ya juu wa Chama Cha Wananchi (CUF), ambao ni Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu kwa...

READ MORE

ESTER BULAYA Aibua Kashfa Ya Deni La Serikali Trilioni 8 – Video

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepinga sheria mpya ya mafao ya hifadhi ya jamii kikidai sheria hiyo inamuumiza mtumishi...

READ MORE

Nesi Asimamishwa Kazi, Kisa? ‘Selfie’ Iliyoleta Utata

NESI mmoja nchini Malawi amesimamishwa kazi baada ya ‘selfie’ aliyojipiga katika wodi ya wajawazito  kumwonyesha nyuma yake mwanamke mmoja mjamzito...

READ MORE

WAJUE SAMAKI WANAOWEZA KUTIBU UGONJWA WA MOYO

  Samaki anayeweza kuurekebisha moyo wake huenda ndiyo suluhu ya matibabu kwa watu wenye matatizo ya moyo, kwa mujibu wa...

READ MORE

MTANZANIA ATEULIWA KUONGOZA SHIRIKA LA UNEP

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres,  amemteua Mtanzania, Joyce Msuya, kuwa kaimu kiongozi wa Shirika la Umoja wa...

READ MORE

MAJINI YAMTESA ROSE MHANDO !, ASIMULIA MAZITO AKIOMBEWA

VIDEO inayosambaa inayomuonyesha muimbaji maarufu wa Injili, Rose Muhando akiwa anaombewa baada ya kupagawa na mapepo imeshtua wengi. Video hiyo...

READ MORE

Lori la JWTZ Lenye Magunia ya Korosho Lapata Ajali

Gari la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambalo lilikuwa limebeba tani 15 za korosho likitokea wilayani Tandaimba kuelekea Mtwara mjini...

READ MORE

FEROOZ Kushiriki Wasafi Festval “Kipaji Changu Hakifi” – Video

Msanii wa Bongo Fleva, Ferooz amesema kuwa kwa sasa ushindani wa muziki umekuwa juu sana ukilinganisha na kipindia cha nyuma...

READ MORE